Wakuu naomba maproducer wa audio studio ambao ni Wazoefu wa kutumia cubase programu katika kuedit nyimbo baada ya kurekodia. Please ni procedures /hatua gani unatumia ili wimbo utoke vizuri baada ya kuedit
Wakuu naomba wenye ufahamu wa wanawake wa rombo anijulishe tabia nzuri walizonazo, tabia zisizofurahisha walizo nazo na je ni wafe material. Naombeni msaada
Jamani naombani msaada, nina tatizo la kuugua magonjwa hayo matatu kwa muda wa miaka sita, nikitumia dawa napata nafuu ila baada ya wiki mbili nikipima na kuta bado ipo, hili tatizo linasababishwa na nini? Na dawa gani nitumie ili haya magonjwa yaishe
mshukuru mungu umeonyeshewa mapema kabla ya kuingia kwenye ndoa, jitathmini mwenyewe kama una moyo wa kuvumilia kusalitiwa funga naye ndoa ila kama unaona huwezi kuvumilia ni bora ufanye maamuzi magumu mana kuvunja uchumba ni rahisi lakini kuvunja ndoa ni zoezi gumu sana, pole sana ndugu yangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.