nahtaji ushahuri

nahtaji ushahuri

Hahah..kama kukosa tukose wote sio! may be... Asnam my dia, heri kuwa single tu ama kama unao moyo huo basi vumilia...

aaah huu ni uzandiki, hivi kizazi hiki tumeshindwa kabisa kutulizana na kuaminiana kiasi hicho,unaangalia upande mmoja wa shilingi my dia ukikaa single it means hadi unazeeka utakuwa single if not utaingiaje kwenye ndoa kama hujamuandaa mwenza wako,au tuanzishe maduka ya kununua me/ke pale unapohitaji unaenda kuchagua unaemtaka.
 
Hata mkikutana wote watatu haitasaidia kitu, kwani haitakuwa dawa ya wao kuachana. Mimi naona kama unalazimisha uhusiano na huyo mtu. Usimlazimishe mtu kukupenda, kukutana na huyo mwenzio sio uthibitisho kuwa hana mapenzi naye!
 
Wadada mna kazi kweli, huwa wakati mwingine mnatung'ang'ania kama vile tumezaliwa pamoja.
Nimeshakuonesha kuwa sikuhitaji kwa kuanza kutoka na mtu mwingine, bado tu huelewi...
Unataka hadi tuwekane vikao, hivi haujui kuwa ninajaribu kukustahi nisije kukutosa mbele ya mpenzi wangu mpya ukaumia moyo zaidi...

anataka aambiwe hapendwi tena. Hilo hatakuja kuambiwa na jamaa ataendelea kupata service!
 
Kama yeye anakataa fanya mpango behind his back mwombe huyo dada mkutane mzungumze kama wanawake akwambie ukweli na wewe umwambie ukweli then utajua nan anadanganywa na nan anaambiwa ukweli

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Huyo dada anataka kukuvurugia tu ili uachane nae alafu aingie yeye kuwa makini sana kwa hilo
 
aaah huu ni uzandiki, hivi kizazi hiki tumeshindwa kabisa kutulizana na kuaminiana kiasi hicho,unaangalia upande mmoja wa shilingi my dia ukikaa single it means hadi unazeeka utakuwa single if not utaingiaje kwenye ndoa kama hujamuandaa mwenza wako,au tuanzishe maduka ya kununua me/ke pale unapohitaji unaenda kuchagua unaemtaka.

Wala sina haraka...nkifika 40 ntampata!!!
 
Huyo jamaa ana mpango wa kuwaoa wote wawili *mke mdogo na mke mkubwa* so endelea kupambana ili uwe mke mkubwa. S A W A SAWA??
 
nimegundua mpenzi wangu anamahusiano na msichana mwingine, nilipomuuliza akadai ni kweli but wameshaachana kwa sasa, kumuuliz huyo msichana wake kaniambia bado wako wote na wanampango wa kutambulishana mwezi wa sita. cha kushangaa nikiongea na mchumba anaomba msaamaa na kudai alikosea na kupitiwa kutoka na huyo mdada but mimi ndo chaguo lake. nikimwabia kama ni kweli basi tukutane wote watatu na huyo dada ili aongea ili kupata uhakika zaidi na madai yake bt anakataa na kudai co picha nzuri na pia nicwaambie marafiki zangu kwanza... mimi simwamini tena naogopa kumsamehe coz atanihumiza zaidi... jamani bhandugu je uhamuzi niliochukua ni sahihi..?

Ukiona manyoya ujue kaliwa, wewe unasubiri nini sasa hapa yaani unafanywa asusa na bado umengangania......Wakati wewe unafikiri maisha mwenzio anafikiri starehe. Tena kama bado una vimaneno vya wafa maji nimemzoea siwezi kumwacha...utajiju
 
Wadada mna kazi kweli, huwa wakati mwingine mnatung'ang'ania kama vile tumezaliwa pamoja.
Nimeshakuonesha kuwa sikuhitaji kwa kuanza kutoka na mtu mwingine, bado tu huelewi...
Unataka hadi tuwekane vikao, hivi haujui kuwa ninajaribu kukustahi nisije kukutosa mbele ya mpenzi wangu mpya ukaumia moyo zaidi...

hili nalo neno. Tatizo mabinti wengine wagumu sana kusoma alama za nyakati.
 
Back
Top Bottom