Jamani naombeni msaada ni kwa mda mfupi nimekuwa nasumbuliwa na maumivu ya mgongo upande wa kulia tu mara nyingi uwa makali hasa wakati wa usiku ukilinganisha na mchana na hii Hali naipata ninapokuwa nimelala tu hasa usiku.
Nilipoenda kupima (mkojo na kinyesi) niliambiwa Nina amoeba, UTI na...
Kuna baadhi ya vituo vya afya hapa nchini wanatoza malipo ya dawa kwa wajawazito waliojifungua hasa wale waliofanyiwa upasuaji.
Swali langu; Je ni haki mama aliyefanyiwa upasuaji kulipia gharama za dawa alizopewa ?
Ukitaka kukosana na ndugu zako, marafiki zako wakopeshe ela tu maana wataacha kukulipa na hapo ndipo ukaribu na mahusiano yenu yataishia hapo.
Hii imewahi kunitokea nilimkopesha mtu ela toka mwaka jana mpaka leo tunazungushana tu naumia sana sema sina namna aisee
Nimekuwa nikiuliza wanafunzi wengi kuhusu ndoto zao za baadae lakini wengi wao walionekana kukata tamaa kutokana na tabia za walimu wengi wanaofundisha masomo ya sayansi na walimu wa taaluma kuwatoa kwenye orodha ya wanafunzi watakaosoma masomo ya sayansi kuanzia kidato cha tatu na nne kutokana...
Hasira ni hisia zilizoshindwa kujikabili baada yakufanyiwa au kufanyika kitendo kinachoaminiwa si cha kiungwana kwa mtendwa au mtendewa.
Hasira ni hisia kama namna tumejifunza kuwa hisia ni matokeo.
Kundi kubwa la watu wenye kushindwa kuzikabili hasira ndani yao huwa ni wenye kupata majuto...
Kama kuna mtu ambaye ni mtaalamu wa Websites na Blog nahitaji mtu ambaye anajua designing nzuri za website na blog na kuwezesha akaunti kukubaliwa na Adsence ili niweze kulipwa naombeni anicheki WhatsApp kupitia +255719178114
Ewe mwanamke ambaye umeolewa na mume bahili wa mapenzi, mumeo hajali hisia zako, kila siku ni kutoelewana ndani ya nyumba kwa sababu ya tabia zake mbovu. Nafsi yako haina utulivu, unatumia nguvu zako zote kumridhisha mumeo ili ndoa yenu iwe na furaha ila inashindikana na bado waipenda ndoa yako...
Kwenye suala la kufanya mapenzi katika ndoa au tendo la ndoa kwa mwanamke kuwa na vipaji au umri mzuri katika ndoa havina maana sana ukilinganisha na mental attitude uliyonayo kuhusiana na suala la kufanya mapenzi.
Wapo wanawake walioolewa (si wote) ambao ni warembo, wamesoma, ni portable...
1. Watu wa Majani
2. Watu wa Tawi
3. Watu wa Mizizi
WATU WA MAJANI:
Hawa ni watu ambao wanakuja katika maisha yako kwa msimu tu. Huwezi kuwategemea kwa sababu ni dhaifu. Wanakuja kuchukua tu wanachotaka, lakini upepo ukija wataondoka.
Unatakiwa kuwa makini na hawa watu maana wanakupenda mambo...
Kila Siku Kitandani.....
Kila Mara Kifo Cha Mende,
Mmmh Mwenzangu Hebu Siku Moja Chukua Busati Liweke Chini.
Chukua Mito Yako Uipange Kwenye Busati halafu Tuliza Akili Yako Pahali Hapo.
Si Vibaya Na Chakula Ukakiandaa Hapo Pembeni,
Baada Ya Hapo Andaa Mazingira Ya Kumtega Mumeo. Nikisema...
Watu wawili wanaopendana na kuishi kila mmoja kivyake ni tofauti sana na watu wanaopendana na kuishi nyumba moja.
Wapo ambao hujiuliza inakuwaje wapenzi wawili waliokuwa wanapendana na kuwa na moto wa mapenzi wa kiwango cha juu sana wakianza kuishi pamoja mambo huanza kubadilika?
Pia wapo...
Mwanaume mmoja alimuoa msichana aliyekua ni mrembo kweli, Katika kuishi kwao katika maisha ya ndoa, mwanamke alipatwa na ugonjwa wa ngozi. Taratibu akaanza kupoteza uzuri wake, Ikatokea siku moja mume akasafiri kwenda kufanya kazi sehemu na wakati akirudi akapata ajali mbaya ya gari iliyopelekea...
Pale shauku ya kutaka kubadilika inapozaliwa ndani yako; unapokea roho ya kupambana na kila kilicho kinyume chako mpaka ukishinde. Hakuna chochote kinachoweza kushindana na mwanaume au mwanamke anayeongozwa na shauku ya mabadiliko, shauku ya mabadiriko ni shauku ya ushindi.
Zakayo alikuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.