vibaka wa ndoa

vibaka wa ndoa

Alooo eti chai ya sa10 huo uzee wenyewe hufiki hilo nyamafu lako litakuwa lishakuletea virusi kwenye mizoga anayokula afu mie kufika menopause bado sanaaaa wahi kumpikia nyamafu mwenzio najisubir nipelekwe sebene
koma kabisa,mme wangu mpenzi kumwita nyamafu,wewe sema umechukia hapa baada ya kukupa ukweli,NUNGAYEMBE,SUBIRI MENOPAUSE,wakati sisi tunakunywa chai ya saa kumi na vitukuu wewe upweke unakuua,pole bidada
 

Tatizo lenu nyie wanawake mkishaolewa tu then mnabweteka ilimradi tu mliambiwa 'Alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe'! hao nyumba ndogo real wanajua ku-care japo wanatuibia! ndio maana nyumba ndogo anaachiwa 100,000/= za matumiizi but mke wa ndoa anaambuli 10,000/=!
CHANGES BEGIN WITH YOU!
Halafu nyie @Azote na @Nikiwe mna nini? Au mna-share mwanaume?


Na kweli kuna wanawake wengine wana gubu ,lakini ukiwa mwanamke wa Mithali sura ya 31 kuanzia mstari wa 10,MBONA UTAIFURAHIA NDOA,of koz kutakuwa na downs ila kila jaribu lina mlango wa kutokea.
kuhusu hilo swali lako mimi sishare mwanamme mme wangu ni mme wa mke mmoja ambaye ndiye mimi and only me for the rest of his life
 
Alooo eti chai ya sa10 huo uzee wenyewe hufiki hilo nyamafu lako litakuwa lishakuletea virusi kwenye mizoga anayokula afu mie kufika menopause bado sanaaaa wahi kumpikia nyamafu mwenzio najisubir nipelekwe sebene
hayo maneno nayakataa na yakurudie wewe kwa JINA LA YESU,unachokitafuta utakipata,ama kweli DEVIL IS A LAYER
 
unataka nikuchekee,nikuambie maneno matamu umekuwa mme wangu?na bado utaisoma number endelea kutumuka wewe the other woman,hadi ufike menopause,raha ya mapenzi ni kuwa huru,sio upo na mme wa mtu unahofia kuonwa,unahofia mke wa jamaa asijue,Kweli wanawake wazuri wameolewa yamebaki manungayembe yanahangaika na waume za watu,kazi kumwagiwa makombo tu,mwaka huu ni wako endelea kutumika,mme wako ataikuta imetepeta kama ulojo wa bibi juma

heheheiyaaaaaa. wape wape wape haoooooo. na siku hizi wanavyofumuliwa mali.....da. wakija kuzaaa mbona aibuuuuu.

chezea dume linalotaka kutest.
 
Na ni makavu live kwelikweli mumewe anitongoze mwenyewe tena kwa magoti na machozi alafu bibie analeta kibesi bila mpango sawa ye mzuri kawekwa ndani mie wa part time ananifatilia ili iweje?

Tigo mnawapaga nini?
 
Nyie nyumba ndogo kuna kitu ambacho mume kanyimwa namke ndani na nyie mmekubali kuwapa wachimbe dampo. Watchout wakati wa kuzaa mnadumbukiziwa makaratasi kwenye mik.nd* yenu hio kwani ishalegezwa
 
inabidi tu leo niseme mwanamke mimi! eti mimi nimewabatiza wanawake wote wanotembea na waume wa wenzao na kuwaita vibaka wa ndoa! is it a very negative name au ni sawa? kwa nini hatwtulii nao wakapata waume zao, kutwa kucha kuleta mpasuko kwenye ndoa za wenzao? na walio wengi, hata ukiondoka ukawaachia, they cant even make a wife and a home!du!

mi mbona mke wa mtu na pia naiba mume wa mtu. Utaniitaje

ah nimeshachoka kufundisha watu
 
Hahahah mtani yaani hapa hata sikuelewi sijui kwa vile sijanywa chai bado...hebu nipe za gegoni basi usiniache njia panda mie nimeduwaa kama nimekoswakoswa kuangukiwa na kipande cha tofali

STUKA mtani !STUKA!
enh!
mi unaniuizga saa nyingine!
 
Hahahah mtani yaani hapa hata sikuelewi sijui kwa vile sijanywa chai bado...hebu nipe za gegoni basi usiniache njia panda mie nimeduwaa kama nimekoswakoswa kuangukiwa na kipande cha tofali

ahahhahahhaahha nitafute mtani!
usiniache nikaenda zangu! lol!
 
Wake za watu mbadilike mtakapoanza kuelewa kuwa adui yenu ni waume zenu na wala siyo wanawake wenzenu mtashinda vita hii badilishen strategy dilin na waume zenu who are the root cause of this problem, msigombane na wanawake wenzenu who are just the outcome of the problem

hii chungu lakini dawa (by @Lara1) wanawake tulioolewa sijui kwa nini hili somo huwa tunaliona gumu kulielewa. Ndoa ni yangu mimi na mume wangu, kazi ya kuilinda ni yangu mimi na mume wangu na si ya mtu mwingine. Sasa mume kazi ya ulinzi wa ndoa imemshinda anatanga nje kutafuta vibinti, mie nikurupuke kumshikia bango binti wa watu aliyetongozwa, inahuuuu? Binti Ana sababu zake za kumkubali au kumkataa mume wangu ambazo hazina uhusiano kabisa na ndoa yangu.

Kama anataka mwanaume wa kumpa pesa asiadhirike mjini, na dume langu kwa tamaa zake na pasipo shuruti limemtongoza, yeye alikatae kwa sababu gani? Alikuwepo wakati tunatongozana hadi kufunga ndoa? Hakuwepo, sasa ajitwishe jukumu la kuilinda ndoa yetu kwa kisa gani? Yeye Ana shida zake, ahangaike na zangu kwa nini?

hivi akimkataa mume wangu, akaja kuniambia 'dada Nina shida ya kodi, mumeo ananitaka na yupo tayari kunilipia kodi ya mwaka, ila nimemkataa kwa kuheshimu ndoa yenu' mie nitamshukuru na kumlipia hiyo kodi? Kama jibu ni hapana yeye Ana incentive gani ya kumkataa mume wangu wakati Ana shida ambayo mume wangu anaweza kumtatulia?

Issue ni kuwa adui tunalala naye ndani badala ya kudeal naye tunaenda kutafuta wasiohusika. Mie nimeolewa ila hata siku moja sitaumiza kichwa changu kuhangaika na binti anayetoka na mume wangu, nitamalizana na mume wangu ndani na nikishindwa nitakubali nimeshindwa na kuangalia ustaarabu mwingine. Kwani boss akisitisha mkataba Wako bila kufuata taratibu, akaajiri mtu mwingine, utadeal na mwajiriwa mpya aliyepewa nafasi yako au utadeal na boss aliyevunja mkataba?

Tutafakari na tuchukue hatua!
 
Back
Top Bottom