Recent content by Deo Castory

  1. Deo Castory

    Tabora: Mzee (miaka 60) Asakwa akidaiwa kumbaka mwanafunzi (Miaka 13) baada ya kumrubuni

    Sheria imetafsiri kwamba kumuingilia msichana wa chini ya umri wa miaka 18 ni ubakaji kwakua hana umri wa utu uzima. Kwahiyo ameshawishi kwa miwa na pipi ila kumuingilia ni kumbaka
  2. Deo Castory

    Body to body massage ikoje?

    Nenda massage parlour. Kisha atakayekufanyia massage muombe namba yake unakua unamuelekeza location tu.
  3. Deo Castory

    Miaka 40 ya World Vision Tanzania - Hotuba ya Kaimu Mwenyekiti wa Bodi

    Posts kwao ni mpaka connection ya nguvu, siyo?
  4. Deo Castory

    Leo nimemuona Nadir Haroub Cannavaro nikakumbuka kisa chake cha jezi na Eto'o

    Mashabiki wakasema wapo tayari kuchanga. TFF ikatuliza munkari
  5. Deo Castory

    Nani mwingine katumiwa email na FUNDSFORAFRICA

    Haujaona sehemu wanayoonyesha kwamba wamepokea resume na kumwambia mtumiwa email amepass kwa reference aliyoomba?
  6. Deo Castory

    Nani mwingine katumiwa email na FUNDSFORAFRICA

    Wanazipata wapi??? Wewe CV yako haina info zako?
  7. Deo Castory

    Nani mwingine katumiwa email na FUNDSFORAFRICA

    Huo ni utapeli. Unaelekezwa sites ambazo wanamiliki wao wenyewe ili upate cheti. Utaambiwa ulipie. Ukishalipia, ukirudi huku utakua na bahati kama watakuacha la sivyo utaambiwa kinachohitajika ni kama hichi so kalipie tena.
  8. Deo Castory

    Msaada Infinix smart 5

    Hiyo inamaanisha spika mbovu. Katengeneze spika.
  9. Deo Castory

    Sadaka za Jumapili moja Ml 40-60, ubunge sh Ml 10 kwa mwezi, bora siasa ama Imani?

    Hizi za Jumapili ni lazima uingie ofisini na uongee non stop na hazina kiinua mgongo.
Back
Top Bottom