Wewe ni mvulana wangu wa pili

gud.
bas msiwe mnauliza maswali yenye kariba ya dharau na kujitia presha
mmekubaliana bas nyie funuanen habar za nani kapita apa zinahuuu?
ebu token zenu uko wakat nyie km msururu bas wakijipanga ni kutoka ubungo mpaka segera!

we najua msururu wako utakuwa mdogo!
kutoka ubungo hadi chamazi!
 
Acha umbeya piga kazi,ukitaka ziada nenda nae angaza mkapime hilo ndo la msingi.Idadi sio ishu
 
Idadi utadanganywa tu ni kweli kabisa. Ukiambiwa 2 jumlisha na wako uwatakao. Kwanza unauliza ili iweje?? Unataka nini hasa huko zaidi ya BP??

dena umenena ukiambiwa wawili ongezea wengine kama 7 hivi na reserve ndio utapata idadi kamili
 
Hujanishawishi bado hata ungenilipia ada ya uanachama ya miaka kumi sijiungi!!!

mi najua wewe wangu tu, its just matter of time, hata members wengine walianza hivo hivo kwa kukana kwenda mbele wakati wa kujiunga, lakini sasa ni wanachama hai kabisa!!!!!!
 
Back
Top Bottom