Mkuu hawa carlcare ni akina nani?Pole mkuu ,wapelekee pale carlcare jirani na msimbazi k.koo watakutengenezea bure
Dealers, au niseme mafundi wa simu za Tecno, infinix na itel.Mkuu hawa carlcare ni akina nani?
Aisee!!Yaani wanatengeneza simu za Tecno pamoja na wenzake akina Tecno waliochangamka yaani infinix,itel,et al!!Dealers, au niseme mafundi wa simu za Tecno, infinix na itel.
Ndiyo 😂Aisee!!Yaani wanatengeneza simu za Tecno pamoja na wenzake akina Tecno waliochangamka yaani infinix,itel,et al!!