Mtoto aliyekataliwa na baba yake

Mtoto aliyekataliwa na baba yake

do it for your God,acha kumuoopa huyo bro wako

Habari zanu wana JF,

Naombeni ushauri wenu katika hili lililonikuta, ni story ndefu ila in short miaka ya nyuma kipindi tukiwa tunasoma, our mom alikuwa anaishi na kabinti fulani, by that time she was 10 yrs na kiliacha shule kutokana na matatizo ya wazazi wake so kikawa home kinamsaidia mom kazi ndogondogo tu na kumpa mom kampani. Tulimchukulia kama mdogo wetu na tulimpenda sana. After two years my sis aliyekuwa anaishi DSM alijifungua so akamchukua kuishi nae ili amsaidie kazi. Kaka yetu mmoja by that time alikuwa anasoma alikuwa akiishi hapo kwa sister.

After two years binti akagundulika kuwa mjamzito na alipoulizwa nani mhusika alisema ni huyo kaka yangu ila yeye alikana kabisaaaaa!!!Binti wa watu akarudishwa kijijini na alijifungua mtoto wa kike akiwa na miaka 15. Mwaka juzi nilienda kijijini na nikabahatika kumuona huyo mtoto, honestly she resembles my brother kabisaaaaa!!! Nilimpigia na kumweleza kuhusu hilo but alisema kuwa yeye hahusiki na kama anafanana na yeye it is not his business. Huyo mtoto alikuwa anaishi maisha magumu sana imagine at the age of 12 hajaanza darasa la kwanza. ilimuomba mama yake nimchukue niishi nae na pia nimsaidie kwa vile yule kweli ni mtoto wa kaka yangu!

Kwa vile bro alishakataa hata nilipomwambia kuwa mtoto kafanana nae, sikumshirikisha uamuzi wangu niliouchukua wa kumlea huyo mtoto ila mom nilimshirikisha na hakuwa na tatizo na yeye toka zamani alishataka kumchukua ila bro alimkataza so ikabidi aheshimu uamuzi wake. Hadi sasa naishi nae na the girl is very inteligent, amini usiamini nilipompeleka shule walimpa mtihani na kugundua kuwa hakustahili kuanza drs la kwanza, wakampeleka la 3 now yupo la 5.

Last week mke wa huyo brother alikuja kwangu kunitembelea na kumuona yule mtoto, akaniuliza mtoto wa nani?Nikamjibu ni mtoto wa shemeji yangu ili kuua soo wasie gombana na mumewe. Sasa jana narudi toka job namkuta brother kwangu kafura vibaya sana na anadai mimi ninadharau kwa nini nimemchukua mtoto ambae sie wake na amedai kuwa mimi na yeye undugu wetu umeisha na akaondoka bila hata kuniaga.

Naombeni ushauri wenu katika hili mana that brother of mine ni mbabe balaa, yani ndugu wanamwogopa balaa isipokuwa mimi tu!!

Nawakilisha.
 
ntakuwa napima perfomance yako dalaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

perfomance my feet. Tena migogoro huanzia hapo penye kupima pafomansi. Wengi wao hulazmisha kuzpimia wakiwa kitandani.. Sasa hapo patakuwa na amani kweli? Dalaliiiii
 
dalalii nakufanyia intaviu ati naona unaelekea kwenye oral sasa ,written umeshinda dalaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
ila ujue kabisa nkpata huyo kigoli ucje ukategemea kuwa ukija mjini kufanya shoping yako ya miez mitatu utafkia kwangu.{sahau} 1st day 2takuwa na dinner pamoja as a family then after there itakubid utafute pa kwenda kupumzikia wakat unafanya shoping zako.
akhaaaaa sikuwezi wewe
 
Hongera kwa kumchukua huyo mtoto. Huyo kaka yako asikutishe wala nini, kwani ukiamua kuchukua orphan ukamlea yeye inamhusu nini? huyo kaka yako anahaha kwa kuwa anajua huyo mtoto anamhusu. Na ili asukusumbue mwambia wewe unamsaidia yule binti mwenye mtoto kwa kuwa unamfahamu na mliishi naye vizuri kama ndugu na alipata ujauzito akiwa kwenye familia yenu, suala la baba wa mtoto ni nani halikusumbui. Tena umshauri ili aweke nafsi yake huru akapime DNA na mueleze kuwa kwa kuonyesha kuwa wewe unasaidia mhitaji na sio mwanae, majibu ya DNA hayatabadilisha msomamo wako, unless kama akikutwa ni mwanae na akaamua kutake responsibility.
 
Kwa kweli hii tabia ya baadhi ya wanaume kuchovyachovya halafu kukimbia majukumu inakera sana.
learn to take responsibility for your actions
 
By Nivea<br />
huwa siamini sana katika sadaka nizitoazo madhabahuni iwe msikitini au makanisani!!kam kweli naweza barikiwa kama kuwasaidia wenye shida mbalimbali ,wagonjwa na maskini naamini sana katika hili!!!<br />
tena sadaka hii hufika direct kwa mungu maana yule apokeae hupokea kwa imani na kukuombea ubarikiwe .keep on kila kazi njema ina mavuno yake usiwajali binadamu ndugu yangu<br />
ngoja nikupe kisa:<br />
kuna kaka mmja alimpa ujauzito housegal ikajulikana kabisa ni yeye yule bwana akakataa kabisa ,dada yule akapoteza kibarua chake akarudi huko moshi vijijini hata pakuishi tabu! akajifungua mtoto utasema alikuwa na photokopy machine,kwa aibu wakamchukua yule mtoto nakumtelekeza yule dada bila msaada wowote!yule bwana akaoa huko botswana akawa anatamani sana mtoto wa kiume hakuwahi mpata akafikisha majike 5,watu wakmwambia face your ghost beforre u move forward kamwombe yule dada msamaha nakumjengea hata kibanda ,yule bwana akafuata ule ushauri after 1yrs alipata mtoto wa kiume .na yule mtoto wa housegal anamaliza engineering 4th yr.<br />
nakushauri kaka yangu usimwache huyo mtoto msomeshe msaidie kila step mfahamishe mama yako ndio atakayetuelewa .siku moja utashuhudia machozi ya huyo kaka yako .mimi tunapoongea ndani kwangu kuna msichana wa kazi amejifungua tr7 na alipewa mimba na ndugu wa mume wangu mtoto yule amefanana kopy right na yule jamaa na mwanzo alikuwa anakana akaja kukubali kwa maandishi.
<br />
<br />
Hvi kwa nini huwa mnapenda kuishi na ndugu wa mume/mke pamoja? Ni tabia gani hyo?
mfumo wa maisha ya kiafrika........kusaidiana kindugu maana cyo wote waliofanikiwa.......ukioa ndio utajionea!!la sivyo ukaishi jupita!!
 
kwan wew huyo bro wako ndo anakupa kula kama sivyo mlee tu huyo mtoto mana ni wako pia achana na huyo brothr ako mana ameingliwa na roho ya kishetan huwez kataa mtoto wako

sio roho ya kishetan mpendwa,cku hz wanaume wengi ikifika swala la mtoto wa nje na hasa kwa mazngra tatanish km hayo hukwepa majukumu.
 
Habari zanu wana JF,

Naombeni ushauri wenu katika hili lililonikuta, ni story ndefu ila in short miaka ya nyuma kipindi tukiwa tunasoma, our mom alikuwa anaishi na kabinti fulani, by that time she was 10 yrs na kiliacha shule kutokana na matatizo ya wazazi wake so kikawa home kinamsaidia mom kazi ndogondogo tu na kumpa mom kampani. Tulimchukulia kama mdogo wetu na tulimpenda sana. After two years my sis aliyekuwa anaishi DSM alijifungua so akamchukua kuishi nae ili amsaidie kazi. Kaka yetu mmoja by that time alikuwa anasoma alikuwa akiishi hapo kwa sister.

After two years binti akagundulika kuwa mjamzito na alipoulizwa nani mhusika alisema ni huyo kaka yangu ila yeye alikana kabisaaaaa!!!Binti wa watu akarudishwa kijijini na alijifungua mtoto wa kike akiwa na miaka 15. Mwaka juzi nilienda kijijini na nikabahatika kumuona huyo mtoto, honestly she resembles my brother kabisaaaaa!!! Nilimpigia na kumweleza kuhusu hilo but alisema kuwa yeye hahusiki na kama anafanana na yeye it is not his business. Huyo mtoto alikuwa anaishi maisha magumu sana imagine at the age of 12 hajaanza darasa la kwanza. ilimuomba mama yake nimchukue niishi nae na pia nimsaidie kwa vile yule kweli ni mtoto wa kaka yangu!

Kwa vile bro alishakataa hata nilipomwambia kuwa mtoto kafanana nae, sikumshirikisha uamuzi wangu niliouchukua wa kumlea huyo mtoto ila mom nilimshirikisha na hakuwa na tatizo na yeye toka zamani alishataka kumchukua ila bro alimkataza so ikabidi aheshimu uamuzi wake. Hadi sasa naishi nae na the girl is very inteligent, amini usiamini nilipompeleka shule walimpa mtihani na kugundua kuwa hakustahili kuanza drs la kwanza, wakampeleka la 3 now yupo la 5.

Last week mke wa huyo brother alikuja kwangu kunitembelea na kumuona yule mtoto, akaniuliza mtoto wa nani?Nikamjibu ni mtoto wa shemeji yangu ili kuua soo wasie gombana na mumewe. Sasa jana narudi toka job namkuta brother kwangu kafura vibaya sana na anadai mimi ninadharau kwa nini nimemchukua mtoto ambae sie wake na amedai kuwa mimi na yeye undugu wetu umeisha na akaondoka bila hata kuniaga.

Naombeni ushauri wenu katika hili mana that brother of mine ni mbabe balaa, yani ndugu wanamwogopa balaa isipokuwa mimi tu!!

Nawakilisha.

Mpuuze huyo kaka yako. We mlee huyo mtoto kama ambavyo ungeweza mlea mtoto mwingine ambae si ndugu yako. Kama alikataa kama mtoto sio wake alifuata nini kwako? nawewe usijipendekeze kwake kujionyesha unamlea mwanae. we komaa kivyako na akikuuliza tena mwambie huyo mtoto hamhusu.
 
mfumo wa maisha ya kiafrika........kusaidiana kindugu maana cyo wote waliofanikiwa.......ukioa ndio utajionea!!la sivyo ukaishi jupita!!

Mimi sitaki kuishi kwa mazoea. Lazma ntumie ubongo. Kazi kwenu nyie mnaotumia mioyo yenu kufanya maamuzi.. Kazi ya moyo ni kusukuma damu tu. Shtuka.
 
We Nikas na Nivea hamjawahi kuishi kwa watu? kuishi na watu kwa muda kwa nia ya kuwasaidia wafikie malengo yao, si vibaya.mmoja kufanya makosa msiwapunish wengine wote. mkifa kabla ya siku watoto wenu wataenda kuishi kwa wakina nani?
haki anani una mishusho wewe utantimua walahi heheheeheh uanze kunishusha juu chini ntaondokaje kimya kimya
 
Habari zanu wana JF,

Naombeni ushauri wenu katika hili lililonikuta, ni story ndefu ila in short miaka ya nyuma kipindi tukiwa tunasoma, our mom alikuwa anaishi na kabinti fulani, by that time she was 10 yrs na kiliacha shule kutokana na matatizo ya wazazi wake so kikawa home kinamsaidia mom kazi ndogondogo tu na kumpa mom kampani. Tulimchukulia kama mdogo wetu na tulimpenda sana. After two years my sis aliyekuwa anaishi DSM alijifungua so akamchukua kuishi nae ili amsaidie kazi. Kaka yetu mmoja by that time alikuwa anasoma alikuwa akiishi hapo kwa sister.

After two years binti akagundulika kuwa mjamzito na alipoulizwa nani mhusika alisema ni huyo kaka yangu ila yeye alikana kabisaaaaa!!!Binti wa watu akarudishwa kijijini na alijifungua mtoto wa kike akiwa na miaka 15. Mwaka juzi nilienda kijijini na nikabahatika kumuona huyo mtoto, honestly she resembles my brother kabisaaaaa!!! Nilimpigia na kumweleza kuhusu hilo but alisema kuwa yeye hahusiki na kama anafanana na yeye it is not his business. Huyo mtoto alikuwa anaishi maisha magumu sana imagine at the age of 12 hajaanza darasa la kwanza. ilimuomba mama yake nimchukue niishi nae na pia nimsaidie kwa vile yule kweli ni mtoto wa kaka yangu!

Kwa vile bro alishakataa hata nilipomwambia kuwa mtoto kafanana nae, sikumshirikisha uamuzi wangu niliouchukua wa kumlea huyo mtoto ila mom nilimshirikisha na hakuwa na tatizo na yeye toka zamani alishataka kumchukua ila bro alimkataza so ikabidi aheshimu uamuzi wake. Hadi sasa naishi nae na the girl is very inteligent, amini usiamini nilipompeleka shule walimpa mtihani na kugundua kuwa hakustahili kuanza drs la kwanza, wakampeleka la 3 now yupo la 5.

Last week mke wa huyo brother alikuja kwangu kunitembelea na kumuona yule mtoto, akaniuliza mtoto wa nani?Nikamjibu ni mtoto wa shemeji yangu ili kuua soo wasie gombana na mumewe. Sasa jana narudi toka job namkuta brother kwangu kafura vibaya sana na anadai mimi ninadharau kwa nini nimemchukua mtoto ambae sie wake na amedai kuwa mimi na yeye undugu wetu umeisha na akaondoka bila hata kuniaga.

Naombeni ushauri wenu katika hili mana that brother of mine ni mbabe balaa, yani ndugu wanamwogopa balaa isipokuwa mimi tu!!

Nawakilisha.

Hakika mwenyezi Mungu hataruhusu wewe au kaka yako aende kaburini kabla huajshuhudia siku huyo kaka akiomba msamaha kwako, kwa mtoto na kwa mama yake.

Kama kaka alivyo ndugu, huyo naye ni ndugu yako. Kama kaka anatishia kuwa undugu uishe, ni kwa sababu haoni umuhimu wa undugu wenu. Naamini huyo mtoto anauhitaji sana undugu na wewe kwa sasa kuliko huyo kaka, hivyo keep it...
 
Siku hizi swala kama hili linatatuka kirahisi mno kwa kutumia vipimo vya DNA. Hakuna haja ya kutumia mbinu ya kizamani ya kuangalia kufanana kwa sura peke yake. Jambo la kumkataa mtoto ni sawa na kuikataa damu yako. Hilo sio jambo la utashi wa mtu binafsi bali ni jambo linalohusu ukoo mzima. Kama mtu mmoja kwenye ukoo akiwa mpumbavu hataki kutunza watoto wake kwa sababu yoyote ile ni lazima wanaukoo wachukue jukumu. Lakini pia unaweza kumweleza kaka yako mbabe kuwa wewe ndiye uliyempa ujauzito yule binti na wala sio yeye halafu uone ataipokeaje hiyo. Je ataridhika kwa dhati ya moyo wake?
Habari zanu wana JF,

Naombeni ushauri wenu katika hili lililonikuta, ni story ndefu ila in short miaka ya nyuma kipindi tukiwa tunasoma, our mom alikuwa anaishi na kabinti fulani, by that time she was 10 yrs na kiliacha shule kutokana na matatizo ya wazazi wake so kikawa home kinamsaidia mom kazi ndogondogo tu na kumpa mom kampani. Tulimchukulia kama mdogo wetu na tulimpenda sana. After two years my sis aliyekuwa anaishi DSM alijifungua so akamchukua kuishi nae ili amsaidie kazi. Kaka yetu mmoja by that time alikuwa anasoma alikuwa akiishi hapo kwa sister.

After two years binti akagundulika kuwa mjamzito na alipoulizwa nani mhusika alisema ni huyo kaka yangu ila yeye alikana kabisaaaaa!!!Binti wa watu akarudishwa kijijini na alijifungua mtoto wa kike akiwa na miaka 15. Mwaka juzi nilienda kijijini na nikabahatika kumuona huyo mtoto, honestly she resembles my brother kabisaaaaa!!! Nilimpigia na kumweleza kuhusu hilo but alisema kuwa yeye hahusiki na kama anafanana na yeye it is not his business. Huyo mtoto alikuwa anaishi maisha magumu sana imagine at the age of 12 hajaanza darasa la kwanza. ilimuomba mama yake nimchukue niishi nae na pia nimsaidie kwa vile yule kweli ni mtoto wa kaka yangu!

Kwa vile bro alishakataa hata nilipomwambia kuwa mtoto kafanana nae, sikumshirikisha uamuzi wangu niliouchukua wa kumlea huyo mtoto ila mom nilimshirikisha na hakuwa na tatizo na yeye toka zamani alishataka kumchukua ila bro alimkataza so ikabidi aheshimu uamuzi wake. Hadi sasa naishi nae na the girl is very inteligent, amini usiamini nilipompeleka shule walimpa mtihani na kugundua kuwa hakustahili kuanza drs la kwanza, wakampeleka la 3 now yupo la 5.

Last week mke wa huyo brother alikuja kwangu kunitembelea na kumuona yule mtoto, akaniuliza mtoto wa nani?Nikamjibu ni mtoto wa shemeji yangu ili kuua soo wasie gombana na mumewe. Sasa jana narudi toka job namkuta brother kwangu kafura vibaya sana na anadai mimi ninadharau kwa nini nimemchukua mtoto ambae sie wake na amedai kuwa mimi na yeye undugu wetu umeisha na akaondoka bila hata kuniaga.

Naombeni ushauri wenu katika hili mana that brother of mine ni mbabe balaa, yani ndugu wanamwogopa balaa isipokuwa mimi tu!!

Nawakilisha.
 
kitu nilichojifunza kwenye maisha, siyo kila mtu mnayekosana, wewe unakuwa mgomvi. Halafu mi sipendi mtu anayekuja kukupangia utaratibu wa kuishi kwenye nyumba yako. Kwani we watu anaoishi nao kwake huwa unaenda kumquestion?kwa nini yeye achunguze mambo ya nyumbani kwako? wewe na mume wako mna uhuru wa kuishi na mtu yeyeote na kumsaidia ili mradi ninyi wawili mmeelewana. Mwisho ni vizuri ukaelewa undugu hauishi kwa maneno, maana, unaungwa kwa damu. Jifunze kujua jambo lililo jema mbele za Mungu, huwezi kumfurahisha kila mtu. Ukali huo wa kaka yako, ni 'defence mechanism', na guilty haitakaa imtoke.
 
Habari zanu wana JF,

Naombeni ushauri wenu katika hili lililonikuta, ni story ndefu ila in short miaka ya nyuma kipindi tukiwa tunasoma, our mom alikuwa anaishi na kabinti fulani, by that time she was 10 yrs na kiliacha shule kutokana na matatizo ya wazazi wake so kikawa home kinamsaidia mom kazi ndogondogo tu na kumpa mom kampani. Tulimchukulia kama mdogo wetu na tulimpenda sana. After two years my sis aliyekuwa anaishi DSM alijifungua so akamchukua kuishi nae ili amsaidie kazi. Kaka yetu mmoja by that time alikuwa anasoma alikuwa akiishi hapo kwa sister.

After two years binti akagundulika kuwa mjamzito na alipoulizwa nani mhusika alisema ni huyo kaka yangu ila yeye alikana kabisaaaaa!!!Binti wa watu akarudishwa kijijini na alijifungua mtoto wa kike akiwa na miaka 15. Mwaka juzi nilienda kijijini na nikabahatika kumuona huyo mtoto, honestly she resembles my brother kabisaaaaa!!! Nilimpigia na kumweleza kuhusu hilo but alisema kuwa yeye hahusiki na kama anafanana na yeye it is not his business. Huyo mtoto alikuwa anaishi maisha magumu sana imagine at the age of 12 hajaanza darasa la kwanza. ilimuomba mama yake nimchukue niishi nae na pia nimsaidie kwa vile yule kweli ni mtoto wa kaka yangu!

Kwa vile bro alishakataa hata nilipomwambia kuwa mtoto kafanana nae, sikumshirikisha uamuzi wangu niliouchukua wa kumlea huyo mtoto ila mom nilimshirikisha na hakuwa na tatizo na yeye toka zamani alishataka kumchukua ila bro alimkataza so ikabidi aheshimu uamuzi wake. Hadi sasa naishi nae na the girl is very inteligent, amini usiamini nilipompeleka shule walimpa mtihani na kugundua kuwa hakustahili kuanza drs la kwanza, wakampeleka la 3 now yupo la 5.

Last week mke wa huyo brother alikuja kwangu kunitembelea na kumuona yule mtoto, akaniuliza mtoto wa nani?Nikamjibu ni mtoto wa shemeji yangu ili kuua soo wasie gombana na mumewe. Sasa jana narudi toka job namkuta brother kwangu kafura vibaya sana na anadai mimi ninadharau kwa nini nimemchukua mtoto ambae sie wake na amedai kuwa mimi na yeye undugu wetu umeisha na akaondoka bila hata kuniaga.

Naombeni ushauri wenu katika hili mana that brother of mine ni mbabe balaa, yani ndugu wanamwogopa balaa isipokuwa mimi tu!!

Nawakilisha.

Wewe endelea kuishi naye kama mwananao. Kaka yako alimkataaa, sasa inamuhusu nini?
 
Mpuuze huyo kaka yako. We mlee huyo mtoto kama ambavyo ungeweza mlea mtoto mwingine ambae si ndugu yako. Kama alikataa kama mtoto sio wake alifuata nini kwako? nawewe usijipendekeze kwake kujionyesha unamlea mwanae. we komaa kivyako na akikuuliza tena mwambie huyo mtoto hamhusu.

Tupo pamoja. Nilipost kabla ya kusoma text yako. Lakini hapa nakuunga mkono asilimia 100%. Huyo kaka yake ni taahiria. Yeye alishamkataa mtoto, sasa inamuhusu nini
 
Back
Top Bottom