Recent content by desertambush

  1. desertambush

    Nionyesheni paka hapa

    Huyo hapo
  2. desertambush

    Naweza kwenda Posta kuulizia mzigo wangu kutoka Aliexpress

    Tatizo liko hapa kwetu, mfano Mimi Kuna items nilinunua tangu mwezi wa pili estimated delivery ilikuwa ni March 12 - Apr 11 na ilipofika tarehe 24 March items zikawa zimefika Tz. Kuanzia tarehe ya items kufika kila nikifanya Tracking kwa kutumia app ya 17TRACK inaonyesha mzigo uko Held by...
  3. desertambush

    Riwaya: Hekaheka za Komando Zedi Wimba na Jasusi Honda huko Somalia

    Shukrani Sent using Jamii Forums mobile app
  4. desertambush

    Jasusi Honda ndani ya mpango wa Congo

    Iko safi sana, endelea kushusha.. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. desertambush

    Ushauri: Mama mkwe na ndugu zake wamepanga kesho waje kwangu kunihoji kwanini sifungi ndoa...

    Baada ya kupoteza kazi akaondoka sasa umepata kazi na umejenga nyumba anataka ndoa, kuendelea kulala nae ndani ya chumba/nyumba moja ni kumpa nafasi ya kukumaliza upesi. Uwe mwanaume timua huyo hakufai ukioa tu kinachofuata ni kukuondoa wewe ili abaki na hiyo nyumba . Mwambie akamwambie mama...
  6. desertambush

    Makampuni ya simu(Tigo) acheni upuuzi wa kugawa namba zetu za simu kwa waganga na washirikina

    Nami hilo jitu lilituma meseji kwangu, likiniita Sanga. Jinga sana linafikiri kila mmoja ni mshirikina.
  7. desertambush

    Niko addicted na Mlima Kilimanjaro! I love this Mountain...

    Napenda kuwa mmoja ya hao watu watakaopanda nipo tayari, nilichokuwa nasubiri kwa muda mrefu nahisi kinaenda kutimia.
  8. desertambush

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Hii yangu ni mi5 niliagiza India kwa Rs 22,999 mwaka jana. Jaribu Kariakoo waweza pata. Au agiza kwa AliExpress ama Ebay itafika bila shida.
  9. desertambush

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Hapana, siyo kichomi. Hilo ni jina kubwa sana kama lilivyo Apple ndo maana inaitwa Apple of China. Ninatumia Xiaomi mi5 iko vizuri sana kuanzia chaji, inakaa na chaji pia betri yake ni kubwa camera zote ziko vizuri sana. Simu ina zaidi ya mwaka haijawahi kuleta shida yoyote, jinsi ilivyo bora...
  10. desertambush

    Nairobi, Kenya: Tundu Lissu azungumza na kula chakula kwa mara ya kwanza

    Mungu ni mwema Sent from Desertambush
  11. desertambush

    Jina gani hutaki kabisa hata kuliskia

    Nalifahamu hilo li Danford, pole sana. Lilikufanya nini? Sent from Desertambush
  12. desertambush

    Kuna maonesho ya simu leo?

    Sent from my MI 5 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom