Kwa nini wake za watu (majority) hamuwezi kukituliza

hawara kwa hivi sijui badae.

😀@ayanda... jaribu bana, mbona unaweza tu. Kaa na mheshimiwa muliongelee jambo hili. Naamini kabisa hata wew ungependa kuexpress upendo wako kwa mumeo, basi tu haiwezekani.
 
nani amekwambia hatujakaa wewe? kwanza hivi una ndoa maana naona unanipa theories ambazo sio practical.

yani wabongo mnapenda sana kukaa na kuongea eh? mambo ya mapenzi huja automatically bana, hebu acha nifuate moyo unavyonipeleka.
unanichosha kiaina na theories zako
 
Haya mkuu! Ila usipanic, mambo madogo tu dadangu... teh!
 
kumbe unajua ni madogo then unaniambia eti tukae tuzungumze, uliona wapi watu wazima wanakaa kuzungumza mambo madogo?

anyway, sijapanic ila ulinichefua kiasi. Mi huwa sipanic ovyo kakangu, maisha yenyewe mafupi haya
 
Nilisema madog mana nimeona you are not ready to change the situation, so why bother! Kila mtu anajua jinsi gani aendeshe maisha yake, ila ni muhim kukumbushana kama tukiona mmoja haendi njia inayofaa, but you seem reluctant to see the problem and mostly offensive if one attacks you.
 
ha ha ha ha unadhani sijui baya na zuri au? who told i cant see the problem?

and how am i offensive? and do u hink u can attack me?

anyway, u seem to be a nice guy, i love that!
 
Habari wakuu,siku zote mwanamke ndo anaeoneka hana mana,mke wa kukigawa kama njugu,naomba uliza kitu anagawa kwa kusimama au kwa kutongonozwa na wewe mwanaume? au wewe mume wa mtu unahaki ya kufanya upuuzi huo na secretary wako kwani hujaacha mke nyumbani mpaka ufanye huo upuuzi offisini? nachopenda kusema msiangalie upande mmoja tu mwanamke kafanya hili au lile, usipomtongoza au kutamka nakupenda sidhani kama anaweza kulazimisha mapenzi,kutokana na mapungufu ya sisi wote mnaishia kufanya upuuzi mbaya na kuanza kumkashifu mkeo uwapo kitandani nae MSALAUM MWANAMKE TU NYIE NDO CHANZO UKIFUNGA ZIPU YAKO HAKUNA ATAKAE FUNGUA LAKINI KUTOKANA NA UROHO WENU WA KUONJA HAYO NDIO MATOKEO
 
Nilidhani ungetafuta mbinu ya kuiweka ndoa yako iwe na amani, kuliko kutafuta amani ya mda, ya kuiba, isiyo na tija na ambayo mwisho wake huwa si mzuri.

Wewe ndo una jukumu la kuijenga nyumba yako, na pia unaweza kuibomoa peke yako
. Hembu jaribu kufikiria juu ya hilo, unampenda nani kati ya mumeo na hawara yako?

Uko sahihi kaka yangu, mtu akikufanyia ubaya dawa ni kumlipa wema. Ukimlipa ubaya ni kujiumiza mwenyewe labda kama huo ubaya ni ktk vitu ambavyo unavipendelea. pia ndoa kuna milima na mabonde, mwenzako akipotea ni jukumu lako kumrekebisha na sio ww kufuata nyayo zake.
 
kutafuta sehemu ya kutuliza moyo wangu kaka, home mahitaji yapo mbona tena mengi nakamilisha mwenyewe tu(chakula, mavazi etc).mahitaji ya faragha si ishu kubwa kwangu ilimradi napata amani ya moyo.tatizo watu wanadhani mtu akitoka ina maana apate good sex ndani, utashangaa kakangu maana mambo ni mengi, wengine tunatafuta emotional relief tu which has nothing to with sex.
Yaani ayanda nakuzimikia ile mbaya, upo ktk real world hauna kupretend wala kupaka watu mafuta kwa mgongo wa chupa. Nakubaliana na hoja zako ktk hili suala kwa asilimia Mia moja. Watu wanafumba macho na kujifanya reality hawaijui, hiyo unayoelezea wewe ndio reality, basi tu. Asante kwa kuwa mkweli.nyakati za wanaume kutuua kwa pressure na stress na kututishia kuwa watatafuta nyumba ndogo kwa vijimambo visivyo na msingi zimeshapita. Siku hizi ni kubanana wote kwenye hiyo mipango kando, tukirudi home wote tusharelease stress maisha yanaendelea kwa amani. Kama tungekuwa tunaishi kwenye ideal world basi ingepaswa wote mume na mke wasitoke nje, ila kwa kuwa ulimwengu tuliomo ndio huu basi hali halisi ikubalike tu kuwa wanawake nao wana needs na desires ambazo zikishindikana kuwa met ndani ya nyumba hulazimika kutoka nje, just like men. Kama ni tatizo litazamwe kutokea angle zote mbili na ufumbuzi utafutwe kwa wote wake kwa waume ila si kuwaona wanawake ndio wakosaji sana wanapofanya Yale ambayo wanaume wamekuwa wakiyafanya tokea Enzi maana sababu zile zile zinazowafanya wanaume watoke nje ya ndoa ndio hizi hizo zinazowafanya wanawake pia watoke nje.Ikiletwa mada ya kuhusu mwanaume kucheat lawama kwa kiasi kikubwa huenda kwa mkewe, Mara ooh amebadilika, Ana gubu, hajijali, n.k ikija inayohusu nje kucheat, lawama zinabaki kwake yeye mwenyewe, ataitwa kila jina baya. Kwa nini hapa lawama zisiende kwa mume wake pia? Wanawake wengi wamechoka sasa wameamua kuja kidijitali zaidi, pita huko nipite kule tutakutana home jioni, hiyo ndio Habari ya mujini. Na mkirudi home kila mtu yupo guilty basi full kujipendekeza kwa mwenzie ili asishtukiwe basi mapenzi motomoto, ha ha haaaa.
 
Last edited by a moderator:
hata mama wa nyumbani wanakigawa mkuu maana tabia ya mtu haifichiki na wala ng'ombe hazeeki maini,mke wa mtu akishindwa kujiheshimu ana mapungufu ktk ubongo wake.

Tena wake wa majumbani wanagawa kwa wauza uzuri na wa magengeni. Afadhali anayegawa kwa ofisa maana apatacho huenda kinasadia kuendesha maisha nyumbani!!
 
Duuuh!! We mkali sana, sikuwezi!! Ila umesema ukweli kabisa
 
Habari wakuu!
Hii ishu inakatisha tamaa sana especially kwa sisi ambao bado hatujaoa,kwa style hii kuoa ni ngumu sana,maofisini tunashuhudia mambo mengi sana ya kijinga,kina dada mtulie kwenye ndoa zenu yaani mtu kaolewa ndio kwanza ana 2yrs,lakini anavyokigawa utasema hajazaliwa na binadamu...hata bure unapiga mzigo...
Ndugu zangu mliooa hawa workin class gaals yaani i feel sorry for you guys,this is bullshit....

Nilipokuwa mdogo Baba alikuwa ananiambiaga, mwanangu kuwa uyaone. Kuna mtu nilimjibu humu JF kwa kuleta mada kama hii hapo jana. Suala la nyege bwana ni vigumu kuliingilia kwani kuna wakati mtu anashikwa na nyege mpaka anabaka kuku, mjusi, panya, au wanyama tu in general (well, hao vijusi, panya, ni exaggeration but you get the point). Kuoa ama kuolewa ni cheo tu na akimaanishi anything zaidi tu ya lebo ya kusema fulani is with someone kwani umalaya au tabia ya kutoka nje ya ndoa ni hulka ya mtu na mtu. Hivyo unaweza kuoa ama kuolewa lakini bado unachapwa tu kama kawa. Si tunaona makazini kama uonavyo wewe pia? Mimi si malaika ila nafanyaga hii kitu na si kama natongoza hapana, mara nyingi mdada ananijia tu yeye mwenyewe then tunakubaliana. Inasikitisha ila ndiyo hali halisi ya dunia na tena makazini ndipo watu wanakulana kinomaa.
 
Tena wake wa majumbani wanagawa kwa wauza uzuri na wa magengeni. Afadhali anayegawa kwa ofisa maana apatacho huenda kinasadia kuendesha maisha nyumbani!!

We vipi tena? Si afadhali akigawe kwa wa magengeni maana Mama atapata nyanya, vitunguu, chumvi, sukari, na mahitaji yote ya nyumbani bila kukupa wewe stress. Hujawahi ona jibaba linaenda kazini halijaacha hela nyumbani ila akirudi anakuta bonge la pilau na bia juu kawekewa jamaa? Na mtu anakula tu huku akimsifia mkewe kwa ujasiri alionao.
 
Habari wakuu!Hii ishu inakatisha tamaa sana especially kwa sisi ambao bado hatujaoa,kwa style hii kuoa ni ngumu sana,maofisini tunashuhudia mambo mengi sana ya kijinga,kina dada mtulie kwenye ndoa zenu yaani mtu kaolewa ndio kwanza ana 2yrs,lakini anavyokigawa utasema hajazaliwa na binadamu...hata bure unapiga mzigo...Ndugu zangu mliooa hawa workin class gaals yaani i feel sorry for you guys,this is bullshit....
Ni kweli kabisa yaani we acha mm yamenikuta nilikua namuammini my wife kupitiliza mpaka nikagombana na ndugu gari nimempa biz nimemfungulia hakuna kitu anakosa ck moja machale yakanicheza nikachukua cm yake niliyakuta nusura nife nimevumilia kwa ajili ya kulea wtt ctaki waishi maisha niliyoishi mm namuomba mungu anisaidie co maofisini tu ni kila mahali.
 
ndugu usipite tu!hata kama hujaingia kwny ndoa, ipo cku.ni mada ya muhimu kuongelea japokuwa c ngeni kuongelewa..... ni serious issue inayo affect jamii yetu, na ufumbizi wake upo lakini watu wameweka pamba masikioni hawataki kufuata...tusichoke kukumbushana haki,wajibu na majukumu yetu kwenye suala zima la mahusiano

Nashukuru kwa kunizuia nisipite, kiukweli mimi pia ni mwanandoa. Kiukweli huwa haipendezi hata kidogo kutoishi kiapo ambacho mtu ameingia na mwenzie tena aliye mchagua/mkubali na kusema huyu ndiye. Ila hata tabia ya kuolewa fashion ilimradi mwafulani kaolewa basi na mimi niolewe hilo nalo linachangia kutokituliza.
Halaf inawezekana watu hawaamini lile tangazo la tuko wangapi... Jaman tupo wangapi ni kweli ukishakuwa na wa pembeni sijui kidumu kibobo or wherever majina wanaita tegemea mnyororo wa tupo wangapi umeshaukaribisha na ukifanyamchezo utaunganishwa mpaka na sibling ama mwanao.
 
sio kila mwanamke umuonae barabarani anafaa kuwa mke na wala sio kila mke ni mlezi.....
 
Habari wakuu!
Hii ishu inakatisha tamaa sana especially kwa sisi ambao bado hatujaoa,kwa style hii kuoa ni ngumu sana,maofisini tunashuhudia mambo mengi sana ya kijinga,kina dada mtulie kwenye ndoa zenu yaani mtu kaolewa ndio kwanza ana 2yrs,lakini anavyokigawa utasema hajazaliwa na binadamu...hata bure unapiga mzigo...
Ndugu zangu mliooa hawa workin class gaals yaani i feel sorry for you guys,this is bullshit....

Kuoa ni hiyari siyo lazima. Ukiona mambo yanakuwa magumu wewe kaa hivyo hivyo. "Ila tukikukamata unagegeda wake zetu ujue na wewe tuta kugegeda".NATANIA MKUU. Ila ukweli ni kwamba unapotaka kuoa Muombe sana mwenyezi MUNGU akusaidie.Halafu msipende kuoa fashion ya mwanamke ili nawewe uonekane una mrembo .Nakwambia hivi mimi nimesha shuhudia mdada kafunga ndoa just 2 months zimepita lakini akitongozwa Anakubali kwenda kugegedwa. Be careful na hawa mabinti. Wanamatatizo makubwa amabayo sisi wanaume kamwe hatuwezi kuya solve. POLE SANA KWA KUFADHAIKA ndiyo dunia hii.
 
Malaya utawajua tu kwa kuhalalisha tabia na kufanya kuwa ni ya watu wote na siyo baadhi. Wanapenda kufarijiana na kujazana ujinga ili kuhalalisha tabia zao chafu kwa Mungu na kwa jamii. Kudos wanawake wote waaminifu katika ndoa zao, haijalishi wanapitia magumu yapi, wasiotafuta sababu wala kaupenyo ka kuhalalisha tabia zao mbaya na chafu, I'm proud of you wanawake wote waaminifu
Yaani ayanda nakuzimikia ile mbaya, upo ktk real world hauna kupretend wala kupaka watu mafuta kwa mgongo wa chupa. Nakubaliana na hoja zako ktk hili suala kwa asilimia Mia moja. Watu wanafumba macho na kujifanya reality hawaijui, hiyo unayoelezea wewe ndio reality, basi tu. Asante kwa kuwa mkweli.nyakati za wanaume kutuua kwa pressure na stress na kututishia kuwa watatafuta nyumba ndogo kwa vijimambo visivyo na msingi zimeshapita. Siku hizi ni kubanana wote kwenye hiyo mipango kando, tukirudi home wote tusharelease stress maisha yanaendelea kwa amani. Kama tungekuwa tunaishi kwenye ideal world basi ingepaswa wote mume na mke wasitoke nje, ila kwa kuwa ulimwengu tuliomo ndio huu basi hali halisi ikubalike tu kuwa wanawake nao wana needs na desires ambazo zikishindikana kuwa met ndani ya nyumba hulazimika kutoka nje, just like men. Kama ni tatizo litazamwe kutokea angle zote mbili na ufumbuzi utafutwe kwa wote wake kwa waume ila si kuwaona wanawake ndio wakosaji sana wanapofanya Yale ambayo wanaume wamekuwa wakiyafanya tokea Enzi maana sababu zile zile zinazowafanya wanaume watoke nje ya ndoa ndio hizi hizo zinazowafanya wanawake pia watoke nje.Ikiletwa mada ya kuhusu mwanaume kucheat lawama kwa kiasi kikubwa huenda kwa mkewe, Mara ooh amebadilika, Ana gubu, hajijali, n.k ikija inayohusu nje kucheat, lawama zinabaki kwake yeye mwenyewe, ataitwa kila jina baya. Kwa nini hapa lawama zisiende kwa mume wake pia? Wanawake wengi wamechoka sasa wameamua kuja kidijitali zaidi, pita huko nipite kule tutakutana home jioni, hiyo ndio Habari ya mujini. Na mkirudi home kila mtu yupo guilty basi full kujipendekeza kwa mwenzie ili asishtukiwe basi mapenzi motomoto, ha ha haaaa.
 
Last edited by a moderator:
Nitaendelea kusimamia ukweli huu kwamba wapo wanawake na wanaume waaminifu katika ndoa zao, wapo na wataendelea kuwepo mpaka mwisho wa dunia, haijalishi ni wachache au wengi but wapo na wataendelea kuwepo. Kama umeshindwa ni wewe ila kunawenzako wapo wanaweza.
 
Malaya utawajua tu kwa kuhalalisha tabia na kufanya kuwa ni ya watu wote na siyo baadhi. Wanapenda kufarijiana na kujazana ujinga ili kuhalalisha tabia zao chafu kwa Mungu na kwa jamii. Kudos wanawake wote waaminifu katika ndoa zao, haijalishi wanapitia magumu yapi, wasiotafuta sababu wala kaupenyo ka kuhalalisha tabia zao mbaya na chafu, I'm proud of you wanawake wote waaminifu
call me whatever you want ukweli utabakia kuwa huo. Sijasema wanawake wote wala wanaume wote, nimesema wengi. Nyie ndio hamtakagi kuujua ukweli kwa sababu unawatisha. Ila usipolijua tatizo na chimbuko lake utalitafutiaje ufumbuzi? Utaendelea tu kutibu dalili wakati ugonjwa uko palepale.Mleta mada kahoji kwa nini wanawake walioolewa wanamegwa nje, hilo sijaisema mimi, mie nimesema tu ni kwa nini huwa linatokea, sasa namfariji nani na namjaza ujinga nami hapo? Utakimbia sana hadi kivuli chako ila hautabadili hali halisi iwe kama unavyotamani wewe. hii ni vita ambayo haiwezi kupiganwa majukwaani, hapa tunajadili tu. Vita hii ili uishinde unaipigania kwako na mwenzi Wako. Mwenzi aliyeridhika, mwenye furaha na anayeamini anapendwa na kuheshimiwa na mwenzie kamwe hawezi kutoka nje ya ndoa. So pigana nyumbani kwako sio kuja kutusi watu hapa.
 
Back
Top Bottom