DissDotCom
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 395
- 271
- Thread starter
- #21
Kwa sisi wakristo tunaamini mwanamke hupokea toka kwa mume hivyo yakupasa kudhungumza nae mapema kuhusu mapokeo.kama akikataa Pima kwa nafsi yako...lakini ndoa za Dini mbili mwisho wake huwa mahakamani
asante mkuu kwa ushauri ntalifanyia kazi hilo