Acha kukopesha watu hela

Acha kukopesha watu hela

Denis1729

Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
36
Reaction score
112
Ukitaka kukosana na ndugu zako, marafiki zako wakopeshe ela tu maana wataacha kukulipa na hapo ndipo ukaribu na mahusiano yenu yataishia hapo.

Hii imewahi kunitokea nilimkopesha mtu ela toka mwaka jana mpaka leo tunazungushana tu naumia sana sema sina namna aisee
 
Unashindwaje kumkopesha mzazi wako amekufata nakukwambia umkopeshe
 
Kabla ya kuja kukukopa anaanzia kwa wachawi anakuloga na kukufanya zombi ili kila atakachokwambia ukubali! Utachomokaje? Au wee mlokole?
 
Hao rafiki zako labda kuna msela wangu ana mshipa wa nyani akili za kusahau. Yaani namdai million 1 mwaka wa pili huu. Juzi kanifata tena anataka nimkopeshe million 4 nilibaki kumuangalia tu.
 
Back
Top Bottom