Wewe tenaNimekapenda hako kapaka keupe kana muonekano unaovutia, ni ka kiume eeh'..??
Mwali....Nimekapenda hako kapaka keupe kana muonekano unaovutia, ni ka kiume eeh'..??
Kina manunu hawa[emoji119][emoji23][emoji23][emoji23]Nimekapenda hako kapaka keupe kana muonekano unaovutia, ni ka kiume eeh'..??
Wewee..!!! Kheee..!!Nimekapenda hako kapaka keupe kana muonekano unaovutia, ni ka kiume eeh'..??
Nimekapenda hako kapaka keupe kana muonekano unaovutia, ni ka kiume eeh'..??
Walinzi wa kweli 🐕🦺🐕🦺🐕🦺🐕🦺Siwezi kupoteza pesa nikalipa mlinzi kila mwisho wa mwezi wakati yeye ni binadamu kama mimi.
Wote tunaitaji kulala, kupumzika na kufanya kazi kwa mda.
Nafuga mpaka paka baunsa ukijichanganya lazime ukimbie
View attachment 1921325
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hata nmewaza hivyo au hizo account ni zake [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3526][emoji3526]Kwahy mtoa mada ame-download pics na kuja huku kutupiga.?
YeaKwahy mtoa mada ame-download pics na kuja huku kutupiga.?
Nakumbuka mpk Kuna wakuu wakongwe wakasema inatosha kutuchota hvyo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mtoa mada ametupiga hapo, kuna bwege jingine aliwahi kuleta uzi ety chatu amedaka Kunguru halafu akadondokea nyumbani kwake sasa kuna jamaa akaja na screenshot ya hy picha ikionyesha hilo tukio ni la miaka kumi iliyopita hukooooooo ilitokea nchi za mbele