Mke wangu namtongoza upya kila siku

Mke wangu namtongoza upya kila siku

Ndugu zangu ndoa yangu ina miaka saba na tumejaaliwa watoto wawili. Kabla ya kufunga ndoa alikuwa mtiifu na mnyenyekevu, baada ya ndoa mambo yamebadilika.

Nikirudi kazini namkuta kalala saa mbili tu anadai nimechelewa. Usiku nikilala wala hanigusi hata, nikiomba mechi anabana miguu, kwa mwezi nabahatisha mechi mbili ambazo zote ni counter attack.

Najiuliza hivi ndoa zote zipo hivihivi au ni mimi tu? Kwa sasa nipo kwenye harakati za kutafuta mchepuko ambao utanipa fleva ila sitaupa full mkataba.

Haya Ni maelezo ya upande mmoja, naomba utujuze kidogo na sababu anazotoa mkeo au visingizio angalau the gifted ones can get the right picture for the right advice.
Ushauri wangu. Andaa bajeti mtoe out hata kwa siku mbili mkapumzike tell her mlikotoka and how you enjoyed your previous good times... ask her where actually things went wrong ili mrekebishane. Binafsi naamini wa kwanza kuirekebisha ndoa yenu no nyie wenyewe. Ukiweza kuuteka moyo wake wakati alikuwa hata hakufahamu vizuri na humfahamu hope now you're in better position to win her heart back than those days.
Mkuu never think of mchepuko maana watoto wengi wamekosa mwelekeo baada ya mambo kama hayo .
 
Sasa jaribu sikumoja kulala huko nje kabisa, ukiona bado tafuta binti akupigie sim ukiwa nae na ondoka kalale huko tena, hapo atalegeza tu, mi nilimfanya hivyo wangu, mpaka leo nimetibu, hua ananikumbusha namwambia nilienda kutibiwa kwani we ulishidwa kunitibu.
 
umrudishe kwanza kwao kama mwezi HIV,au mtafutie kosa umdunde ili aende kwao,wakikuita unawapa live kwamba mtoto wao anabana miguu usiku,watamsema wee na ataacha.ilinitokeaga HVO HVO sa sa miaka minne anatoa kila nikihtaj
 
Kwahiyo kutafuta mchepuko ndo suluhisho,yaani wewe ni punguani badala ya kutafuta njia ya kumaliza matatizo na mke wako unatuandikia kwa ujasiri eti unamtafutia mchepuko,huna tofauti na punguani tena punguani kabisa.
 
Ndoa nyingi zina hiyo shida na hiki ndo chazo cha michepuko

Wengine wanasema haya madawa ya uzaz wa mpango yanawapotezea hamu kabisa ya tendo la ndoa kabisa
 
Akibana miguu mtekenye atalegeza!! Then unapenya na kupiga hizo kaunta atak zako

huo ni usumbufu inawezkana iyo hali we ndio unairuhusu we ndo baba kwan hujatoa mahari, na ni nani asiyejua kwamba hyo ni mkeo, suruhisho mlazmishe kila siku kula vyombo ataelewa somo
 
Mwanangu mke ukimwandaa anapanua mwenyeweeeee. Kuwa kocha mshambuliaji, acha kutegemea counter attacks

a kiss for you, huyu kwanza ni mcheza mpira amekariri mechi ni kufunga goli hajui mashabiki pia wanaenjoy zile mbwembwe chenga anakwenda, anakwenda, kapiga kichwa ............ he is no longer romantic in sex ni forward back forward back kama unatwanga mahindi ya makande ya jioni kwakuchelewa,

saa mbili hyo akija haogi, haswaki unanata mwili kama mzinga wa asali unategemea nini.
mwisho kuna kitu umemkera mkeo saaana na hajakwambia ndicho kinaua nasfsi ya maloveww kwako work on it
 
Au sio? Defensi ikiwa makini counter attack haipiti, lazma uwe mbunifu.
 
miaka saba....
mech 2 kwa mwez
mech 24 kwa mwakw
mechi 168 kwa miaka yote 7
sio mbaya lakin

Kwakila mechi goli ngapi???; au tuweke 3 kawaida hiyo

Mechi 2 goli 6 kwa mwez
Mechi 24 goli 72 kwa mwaka
Mechi 168 goli 504 kwa miaka yote 7 , siombaya lakini ,makadrio Yangu ila kama unapiga goli 2 utajua mwenyew
 
Wakati mimi hizi 168 ni kwa miezi 6 tu....

Duu uko vizuri,ebu tu jaribu hesabu hii
168 Mara 2 kwa mwaka 336

336@kila mechi goli 3
Kwa mwaka goli 1008
Haya 1008 labda kwa miaka 7 jumla utakuwa na goli 7056

Duuu!

Eeh ebu chukua 7056 toa za jamaa yetu anaye nyimwa unyumba 504 * _: 7056-504 = 6552 mmmh ! Mwambieni akatafute mchepuko huyu
 
Ndugu zangu ndoa yangu ina miaka saba na tumejaaliwa watoto wawili. Kabla ya kufunga ndoa alikuwa mtiifu na mnyenyekevu, baada ya ndoa mambo yamebadilika.

Nikirudi kazini namkuta kalala saa mbili tu anadai nimechelewa. Usiku nikilala wala hanigusi hata, nikiomba mechi anabana miguu, kwa mwezi nabahatisha mechi mbili ambazo zote ni counter attack.

Najiuliza hivi ndoa zote zipo hivihivi au ni mimi tu? Kwa sasa nipo kwenye harakati za kutafuta mchepuko ambao utanipa fleva ila sitaupa full mkataba.

ndo nazidi kuuelewa ule mstari kwenye Bible usemao...Mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe! eeh kweli kila andiko lenye pumzi ya Mungu lafaa sana kwa mafundisho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom