Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

Aiseee,

Hii mbona kama kuwekea ng'ombe alama jamani Duuuh
Maneno ya walimwengu hayo, hakuna kitu kama hicho kama kilikuwepo sikuwahi kukiona wala kusimuliwa na wazazi wangu.
Tabia za kupiga wanawake ni makabila yote tu na ni tabia ya mtu
 
Acha kudanganya watu jinga we, kama kitu hukijui kaa kimya. Mjita na Mkwaya tangu lini akawa jamii ya Kikurya? Au kwa kuwa unawaona wapo mkoa wa Mara? Haka karisya ni ka khangii
Hahahaaa
Kuna wajita wakiwa Dar wakiulizwa makabila yao wanasingizia kua nao ni wakurya.
Sijui wanamaanisha nini...
Eti nao wanataka kuonekana sio watu wa sport sport
 
Wanawake wanaoa wanawake wenzao.

Vipi wanaume, nao wanaoa wanaume wenzao?

Nakuambia, Faiza, wanaume wa kikurya hawafanyi huo uchizi wa wazungu na Obamalization .

Akikuambia, ntu kuwa huyu ni mkurya na anafanya hivyo hebu fatilia vizuri chimbuko lake utakuta siyo mkurya halisi huyo.

Kwa.hiyo Obamalization kwa wakurya nasikia kuwa ni mwiko .

Na akijulikana huyo shingo yake ni halali ya panga.
Ahsante.
 
Wanawake si wanaoana wenyewe kwa wenyewe?
 
Wanawake si wanaoana wenyewe kwa wenyewe?
Nasikia siyo kuoana kama ndoa ya Mme na mke ila ni ishara tu kuwa huyo mke anamilikiwa.na mama Fulani japo aliyeolewa anakuwa na mwanaume wa kuishi naya japo watoto wanakuwa wa huyo Mama.

Nasikia hivyo ila hawafanyi tendo la kukutana kama mke na Mme kati ya huyo mama na mwanamke aliyeolewa.

Ila ni mwiko kwa wakurya kufanya vitendo vya Obamalization na David Cameronization

Kama, nimekosea wajuvi wa kabila hilo watakuelimishani zaidi.
 
Wakuu naomba wenye ufahamu wa wanawake wa rombo anijulishe tabia nzuri walizonazo, tabia zisizofurahisha walizo nazo na je ni wafe material. Naombeni msaada
 
Back
Top Bottom