Ajira Utumishi - Recruitment portal

Ajira Utumishi - Recruitment portal

jamani mwenzenu sjui hata hii recruiment portal n nn.nilimaliza chuo nikaapply kwa posta nikachoka ikabid tu nirudi bush mashambani.leo hii nimeskia hyo kitu.nielekezeni n nn hasa na ni namna gan unaweza kujaza.thanks
 
Jaribu kusoma hii attachment utapata pa kuanzia.
 
Attachments

jamani mwenzenu sjui hata hii recruiment portal n nn.nilimaliza chuo nikaapply kwa posta nikachoka ikabid tu nirudi bush mashambani.leo hii nimeskia hyo kitu.nielekezeni n nn hasa na ni namna gan unaweza kujaza.thanks

Umekuja na nini mkuu toka huko mashambani?
 
mimi imetimia mia

Mimi Ndiyo Kwanza Imefikia Ile Idadi Ya Watangaza Nia Wa CCM Waliojitokeza Namaanisha 38% Na Nimekomaa Tokea Saa 2 Na Nusu Asubuhi Mpaka Sasa Saa 7 Hii Mchana Bado Napambana Tu.
 
Hapa kuna utata kidogo kwny ku attach barua. Iweje uandike af uitoe? Mi naona kama wenyewe wameeleza kwny subject uweke post na institution husika, haina haja ya kuitoa ila ku add kila barua na njia yake.
Kuitoa nahisi yaweza kuleta utata baadae.
Mi cfikirii kutoa barua bali ku add za post zingine nazoomba. Ova
 
asante kwa uzoefu wenu, umeniimarisha zaidi!!!
JF kama taasisi ya umma!!!
Mubarikiwe
 
Jamni m naomba msaada hata kujiunga sijui plz,coz kwenye website yao hakuna sehemu iliyoandikwa portal registration, asante
 
Mkuu nenda chini kabisa pale....mwisho kabisa utaona maneno 'Recruitment Portal'
 
Naomba kuuliza........ maombi ya kazi kupitia Recruitment Portal barua ninyi wenzetu mmescan mlizoandika kwa mkono au mmetuma mlizotype? Je wapo waliotuma typed na wakaitwa interview? Mods naomba msiunganishe huu uzi na ule mwingine nahitaji nijibiwe hapahapa. Nashukuru kwa ushirikiano wenu
 
Unaandika soft copy then una-upload kwenye ile sehemu iliyoandikwa other attachments halafu unachagua kipengele cha letter
 
nilitype na nikaitwa interview.
 
Unaandika soft copy then una-upload kwenye ile sehemu iliyoandikwa other attachments halafu unachagua kipengele cha letter

Asante mkuu....swali langu ilikuwa whether ni ku-type au kuandika kwa mkono
 
Wakuu mimi Profile yangu imefika 87% but kuna kitu kinanisumbua sana. Picha inagoma ku-attach na nishaibadili kuwa pdf format,kila nikijaribu ku-attach inaniletea huu ujumbe '' The filetype you are attempting to upload is not allowed'' sasa sielewi nifanyaje kwa hili,msaada wenu tafadhali.
 
Hahahaa mkuu picha usiiweka as pdf. Picha I attch ktk mfumo wake huo huo. Ukiiweka pdf inasoma kama file co picha tena.
 
Ok but niliweka kama ilivyo nayo ikagoma nikaamua niibadili kuwa pdf,ngoja nijaribu tena.
 
Msaada plzz mbona kipengele cha training na work experience najaza zote nikitaka kusave haijisave nifanyeje? Ama nakosea nini? Maana mpka sasa nina 49% tu sijui hizo sabini naFikisha je?

Hata Mimi first time ilinitesa ila baadaye nikagundua kuwa wengi huwa tuna papara na hatusomi maelezo (requirements ) kwa kina. Hebu zingatia na weka kila kinachotakiwa kila aspect, for sure lazima ifike 70% believe me or not ila ndo reality.
 
Back
Top Bottom