Natafuta kazi, nina shahada ya Development Studies

Natafuta kazi, nina shahada ya Development Studies

kabamanya;

Mkishakaa kwenye Maofisi yenu huku mkipulizwa na kipupwe huku vidole vikiwa kwenye laptop mnawaona vijana wasiokuwa na kazi ndio majalala,hawajitambui au ngazi ya kufanikisha madili yenu sio, akisha tembea asubuhi mpaka jioni huku akimaliza soli za viatu, njaa na kiu halafu ili iweje?

Halafu unamshauri aende kuomba msaada eti kwa RC au DC na wakati hao hao ndio wanatuchinjia baharini kwa mipango yao ya kiserikali isiyo na tija kwa vijana kujiajiri au kuajiriwa bila kusahau kupeana nafasi za kazi kindugu au mpaka uhonge hela ndefu.
 
Last edited by a moderator:
unachokisema ndugu yangu na kitamua na ndio maana na mshauri hivyo, na lazima vijana tutambue kuwa serikali ya CCM haina mpango wa kutupa kazi bali ni kutetelekeza mimi sijawahi kuajiliwa na serikali ya CCM ila najua kuaso, chamsingi tuwalazimishe tu, usitegemee mtu kukuletea nauli au hela ya kunywa chai wakati unatafuta.
Mkishakaa kwenye Maofisi yenu huku mkipulizwa na kipupwe huku vidole vikiwa kwenye laptop mnawaona vijana wasiokuwa na kazi ndio majalala,hawajitambui au ngazi ya kufanikisha madili yenu sio, akisha tembea asubuhi mpaka jioni huku akimaliza soli za viatu,njaa na kiu halafu ili iweje?halafu unamshauri aende kuomba msaada eti kwa RC au DC na wakati hao hao ndio wanatuchinjia baharini kwa mipango yao ya kiserikali isiyo na tija kwa vijana kujiajiri au kuajiriwa bila kusahau kupeana nafasi za kazi kindugu au mpaka uhonge hela ndefu.
 
mimi nina project ya kulima viazi ulaya,sasa alie tayari kuvolunter ilimradi awe na uwezo wa kulipunga jembe la mkono,anakaribishwa sana.malazi na chakula bure.

At least kumsaidia unasema kabisa katika output itakayopatikana utampa %? Angalau akitoka hapo kaujuzi na kamtaji kidogo. Naona kuna fursa hapa... ngoja nifanye tathmini nitakuja na Uzi unaoeleweka wa kuwakwamua vijana.
 
Hili taifa halito endelea kamwe yana una kaa nyumbani miaka yote unasubili kazi?
Ina maana huna mbinu nyingine ya kutoka kimaisha?
 
Hili taifa halito endelea kamwe yana una kaa nyumbani miaka yote unasubili kazi?
Ina maana huna mbinu nyingine ya kutoka kimaisha?

hana ndio mana kaja hapa kuomba, mpe mtaji basi aanzishe biashara kama unaona ni rahisi.
 
mkuu kama umri bado unaruhusu jarbu bahati yako jeshi la zimamoto
 
Pole sana hakuna lenye mwanzo bila mwisho Sasa naomba kujua kama unaweza kuja Dar Es salaam kama uko na ndugu au sehemu ya kufikia.
 
Mkishauriwa kasome education,mnabetua midomo kama mmeona kinyesi,ooh nani awe mwl?Iwe funzo kwa wanaosubiri kujiunga na vyuo,pima hali ya familia yenu na uwezekano wa ajira kwa kozi unayotaka kusomea,acha kusoma kwa kufuata mkumbo na mtizamo wa marafiki.

walimu nao wamekuwa wengi. Juzi nilikuwa kwa mkurugenzi wa wilaya moja anasema shule zimejaa walimu hana pa kuwaweka. Mkuu wa shule ninapozaliwa alinambia kipindi kimoja kina walimu 6 sooo ujasiliamali ndo solution
 
wewe nisipokujibu roho itauma ivi kama uwezi coment si upite tuu??? Wewe kama ulipenda elimu ni juu yako na yeye kasoma roho inapenda bas tu mlango haujafunguliwa. Soma coment zote uone kama watu wenye kujua maisha walivojitokeza???? Acha ushamba. Tafuna neno kabla hujalitoa mdomon. Sory kukwambia ukweli
 
walimu nao wamekuwa wengi. Juzi nilikuwa kwa mkurugenzi wa wilaya moja anasema shule zimejaa walimu hana pa kuwaweka. Mkuu wa shule ninapozaliwa alinambia kipindi kimoja kina walimu 6 sooo ujasiliamali ndo solution

Hao waalimu nao mmewajaza mijini tu tena kwa kupewa vijisenti vidogo vidogo.
In real statistics kuna shule zina waalimu less than 5 huku wanafunzi wakiwa 500+.
Shule haziko mijini tu...
 
Pole sana hakuna lenye mwanzo bila mwisho Sasa naomba kujua kama unaweza kuja Dar Es salaam kama uko na ndugu au sehemu ya kufikia.
Naweza kabisa Nina ndugu wa kufikia mkuu
Naomba unipm kwa maelekezo, Mimi naanza kwa kupm mawasiliano
 
Strong woman. Kuna mda juzi kati ulikuja na uzi kuwa umepata mchumba unataka kuolewa ilikuwaje? Je anafanya kazi? Kama ndio kwanini usimshirikishe kwenye tatizo lako atleast akakupa mtaji ka kianzio huku ukitafuta kazi bila presha. Sory kwa maswali na mungu akutangulie.
 
Majibu muda sio mrefu
 
Last edited by a moderator:
Hao waalimu nao mmewajaza mijini tu tena kwa kupewa vijisenti vidogo vidogo.
In real statistics kuna shule zina waalimu less than 5 huku wanafunzi wakiwa 500+.
Shule haziko mijini tu...

hapana ni kijijini kwetu
 
Back
Top Bottom