Recent content by Detox Arigato

  1. D

    Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

    Semedo...yaani wing ya Semedo imezaa goli zote 4. zoteee!!
  2. D

    Euro 2020 - Special Thread | Pata kujua yanayojiri katika Michuano hiyo

    Germany wadhaifu sana wakipigwa counter...,kama WC 2018.
  3. D

    Msaada kuhusu kuagiza bidhaa kutoka Ebay

    shukran sana boss...,umenipunguzia hofu
  4. D

    Msaada kuhusu kuagiza bidhaa kutoka Ebay

    boss habari. mizigo toka AliExpress saivi inafika ama bado chenga ni nyingi?
  5. D

    UJENZI: Let us transform your design ideas into reality - Nile house designs

    Design nzuri sana hii Mkuu...,Render inaonyesha good exterior pia. Nimependa idea ya hall instead of corridor. very nice. Ila zingatia hizo critics hizo boss. zingatia sanaaa. Mkuu Mikolo nakuunga mkono...,vyumba vya kulala vinatakiwa kuwa na cross ventilation kwa ajili ya mzunguko wa hewa...
  6. D

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    wachambe haoooo!!!
  7. D

    Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

    shukran Mkuu...,nitakipitia nione binadamu wenzangu wana mawazo gani tofauti/sawia na yangu.
  8. D

    Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

    intrigued by this. well constructed claims to satisfy a proposition. still though, I think your motive to atheism as explained remains captious to me. Notwithstanding this however, I see a true apologia of an atheist here.
  9. D

    Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

    interesting..,utupatie kitabu hicho tujifunze. na pia Mkuu, are you an atheist or anti-theist?
  10. D

    Ramani na ukadiriaji wa matirio

    QS AQRB wakipita hapa utajiteteaje QS? natania Mkuu... kazi nzuri sana
  11. D

    Pesa ni makaratasi, literally.

    worth is assesed by the consumers worth is determined and measured in terms of demand! ni rahisi kuchanganya hizo concept mbili ila haziko sawia per se. pesa uliyotoa kununua diesel leo na pesa utakayotoa kununua diesel kesho zinaweza tofautiana sana depending on the demand of diesel.
  12. D

    Wanaume, mkipenda boga mpende na ua lake

    ume-catch feelings Ulweso. calm down
  13. D

    Pesa ni makaratasi, literally.

    Inflation = Lower Worth. pesa ikiwa "hadimu" pesa ina thamani. pesa ikiwa nyingi, kila mtu anayo. pesa inakosa thamani.
  14. D

    Plastic Pollution is shrinking penises worldwide and will make men infetile by 2045!

    moja ya characteristics kuu ya anatomy research ni it has to be as broadly diverse as possible in terms of time and quantity of samples. Research hiyo imechukua muda mfupi sana "biologically" compared to the time we believe must be exhausted for "significant evolution" to be prominent...
Back
Top Bottom