Walimu wanaua ndoto za wanafunzi kisa matokeo ya kidato cha pili

Denis1729

Member
Sep 9, 2021
34
109
Nimekuwa nikiuliza wanafunzi wengi kuhusu ndoto zao za baadae lakini wengi wao walionekana kukata tamaa kutokana na tabia za walimu wengi wanaofundisha masomo ya sayansi na walimu wa taaluma kuwatoa kwenye orodha ya wanafunzi watakaosoma masomo ya sayansi kuanzia kidato cha tatu na nne kutokana na kutakuwa na matokeo mazuri ya masomo hayo katika mtihani wa taifa wa kidato cha pili.

Wengi wao walitolewa kusoma masomo ya sayansi bila ya kuwauliza uhiyari wao wa kusoma masomo hayo bali kwa lazima kwa kigezo kwamba hawayawezi masomo hayo na kuwapelekea kuishia kusoma masomo ya sanaa yaani arts peke yake.

Naombeni wizara ya elimu na wadau wa elimu waweze kutoa elimu kwa walimu wote kuwa mwanafunzi ana haki ya kusoma masomo anayotaka bila kujali ufaulu anaotaka kwa sababu hakuna sehemu inayosema mwanafunzi asipofanya vizuri kwenye masomo ya sayansi akasome masomo ya Sanaa.

Walimu waache tabia hiyo kwani inaharibu na kupoteza kwa baadhi ya matumaini na ndoto kwa wanafunzi waliokuwa na ndoto za masuala ya sayansi.

Kwanini wanafunzi wasiofanya vizuri masomo ya sanaa hawapelekwi kusoma masomo ya sayansi kama ilivyo kwa wanafunzi wasiofanya vizuri masomo ya sanansi wanapelekwa kusoma masomo ya sanaa?
 
We unadhani mwanafunzi alopata Fkidato cha pili atatimiza ndoto gani? Zaidi ya kufeli zaidi maana itakuwa ni mzigo kwa mwanafunzi na kwa mwalimu pia, kama anataka ndoto zitimie anawajibu wa kusoma kwa bidii ili afaulu mtihani wa kidato cha pili kama wengine, ila si kusoma tu ilmradi
 
Kwani wote waliofaulu masomo ya sayansi kidato cha pili uwa wanafaulu wote kidato cha nne ?
 
Ukishapata F we ndio basi tena.

Sijui kama hata ndoto yeyote unayo.

just imagine unapata F ya biology halafu una ndoto za kuwa daktari !?

Waambie wanafunzi wawe serious wawapo shule masomo.

Sio kulaumulaumu walimu Kila wakati haileti AFYA nzuri
 
Nimekuwa nikiuliza wanafunzi wengi kuhusu ndoto zao za baadae lakini wengi wao walionekana kukata tamaa kutokana na tabia za walimu wengi wanaofundisha masomo ya sayansi na walimu wa taaluma kuwatoa kwenye orodha ya wanafunzi watakaosoma masomo ya sayansi kuanzia kidato cha tatu na nne kutokana na kutakuwa na matokeo mazuri ya masomo hayo katika mtihani wa taifa wa kidato cha pili.

Wengi wao walitolewa kusoma masomo ya sayansi bila ya kuwauliza uhiyari wao wa kusoma masomo hayo bali kwa lazima kwa kigezo kwamba hawayawezi masomo hayo na kuwapelekea kuishia kusoma masomo ya sanaa yaani arts peke yake.

Naombeni wizara ya elimu na wadau wa elimu waweze kutoa elimu kwa walimu wote kuwa mwanafunzi ana haki ya kusoma masomo anayotaka bila kujali ufaulu anaotaka kwa sababu hakuna sehemu inayosema mwanafunzi asipofanya vizuri kwenye masomo ya sayansi akasome masomo ya Sanaa.

Walimu waache tabia hiyo kwani inaharibu na kupoteza kwa baadhi ya matumaini na ndoto kwa wanafunzi waliokuwa na ndoto za masuala ya sayansi.

Kwanini wanafunzi wasiofanya vizuri masomo ya sanaa hawapelekwi kusoma masomo ya sayansi kama ilivyo kwa wanafunzi wasiofanya vizuri masomo ya sanansi wanapelekwa kusoma masomo ya sanaa?
Una hoja ila unatakiwa kujua kuwa: 1. Watoto wengi kwao ni rahisi kufaulu masomo ya Sanaa kuliko sayansi
2. Masomo ya sayansi sio lazima bali ni hiyari kwa mwanafunzi tofauti na hayo ya sanaa..
3. Kumsajili mwanafunzi masomo ya sayansi wakati kafeli kidato cha pili ni sawa na kumuongezea mzigo ambao utamfanya afeli na haya ya Sanaa ambayo ni lazima ayafanye, ili kupunguza kufeli ndiyo maana wataaluma na walimu huwaondoa ili watumie nguvu yao kwa haya ya lazima kwa wote.
 
Nimekuwa nikiuliza wanafunzi wengi kuhusu ndoto zao za baadae lakini wengi wao walionekana kukata tamaa kutokana na tabia za walimu wengi wanaofundisha masomo ya sayansi na walimu wa taaluma kuwatoa kwenye orodha ya wanafunzi watakaosoma masomo ya sayansi kuanzia kidato cha tatu na nne kutokana na kutakuwa na matokeo mazuri ya masomo hayo katika mtihani wa taifa wa kidato cha pili.

Wengi wao walitolewa kusoma masomo ya sayansi bila ya kuwauliza uhiyari wao wa kusoma masomo hayo bali kwa lazima kwa kigezo kwamba hawayawezi masomo hayo na kuwapelekea kuishia kusoma masomo ya sanaa yaani arts peke yake.

Naombeni wizara ya elimu na wadau wa elimu waweze kutoa elimu kwa walimu wote kuwa mwanafunzi ana haki ya kusoma masomo anayotaka bila kujali ufaulu anaotaka kwa sababu hakuna sehemu inayosema mwanafunzi asipofanya vizuri kwenye masomo ya sayansi akasome masomo ya Sanaa.

Walimu waache tabia hiyo kwani inaharibu na kupoteza kwa baadhi ya matumaini na ndoto kwa wanafunzi waliokuwa na ndoto za masuala ya sayansi.

Kwanini wanafunzi wasiofanya vizuri masomo ya sanaa hawapelekwi kusoma masomo ya sayansi kama ilivyo kwa wanafunzi wasiofanya vizuri masomo ya sanansi wanapelekwa kusoma masomo ya sanaa?
Dogo physics alipata D, Chemistry D, Mathematics F

Ilibidi aende arts tu

Msiwalaumu walimu
 
Kama phyz ya form two imemshinda ataweza ya kidato cha 3
 
M nna mfano hai,kuna mwamba nilisoma nae ile tunaingia form 3,akawa kapangiwa asoke Art lakini aliomba sana kwa mwalimu wa taaluma tena alileta hadi mzazi mwisho wa siku akakubaliwa,sahivi mwamba ni Engineer na anapiga mishe zake fresh tu
 
ni rahisi kuongea kama hauko ndani ya field ya Ualimu
 
huo ni mfano mmoja hauwezi kutosha kujustify wanafunzi 100 wanaopata F za physics..bios au chem waendelee kusoma hayo masomoo. form 2 ni definition tu mtu bado anapata buyuuu huyu apishe walio serious waendelee kukomaa aendelee na masomo ya arts au biashara kama anayaweza.
 
ni rahisi kuongea kama hauko ndani ya field ya Ualimu
Naelewa mkuu na jamaa si kwamba alifeli sana...kigezo ilikua ni wastani wa B ndio unasoma sayansi,mwamba alikua na average ya C ...hapa siongelei au kutetea watu wenye F za masomo ya sayansi wakomalie kuyasoma hayo masomo na wakati dalili zote zinaonesha wana msingi mbovu wa sayansi
 
Kumbe alifaulu ,sasa unawatetea wenye F ili iwaje,?
 
Kwani wote waliofaulu masomo ya sayansi kidato cha pili uwa wanafaulu wote kidato cha nne ?
Be serious,elimu si ya kuichukulia mzaha namna hii, napata wasiwasi hata kwenye matokeo yako kuanzia kidato cha pili na hiyo physics unayoikomalia wakati umepata F
 
M nna mfano hai,kuna mwamba nilisoma nae ile tunaingia form 3,akawa kapangiwa asoke Art lakini aliomba sana kwa mwalimu wa taaluma tena alileta hadi mzazi mwisho wa siku akakubaliwa,sahivi mwamba ni Engineer na anapiga mishe zake fresh tu

Kwamba huyo unayema mwamba alipata Physics na hesabu F kidato cha pili na sasa ni Engineer?
Hii ni chai...!!!
Tuletee matokeo ya huyo mwamba hapa!!
 
Hahaha mkuu jaribu kusoma comment yangu iliofuatia...shule ilikua inahitaji ili usome sayansi kidato cha tatu basi matokeo ya kidato cha pili uwe na wastani wa B,mwamba hakua na huo wastani wa B,alikua na wastani wa C....Na hata hio physics unayoiongelea alikua na C...Nadhan kuna namna tutakua tuko boti moja now
 
Hapo nimekupata! Ungeliweka hili sawa kwenye comment ya kwanza!
Huyo kama alikuwa na ufaulu wa C ilikuwa haki yake kusoma sayansi!
Aliyepata F au hata D physics na hesabu kwenda kusoma sayansi ni kutengeneza bomu!
 
I agree with you...
 
Back
Top Bottom