Recent content by dhi62

  1. dhi62

    JamiiForums Tanzania Tariff war initiated by Donald Trump; who will win, America or China?

    Donald Trump was re-elected as the 47th President of the United States of America with the promise of making America Great Again. It sounds wonderful right? It is true that over years American peoples have suffered a lot from rising costs of living, stagnated wages, rising housing prices and...
  2. dhi62

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mimi umri wangu unaniruhusu kuwa na familia, lakini mpenzi wangu ana miaka 18

    18 yrs anaweza kuhimili mikiki.. siyo lazima ukioa mzae wakati huohuo. Pili utakuwa umemsitiri coz kukaa home asubuhi mpaka jioni au vijiweni inaweza kuwa changamoto kubwa zaidi. Kaa naye ungea naye kuhusu hayo uliyona wasisi nayo then msikilize, washirikisheni wazazi ikiwezekana fungua ndoa...
  3. dhi62

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kisa cha kuhuzunisha kidogo lakini chenye Mafunzo mazuri

    Nakupenda "MAMA"
  4. dhi62

    JamiiForums Tanzania Mwezi umeonekana Saudia

    Very simple logic, saudia na Tanzania we're on the same longitude 45E, inawezekana kweli wao kuwa one day ahead of Tanzania? Logically is impossible! !! Kwanza dunia nzima hamna sehemu zinazotofautiana siku nzima haipo! !! Sie tuendelee tu kujifariji ila ukweli ndo huo tarehe no moja dunia...
  5. dhi62

    JamiiForums Tanzania Alhaji Mussa Salum: Mwezi haujaonekana

    For those who acts according to international sightings tomorrow is Eid and for those depend on Local sightings Eid will be on Saturday in shaa Allah.
  6. dhi62

    JamiiForums Tanzania Alhaji Mussa Salum: Mwezi haujaonekana

    Kuna habari umeonekana Kondoa, any proof of this?
  7. dhi62

    JamiiForums Tanzania Entebbe Notes Show Skeptical Peres Questioning Operation

    Hata Mandela aliitwa Gaidi baadaye alitunukiwa tuzo ya Nobel. It's true operation thunderbolt was real fine but the truth remains that the acts of Jewish state are the same of the Nazist Hitler.
  8. dhi62

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dini tofauti ila nampenda

    Mimi naomba kuuliza wanajukwaa: swali la nyongeza; Let assume pande zote hawana tatizo, je ndoa itafungiwa wapi? Kanisani/ msikitini au bomani. Na kwa wana dini wote watAkwambia ndoa ya bomani siyo ndoa haitambuliki kidini.? Hebu tusaidieni hili pia.
  9. dhi62

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wana MMU tumrudie MUNGU

    Amiin. Imeshuhudiwa mbinguni kuwa umesema yaliyo haki na Mungu atakulipa kwa hilo. Binadamu sote ni wakosaji ila aliyebora ni Yule anayekosea hujirudi na kutubu kwa Mola wake. Tukumbushane kuifuata haki huenda Muumba wetu akatujaalia mwisho mwema.
  10. dhi62

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu namtongoza upya kila siku

    Haya Ni maelezo ya upande mmoja, naomba utujuze kidogo na sababu anazotoa mkeo au visingizio angalau the gifted ones can get the right picture for the right advice. Ushauri wangu. Andaa bajeti mtoe out hata kwa siku mbili mkapumzike tell her mlikotoka and how you enjoyed your previous good...
  11. dhi62

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wana MMU tumrudie MUNGU

    Mungu akulipe kila lililojema na akufungulie mambo yako and hereafter akuingize peponi. Binadamu tumekuwa wanafiki vya kutosha, binafsi siamini kuwa kuna mpagani humu jukwani. Wengi tuko either waislamu au wakristo. Pande zote mbili zinaa imeharamishwa waziwazi lakini tunakuja na thread za ajabu...
  12. dhi62

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina shahada ya Development Studies

    At least kumsaidia unasema kabisa katika output itakayopatikana utampa %? Angalau akitoka hapo kaujuzi na kamtaji kidogo. Naona kuna fursa hapa... ngoja nifanye tathmini nitakuja na Uzi unaoeleweka wa kuwakwamua vijana.
  13. dhi62

    JamiiForums Tanzania Ajira Utumishi - Recruitment portal

    Hata Mimi first time ilinitesa ila baadaye nikagundua kuwa wengi huwa tuna papara na hatusomi maelezo (requirements ) kwa kina. Hebu zingatia na weka kila kinachotakiwa kila aspect, for sure lazima ifike 70% believe me or not ila ndo reality.
  14. dhi62

    JamiiForums Tanzania Nje ndani za Chuo Kikuu cha Dodoma

    Good news... my dear itakuwa vema zaidi tukiongea kama wasomi na siasa tukawaachia wsnasiasa.. put data like quotations ya hiyo ilani tukichangia tuchangie kama wasomi na sio kwa kutumia mihemuko ya kisiasa. Thank you.
  15. dhi62

    JamiiForums Tanzania Nje ndani za Chuo Kikuu cha Dodoma

    Maendeleo ni process ya kutatua matatizo na changamoto. Hakukuwa na chuo, hatua ya kwanza kimejengwa chuo then kutatua changamoto zinazokikabili ni hatua nyingine!!! If you'll fail to praise even the little you then you'll never praise even if you'll get what you dream to get.
Back
Top Bottom