Siri ya mwanamke kuwa hodari kitandani

Denis1729

Member
Sep 9, 2021
34
109
Kwenye suala la kufanya mapenzi katika ndoa au tendo la ndoa kwa mwanamke kuwa na vipaji au umri mzuri katika ndoa havina maana sana ukilinganisha na mental attitude uliyonayo kuhusiana na suala la kufanya mapenzi.

Wapo wanawake walioolewa (si wote) ambao ni warembo, wamesoma, ni portable, matiti katika size inayong’ang’aniwa na wanaume, wana vipaji vya ajabu na umri sahihi wa kuwa kwenye ndoa na sifa zingine kedekede zinazofanya aonekane mwanamke wa nguvu, lakini linapokuja suala la mapenzi (tendo la ndoa) si lolote na aibu tupu kama si kukatisha tamaa kwa waume zao.

Kwa upange mwingine wapo wanawake (si wote), kwenye ndoa wapo wapo tu na sura zao, hawajasoma, wapo overweight, vifua flat kama wanaume, hawana hata uwezo wowote katika jamii. Hata hivyo linapokuja suala la mapenzi au kitandani ni moto wa kuotea mbali, na wanawapa waume zao vitu vya uhakika kitandani. Na wapo ambao anaweza kuwa kwenye kundi lolote hapo juu na akawa zero kitandani au akawa moto kitandani.

Je, ni nini siri ya mwanamke kuwa moto kitandani na mume wake?

Ukweli si size wala shape wala appearance (muonekano) ya mwanamke ndiyo inayo dhihirisha ufundi wake kitandani, bali mtazamo kuhusu tendo la ndoa ndiyo msingi unaoweza kuelezea mafanikio na kushindwa kitandani.

Kama mwanamke anaamini kufanya mapenzi ni uchafu, au ni kitu kibaya, au mtazamo wowote potofu katika ndoa, hataweza kuleta furaha ya kweli. Kama anaamini matiti yake ni madogo sana au makubwa kupita kiasi ambacho hawezi kufurahia kufanya mapenzi, ni kweli hataweza kufurahia na anaweza kukosa feelings za kweli kuhusu mapenzi ndani ya ndoa.

Kama anaamini skills zake katika kufanya mapenzi ni pungufu, basi hataweza kufurahia raha ya tendo la ndoa,
Kama anaamini mwili wake upo hovyo kiasi kwamba hawezi kuwa uchi mbele ya mume wake, basi ni dhahiri faragha na mumewe imeingiliwa.

Maumbile au muonekano wa mtu si msingi mkuu wa wanandoa kufurahia mapenzi, bali jinsi wanavyofikiria au mtazamo wao kuhusu tendo la ndoa. Hii ina maana unaweza kuwa na size, shape na appearance tofauti au yenye hitilafu kwa mtazamo wa jamii, lakini ukiwa na mtazamo (binafsi) mzuri kuhusu mapenzi unaweza kufurahia tendo la ndoa kwa njia ya ajabu sana na unaweza kuwa moto kitandani na mumeo kukufurahia.

Jiamini mtoto Wa kike, wewe ni mzuri kwake ndiyo maana akawaacha wote akakuweka wewe kuwa ni nyonda wake, sehemu ya maisha yake.

JIAMINI. Mwanamke kujiamini bhana alikupenda kama ulivyo unachotakiwa ni kuutunza urembo wako bila kujali ndoa yenu ni ya muda mrefu kiasi gani.

UKIWA KITANDANI AIBU AIBU PELEKA KULEEE
 
Kwenye kwichi kwichi aibu tupa kule... inakera viaibu aibu visivyo na mpango, mwishowe mjuba unaamua kuchomeka ili mradi tu ukojoe, usepe.
 
Back
Top Bottom