Recent content by diana98

  1. D

    Nikipiga kimoja tu nasinzia

    aisee wengi wao wako hivyo kwa wake zao ila kwa vinchechede vyao utakuta akifiklia chpsi zake lazima aende mara 3
  2. D

    Aunty Ezekiel atia kinyaa kwa kuvaa nusu uchi Kigali-Rwanda

    Ndo tatizo la wakina mwafilombe wakisha pata umaharufu kidogo wenda hii post kaposti mwenyewe aone wagtu wamchangiaje coz misifa yuleee
  3. D

    Wewe ni mvulana wangu wa pili

    mhh Makubwa!
  4. D

    No +255068410070 ????

    no hata mimi napigiwa sana na namba hiyo lakini mbona naona kama namba ya airtel si wewe tu karibu watu wengi wanapigiwa ila ukipiga wewe huwa haipatikani
  5. D

    Mtoto apewe last name gani

    ningekuwa mimi ningemwita MOREEN*PETRINA PETER
  6. D

    simu ya mkononi

    Siku alipokuwa mkali na simu siku hizo ndo nilianza kuchakachua simu kama wangu wa ndoa kwa nini afiche simu mara atoe mtetemo mara afunike thimu mara mda mwingi mfukoni hapo ikabidi tuweke mezani wote makubaliano na viapo vya ndoa mwili mmoja kilichokua chake ni changu chanbgu chake no...
  7. D

    Sipati unyumba hadi alewe chakari

    Mhh pole labda akupendi haahaha ukute anafanya hivyo kupotezea game ujue mtu ukiwa hupendii sanaa hata akikugusa hufeel yan unampenda hata akikugusa begba unhisi mguso sembuse gemu angalia ndoa lazima uhakikishe hilo kwanzaa ndoa si mchezo wengi wao wanawake wanaolwaga kuondoa mikosi hahahah...
  8. D

    Marital "Walk-out"

    Huo mpango wa nje haswa ndo huwa chanzo cha ndoa kuharibika si mwanamke si mwanaume zamani wababu zetu wlikuwa wanaheshimu ndoa zasiku hizi kuna tabia za kuvumiliana katika ndoa ila si mpango wa nje kuna gojwa sasa nani anataka mwache aende akapange vizuri mipango ya nje vizuri
  9. D

    Wanaopajua dodoma mniambie.

    Kuna area d Pale akwa komu kuna upepeo MURWA UKIla nyamaa mbuzi nyuma yake kuna hostel za cbe unavuta na totoz wa kujisevia
  10. D

    Wanaopajua dodoma mniambie.

    [ aiseewekiboko huhuhuhuh
  11. D

    Chadema na uchaga

    Najuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuta kupoteza kura yangu kwa chama cha migogoro kilasik u thaa tha thijui niende wapi
  12. D

    Magufuli aanza kazi J2 kwa vitisho......Kweli aanza vibaya......

    mhh hapa tz ukifanya vizuri unaonekana mbaya kweli ukila kimya kimya kifisadi basi watu unafanya kazi kweli aisee tabu kweli niliposikis magufuri kaenda huko niikajua kule tanlods Mrema kwisha kazi na kumuondoa mrema kwangu ni big up magufuri manake kulikuwa kunanuka uvundo na chapili kama...
  13. D

    Magufuli aanza kazi J2 kwa vitisho......Kweli aanza vibaya......

    mhh hapa tz ukifanya vizuri unaonekana mbaya kweli ukila kimya kimya kifisadi basi watu unafanya kazi kweli aisee tabu kweli niliposikis magufuri kaenda huko niikajua kule tanlods Mrema kwisha kazi na kumuondoa mrema kwangu ni big up magufuri manake kulikuwa kunanuka uvundo na chapili kama...
  14. D

    Angalizo muhimu kuhusu uteuzi wa Dr. Magufuli wizara ya ujenzi

    Mhh hakiwezi kikakubalika kila kitu anachofanya magufuri kumbuka yule ni binadamu kama wewe vile hatuna viongozi wengiwazuri safiiiiiiiii kivile kama uonavyo malaika ila ukweli magufuri anajitaidi pita wizara zote alizopita zile rushwa rushwa zinakuwa zinakoma na watu wengi akishafika...
  15. D

    Magufuli hatakiwi?

    Na hisi na wewe ni wale fungu la kumi magufuri yukoo poaaa sana ndo mana watanzania wengi wanamkubali hizo nyumba wakubwa walimfanyia fitina kumbuka sehemu zote anazopita watu wanaogopa coz wabong tunapendwa kuongwa sana ukweli kwa tz sina wasiwaisana na magufuri na hamu kuona wachina...
Back
Top Bottom