Hahahhahaaaa wene Mndeee iweeee, sasa hapo pa kuwapenda marafiki wa mumeo huoni kuwa mnajipa mtihani wenyewe??? Mie marafiki zangu wengi ni Bar-maids.....na Housegirls chacha chema hapo napowee mbwanga....usintafute!!! mie hiyo nilikuwa nastaarabika na mahabuba wangu sosoliso!!! kelele zako hata sikuzisikia!
Advice to girls; If you want your man to love you more: give him time (to be with his friends, to watch soccer etc), show that you trust him, be thankful and avoid your selfishness. utashangaa unapendwa hata kama si mrembo physically.
Mimi ndugu nimeoa. Nilichojifunza mpaka sasa;
==?Malezi/Uhusiano/Mazoea ya uchumba hata kwenye ndoa ndio yanakuwa maisha halisi
NAMAANISHA NINI?
Kama umezoea/umemzoesha kupokea simu kila baada ya dakika 10 kwa kutoka kwenye meeting, basi mkeo/mchumba wako ataendelea kukusumbua hivyo hivyo
Kama ulishawahi kuwa na mahusiano na wanawake wengine basi mchumba/mkeo atakuwa na wasiwasi sana na atabehave kama ulivyosema hapo juu.
CHA KUFANYA
Vunja ukimya, mwambia kuwa unapokuwa kwenye meetings unahitaji concentration, kutokuongea au kuchat mara kwa mara haimaanishi haumpendi au haumjali
Mwambie kama anahisi una wanawake wengine basi anajiumiza bure, aende kwenye nyumba za ibada akapate AMANI ya moyo maana wewe hauna makuu wala uzinzi.
the gud thng mchane live au
pia ww umemzoesha bila mipaka..Ladys ckuzote ni tairi za nyuma hufuata
mwlekeo wa tair za mbele
Wasichana wengine matatizo sana, yaani akikaa kwene mahusiano bila kuleta chokochoko haoni raha anatafuta sababu hadi mgombane, mara akague simu akikuta hakuna sms yoyote kutoka kwa msichana ananuna eti lazima umezifuta, akiikuta sms kutoka kwa msichana ananuna eti utakuwa unamsaliti, yaan ilimradi vurugu tu.
Anataka hata ukiwa kwenye meetings uwe unatoka kila baada ya dakika 10 unampigia simu. angekuwa anafanya hivo kama alishawahi kukufuma unaweza sema afadhali lakini kama hujawahi kumsaliti alafu akawa anafanya hivo inachosha sana. Sijui mwanamke wa hivi anajua anavyoboa?? hata kama anatabia nyingine nzuri, na sijui kama akiachwa anajua sababu zake kutemwa au laa. Du yamenikuta bandugu.
Advice to girls; If you want your man to love you more: give him time (to be with his friends, to watch soccer etc), show that you trust him, be thankful and avoid your selfishness. utashangaa unapendwa hata kama si mrembo physically.
asa my man ndo ana tabia izo kabisa