Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,175
- 34,410
bibi.com, risamehe bure rimepitwa na wakati
hapa tayari unaonyesha wewe si mwanamme maana wanaume huwa hawana hasira za kijinga na kuwapiga wake zao! mwanamme mwenye akili ni yule anayetumia busara na akhli yake kusuluhisha mambo ukiona mwenye kutumia nguvu ujue ni mpumbavu na kichwani hamnazo na nguvu ndio silaha yakd
Last edited by a moderator: