Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Inategemeana na aina ila kariakoo nasikia zipo, mi nilinunua Hong Kong $112.00 na hakuruhusu ununue zaidi ya mbili maana ndo walikuwa wame launch. Nilitaka Tecno lakin hong Kong nzima hakuna tecno ndo wakanishauri Xiaomi. Maana ni copy and paste ya Apple
 
Hakikisha una internet ya kutosha kisha fata hio link niliokupa kama itakubali nipe mrejesho sidhani kama imekaa vizuri iache iinstall kila kitu yenyewe mpaka mwisho ndugu yangu
 
Mkiwa nazo wachache ndio zinakuwa kiboko?

Hilo jina ukisoma kwa uangalifu utagundua kuwa hizo ni "KICHOMI"
Nimetumia aina zote za simu ila believe me iphone na xiaomi ni gumzo!!! Sema iphone haina uhuru wa kufanya mambo mengi kama android ila xiaomi ni best kwangu mimi we endelea tu na tu na unachokiamini ni bora au na wewe ni chizi mabrandy kwamba ukisikia tu sony sijui lg sijui nn unaamini ndio basi
 
Hapana, siyo kichomi. Hilo ni jina kubwa sana kama lilivyo Apple ndo maana inaitwa Apple of China. Ninatumia Xiaomi mi5 iko vizuri sana kuanzia chaji, inakaa na chaji pia betri yake ni kubwa camera zote ziko vizuri sana. Simu ina zaidi ya mwaka haijawahi kuleta shida yoyote, jinsi ilivyo bora nikitoka kwa hii naenda mi 6.
 
Narudia swali ambalo hujalijibu.
Mkiwa nazo wachache ndio zinakuwa kiboko?

Hilo 'gumzo' wanazungumza kuhusu nini juu ya hizo "kichomi"
(kila nikijaribu kusoma ndio naona zinavyosomeka)
 
Hii yangu ni mi5 niliagiza India kwa Rs 22,999 mwaka jana. Jaribu Kariakoo waweza pata. Au agiza kwa AliExpress ama Ebay itafika bila shida.
Ni simu nzuri sana watu hawajui tu. Mimi niliagiza Beijing 2014, bado chuma kabisa. Niliweka protector kutunza screen ikagoma kufanya kazi ikasema remove protector. Kioo kama kilivyotka dukani mpaka leo. Hakuna mkwaruzo hata kidogo!
 
Hapana, siyo kichomi. Hilo ni jina kubwa sana kama lilivyo Apple ndo maana inaitwa Apple of China. Ninatumia Xiaomi mi5 iko vizuri sana kuanzia chaji, inakaa na chaji pia betri yake ni kubwa camera zote ziko vizuri sana. Simu ina zaidi ya mwaka haijawahi kuleta shida yoyote, jinsi ilivyo bora nikitoka kwa hii naenda mi 6.
Ni simu nzuri sana watu hawajui tu. Mimi niliagiza Beijing 2014, bado chuma kabisa. Niliweka protector kutunza screen ikagoma kufanya kazi ikasema remove protector. Kioo kama kilivyotka dukani mpaka leo. Hakuna mkwaruzo hata kidogo!
Camera nzuri sana, ina vitu vingi... charge inakaa sana pamoja na kuwasha data the all day, sichaji ndani ya siku moja na nawasha data full time within 24 hrs na chaji ipo. Ni simu nzuri watu hawajui.
 
Back
Top Bottom