Magufuli hatakiwi?

Magufuli hatakiwi?

Kuna jamaa mmoja anayehisiwa anafanya kazi miundombinu jana akiwa maeneo ya Mbezi tangi bovu akipata kinywaji, baada ya kuwa amelewa kidogo alikasirika sana kuwasikia watu wa meza ya pili wakisifia uteuzi wa Magufuli na Mwakyembe kwenda miundombinu anadai tokea Jk alipomteua Magufuli na Mwakyembe kuwa mabosi wao wapya, hali ya hewa siyo nzuri sana pale Wizara ya miundo mbinu kila mtumishi anataka ikiwezekana ahamishiwe wizara ya uchukuzi kuepukana na huyu mtu, wenye uwezo wa ku-robe wameanza kufanya hivyo, wafanyakazi wengi hawajafurahishwa maana walisha wahi kufanya kazi chini ya magufuli hali ilikuwa ngumu sana kimaslahi, wanadai ni mtu anayependa sana sifa kwa kuendekeza zaidi maslahi ya Taifa huku akiwaacha watumishi wakihaha kwa kuwabania mianya ya kujipatia pesa za ziada. Huku akijua fika mishahara ya serikali haiendi na wakati.

Jamaa anasisitiza "Usije ukashangaa ukiona wakandarasi wa barabara wanafunga sana makampuni yao kipindi hiki maana hili eneo litakuwa halilipi kama awali, ukitaka kuamini haya nenda ile wizara ya mifugo na uvuvi uone jinsi wanavyofurahia huyu jamaa kuondoka, mi binafsi simtaki kabisa"

Jamani tujifunze kutokuyazungumzia masuala ya ofisini tukiwa bar, nina uhakika huyu jamaa hatima yake siyo nzuri. maana waliokuwa wanamsikiliza walikuwa wengi.

Kuna watu wanataka maslahi ya taifa yawe nyuma ya maslahi yao!!!. Anyway, the private sector is open to them to engage in various business opportunities , as it is improper for a civil servant to use most of his/her time in private issues at the expense of the Tanzanian Public interest in general.
 
Kuna jamaa mmoja anayehisiwa anafanya kazi miundombinu jana akiwa maeneo ya Mbezi tangi bovu akipata kinywaji, baada ya kuwa amelewa kidogo alikasirika sana kuwasikia watu wa meza ya pili wakisifia uteuzi wa Magufuli na Mwakyembe kwenda miundombinu anadai tokea Jk alipomteua Magufuli na Mwakyembe kuwa mabosi wao wapya, hali ya hewa siyo nzuri sana pale Wizara ya miundo mbinu kila mtumishi anataka ikiwezekana ahamishiwe wizara ya uchukuzi kuepukana na huyu mtu, wenye uwezo wa ku-robe wameanza kufanya hivyo, wafanyakazi wengi hawajafurahishwa maana walisha wahi kufanya kazi chini ya magufuli hali ilikuwa ngumu sana kimaslahi, wanadai ni mtu anayependa sana sifa kwa kuendekeza zaidi maslahi ya Taifa huku akiwaacha watumishi wakihaha kwa kuwabania mianya ya kujipatia pesa za ziada. Huku akijua fika mishahara ya serikali haiendi na wakati.

Jamaa anasisitiza "Usije ukashangaa ukiona wakandarasi wa barabara wanafunga sana makampuni yao kipindi hiki maana hili eneo litakuwa halilipi kama awali, ukitaka kuamini haya nenda ile wizara ya mifugo na uvuvi uone jinsi wanavyofurahia huyu jamaa kuondoka, mi binafsi simtaki kabisa"

Jamani tujifunze kutokuyazungumzia masuala ya ofisini tukiwa bar, nina uhakika huyu jamaa hatima yake siyo nzuri. maana waliokuwa wanamsikiliza walikuwa wengi.
Una sababu za kutomtaka.......??? AU NDO WALE WALE WA 10%........???
 
Tataizo kubwa ni kuwa nyie watu wa DAR mnapenda sana starehe na kura raha tuu nadhani kuna haja ya kuhamishia wizara zote Dar (to Dodoma) na ndio maana mwisha jisaha na kudhania DAR ndio TZ na mtabakia hivyo na ngojeni KATIBA ibadilike na mtaukimbia huo mji na mtakuja huku kwenye dhahabu nawambieni.

Kweli mko wizarani bado mwataka mlelewe kama mayai mliandika wenyewe wako mtiifu sasa mwataka kuikana tumikieni Taifa msilete ya ubinafsi hapo si mlitaka kazi wizarani mfanye sasa na kukimbilia Dar teh teh teh, Kumbe warudisha maendeleo mko wengi huko wizarani no wonder kuna kuwa na MAFISADI na majumba ya ajabu huko Dar Ati Kiwanja Billion Moja jamani hiyo Pesa mwaitowa wapi nchii hii imefika mahali pa kuuza kiwanja Bil 1???????
 
Ahh kumbe ni mawazo ya mlevi..! neways ni mawazo yake.. ila nivyojuwa walevi hawajui wanaongea pumba gani wakiwa nzutu!

Mmm ! wanaongea yale yaliyojikita kwenye brain zao ambayo kwa hali ya kawaida hawawezi kuyaongea. Hata hivyo ni jambo la kuwa makini maana hujui nani anakusikiliza
 
Tataizo kubwa ni kuwa nyie watu wa DAR mnapenda sana starehe na kura raha tuu nadhani kuna haja ya kuhamishia wizara zote Dar (to Dodoma) na ndio maana mwisha jisaha na kudhania DAR ndio TZ na mtabakia hivyo na ngojeni KATIBA ibadilike na mtaukimbia huo mji na mtakuja huku kwenye dhahabu nawambieni.

Kweli mko wizarani bado mwataka mlelewe kama mayai mliandika wenyewe wako mtiifu sasa mwataka kuikana tumikieni Taifa msilete ya ubinafsi hapo si mlitaka kazi wizarani mfanye sasa na kukimbilia Dar teh teh teh, Kumbe warudisha maendeleo mko wengi huko wizarani no wonder kuna kuwa na MAFISADI na majumba ya ajabu huko Dar Ati Kiwanja Billion Moja jamani hiyo Pesa mwaitowa wapi nchii hii imefika mahali pa kuuza kiwanja Bil 1???????
Hivi...........ulitaka kiwanja cha pale kariakoo kiuzwe sh. ngapi.......??? Dodoma hatuji....labda bungeni tuuuu
 
Magufuri ni mwiba huwa hataki ujinga, unakumbuka wakt mkwere anaingia madarakani awamu ya kwanza jamaa walimvalia njuga ili akate tamaa but he survived. Jamaa anafanyakazi kwa data na uwajibikaji. Nina ndugu yangu anafanya kazi tanroads kakasirika kweli kusikia dr pombe ni bosi wake. Anasema kwa huyu bwana hakuna kulala!

Wizara zote zikiwa hivyo ndio tutatoka lasivyo tutakuwa maskini wa kutupa maana mijitu inataka TZ iwe USA kwa ndoto au ??? ndio kuhenyeka huko sasa hutaki kazi sepa kwa wanao taka kula BATA teh teh teh watanzania kweli tunamatatizo lini tutaamka nakujua lipi la kufanya na lipi sio la kufanyaaaa?

Na Wizara ya Aridhi Tibaijuka nae yupo huko nae hapendagi mchezo ngojeni mwone na huko nao wahame maaana miundombinu na Aridhi zinaendana na watu wametokea mkoa mmoja na mwawajua watu wa Kanda ya ziwa wao huchapa kazi bwana hwataki bla bla kama za bro Masha anatuletea Umarekani wake wizara ya mambo ya ndani??

Hivi...........ulitaka kiwanja cha pale kariakoo kiuzwe sh. ngapi.......??? Dodoma hatuji....labda bungeni tuuuu

Sio Karikaoo tuu ni jana kibonde anasema kiwanja kiko msasani kina ubwa B 1 na wahusika ili wakufanyia mambo uwalipe 500M sasa is that Money Laundry au??? Kwa akili yako ya kuzaliwa inakuingia akilini hiyo nchi maskini kama sisi. au nawe ni FISADI?? Jamani COUNTRY FIRST

Na ndio maana utabakia hivyo ukiwa na mwazo ya kukaaa karikaoo kila siku wakati kuelekea huko kimara kwenda kibaha kuna viwanja mwategemea mji utakuwa lini na hizo Fly Over mzitakazo zitajengwaje jamani kukuza miji ndio vyema na ndio kutakuwa na mgawanyo mzuri wa kipato sasa wewe toka mwenge to Posta unatumia masaa 3 huoni ni tatizo hilo la mipango miji??

Dodoma kikatiba ndio makao makuu ya nchi which mean kuna branch za wizara zote pale ni swala la kuboresha tuu nchi yetu bado ni kubwa sna na wakiimarisha miji huko mikoanai nani akimbilie dar maana kila kukicha vijana wako Dar.

Kama kweli wewe ni mpenda maendeleo utakubaliana nami kuwa kuna haja ya kujenga miji yetu na kupunguza kasi ya watu kujazana maeneo kadhaa au Nchi iwekwe kimajimbo kama unajua maana ya majimbo basi utaona maendeleo yatakavyo kuwa kwa kasi maana kila jimbo litajitegemea kwa kiasi kikubwa
 
Mimi nimetua pumzi baada ya kusikia kwamba hatakiwi kwa sababu anabana na kusimamia vema rasilimali za taifa ilia hao mchwa wasizimalize. Tena akimbie na wenzake kabla hawajapandishwa kisutu laana wakubwa ambao wanafanya barabara zinakuwa sub standard kwa sababu ya kuendekeza fungu la kumi. Mimi nafikiri Magufuli hana shida ya kupendwa na hao mchwa mradi watanzania wataikubali kazi yake. Natamani kuona moto ambao combination hii ya magufuli na mwakyembe utakavyowatia adabu mawakala wa ufisadi.
 
Huyu Magufuli ndo yule alisimamia uuzaji wa nyumba za serikali? Nyumba ya thamani ya TSHS. 500m inauzwa kwa TZS. 3m nakwa mkopo wa miaka kumi.Watanzania ni kusifiana tuu. Yale yale ya Mrema kelele nyingi vyombo vya habari kwa nyuma anadaka fungu lake. Nani hataki urais?
 
muongeaji anaonyesha anavyopenda pitisha mbele maslahi binafsi. Shame on him
 
Na hisi na wewe ni wale fungu la kumi magufuri yukoo poaaa sana ndo mana watanzania wengi wanamkubali hizo nyumba wakubwa walimfanyia fitina kumbuka sehemu zote anazopita watu wanaogopa coz wabong tunapendwa kuongwa sana ukweli kwa tz sina wasiwaisana na magufuri na hamu kuona wachina Watkavyoongea kiswahili kwasikzijazou
 
Aisifiae mvua imemnyea
 
Binafsi Magufuli namwona kama samaki pande 2.ya kwanza kaweka zaidi maslahi ya taifa mbele na hilo ndilo tunalolitaka watanzania, ana uzoefu hivo tutegemee barabara nyingi zaidi kujengwa na pia kuimarishwa kwa viwanja vyetu vya ndege kama mbeya,kigoma, bukoba nk.Mwakyembe anajua kukomalia jambo binafsi alikuwa mwalimu wangu chuoni ana msimamo natumai watafanya kazi.Hao wanaotaka maslahi binafsi ndo walewale wakwapuaji nadhani asafishe kwanza Tanroad kuna ufisadi na ukwapuaji mkubwa sana kwa takwimu fupi kila mfanyakazi wa Tanroad anaishi maisha ya kifahari tofauti na mishahara yao ni sawa na wafanyakazi wa Tanesco kigoma ambao huuza mafuta yote ya mitambo ya kuzalisha umeme na kuwacha mashine 2 tu huku wao wakijinufaisha na kuwaacha wananchi wakiteseka isipokuwa eneo analoishi mkuu wa mkoa na usalama wa ataifa basi.Upande wa Pili magufuli ndio ana kashfa za kuuza nyumba za serikali bila kuzingatia bei halisi ya soko wanasema aliwapa anaowataka yeye,kila mtu ana mapungufu yake.labda atabadilika sasa.Tutegemee mabadiliko labda ktk hiyo wizara.
 
Kuna jamaa mmoja anayehisiwa anafanya kazi miundombinu jana akiwa maeneo ya Mbezi tangi bovu akipata kinywaji, baada ya kuwa amelewa kidogo alikasirika sana kuwasikia watu wa meza ya pili wakisifia uteuzi wa Magufuli na Mwakyembe kwenda miundombinu anadai tokea Jk alipomteua Magufuli na Mwakyembe kuwa mabosi wao wapya, hali ya hewa siyo nzuri sana pale Wizara ya miundo mbinu kila mtumishi anataka ikiwezekana ahamishiwe wizara ya uchukuzi kuepukana na huyu mtu, wenye uwezo wa ku-robe wameanza kufanya hivyo, wafanyakazi wengi .............

Jamani tujifunze kutokuyazungumzia masuala ya ofisini tukiwa bar, nina uhakika huyu jamaa hatima yake siyo nzuri. maana waliokuwa wanamsikiliza walikuwa wengi.

Thanks niliyokugongea ni ya hiyo sehemu ya blue

Huyu jamaa ni mfano halisi wa hata sisi wataka mabadiliko wengi pia. tuna udhaifu wetu.

  • Tunaweza kuwa na mawazo, ideas nzuri lakini hatujawai formaly kuziwakilisha kwa wahusika katika sehemu zetu a kazi. Unge muuliza jamaa Amewasilisha officiail memo ngapi za advice, ideas miezi mitatu iliypita
  • Tunaongea Idea nzuri sehemu zisizotakiwa wala isyoweza kuleta mabadiliko mfano bar,pub au informally na wenzetu ofisini.
Kwa hiyo siyo tu kujifunza kutozungumzia masuala ya ofisini ukiwa bar bali pia tujifunze kuwasilisha mawazo yetu mazuri kwa kwa maandishi kwa wahusika. yakitaliwa sio weakness.

Inakuwaje graduate anafanya kazi hajawai kuandika ushauri wowote kuhusu kuboresha utendaji na ufanisi wa eneo lake la kazi.?????
 
kiongozi baora ni yule anaeweka mbele maslahi ya umma na sio maslahi binafsi. i therefore conclude that magufuli is the best leader anahitaji pongezi

jamani mijadala mingine!

kwani ikoje? mkuu hatuwezi kujadiri maisha yako binafsi kwa faida ya taifa letu
maana naona huo ndiyo ungekuwa ni mjadala mzuri kwako
kumbuka chanzo cha bati kuvuja ni uchakavu wa bati lenyewe
na ukitaka kupata taarifa nyeti za mahali mvizie mlevi
 
Sasa mleta maada sisi tutajifunzaje kutoka kwa mlevi
mwalimu akiingia darasani na kata k wanafunzi tutajifunza nini kutoka kwake, huyo alisema alichotumwa na pombe

Mwache huyo na mipombe yake atapambana na Pombe Magufuli! ha!ha!ha! yangu macho
 
Aliyeleta mada naona kama alikunywa bia kwanza ndo akashika keyboard. Unaposema Magufuli anazuia maslahi ya watu una maana gani? ufisadi? ni dhuluma? Jamii huongozwa na taratibu za kazi siyo mawazo ya watu. wizara siyo chama cha siasa kuchagua nani anafaa. Kama kutakuwa na matatizo huenda watu wenyewe wana matatizo yao siyo Magufuli. Kuwa na genuine points
 
Kamakufuli kenyewe kajizii tuu, bado nakakumbuka sana kalitakata kutunyang'anya viwanja vyetu vya mbezi na tegeta wakati kenyewe kanajigawia nyumba za serikali tena mchana kweupee
 
guys, mi ni mmoja wa civil servant the former moid, nimefurah sana na uteuz huo coz am sure watu watafanya kazi sana pia tanroads watawajibishwa ipasavyo, coz kuna watu walijisahau wakaona kama tanroads ni yao. So am glad tumepata watendaji wa ukweli aliechukia atakua ni mvivu na asiseme kua wizarani watu hawajafurah tumefurahi sana sisi wachapa kazi.
 
Back
Top Bottom