Recent content by dengeru

  1. dengeru

    JamiiForums Tanzania W.J Malecela anatetea hata wezi wa kura ili mradi yeye apate kura kutoka kwao

    mimi pia ni mkazi wa kinyerezi lakini pia huwa wakati mwingine tunalamba bia na mh mahanga pale rufita segerea.kujadili kafanya nn hiyo sio hoja,hoja ni je ubunge wake umetokana na wananchi au viongozi wa juu?kama kweli unaishi segerea utagundua watu wamemchoka yeye na chama chake na ndio...
  2. dengeru

    JamiiForums Tanzania Kwanini ninagombea Ubunge wa EAC - My Case!

    kuna wakati alikuwa anapost ujinga mara sijui jana nilikuwa disco NYC,mara kesho naenda OHIO kula bata,so wat?nikamwambia aache kupost ujinga watu wanateseka huko mtera kwasababu ya ujinga wa babayake,ananiblock facebook..
  3. dengeru

    JamiiForums Tanzania GE2010 Natamani pawepo mdahalo kati ya Nape Nnauye vs Dr. Wilbrod Slaa

    labda mdahalo wa nape na tambwe
  4. dengeru

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mzee Malecela alijulikana ghafla kama “Jumanne”?

    hivi ukitaka kuwasimulia watoto wako juu ya viongozi wa zamani na mambo waliyoyafanya kwa nchii hii,malecela unaweza kumwelezeaje?
  5. dengeru

    JamiiForums Tanzania Kwa Bomu Hili CCM 2015 Kazi mnayo

    nipo dodoma nasubiri siku wabunge wa chadema watakapotoka nje ya bunge nilipue wabunge wote wa ccm wafe,hawana sababu ya kuishi...
  6. dengeru

    JamiiForums Tanzania Lissu abadili upepo UDOM

    we takataka mtahengerwa sijui kama umeisoma vyuo vikuu na kama ulisoma hamkuwahi kugoma,lazima mliwahi je chadema ndo waliowafanya mgome?kinachowafanya wanafunzi wagome ni kutokupata haki zao za msingi...unataka wakae kwa amani wakiwa na njaa...serikali itimize wajibu wake hutaona migomo....
  7. dengeru

    JamiiForums Tanzania Ikulu yaandaa habari kuchafua wabunge wa CHADEMA

    rweyemamu hana kazi...watashindana na nguvu ya umma lakini hawatashinda
  8. dengeru

    JamiiForums Tanzania Mh. Lipumba kaonyesha ukomavu wa kisiasa

    lipumba kaonyesha ukomavu wa kisiasa,kwa hili lazima tukusifie ingawa najua mtatiro(katibu wake)hajapendezwa nalo,maana yeye anawaza upinzani wa cuf na chadema sio democracy....
  9. dengeru

    JamiiForums Tanzania KOTI la Mpendazoe lamshinda NAPE

    kijana wetu NAPE naona amenza kudelete watu wote wanaomchallenge kwenye facebook..anataka abakiwe na watu wanaomsifia hata akichemsha....
  10. dengeru

    JamiiForums Tanzania Nape, Labda ukisoma hapa itakusaidia!

    Well said bro jamaa mlopokaji tu,hawezi kushindana na nguvu ya uma wa lowasa....hakumsikia lowasa alivyosema akukutana na jk barabarani
  11. dengeru

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atunukiwa Nishani ya Heshima Marekani

    hongera mkuu...saa ya ukombozi wa taifa letu umekaribia
  12. dengeru

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa Ridhwani wamweka pabaya Kikwete

    hata wakati DR slaa anatoa list of shame ya akina ramba na mgonja watu mlisema atoe ushahidi yeye akatulia tu,sasa akina mramba wapo wapi?akitoa ushahidi mapema atavuruga mambo wakati ukifika atatoa
  13. dengeru

    JamiiForums Tanzania Mnyika tafadhali soma hii

    mbunge hana mamlaka ya kutoa kibali cha gari la maji taka limwage wape,hipo kazi ya halmashauri....NG'WENEKELE kama huna cha kuandika unaweza kusoma walichoandika wenzako itakusaidia pia..sio kuandika utumbo tu ili na wewe uonekane uwa unapost humu...kaendelee na kazi ya kuvua gamba huko
  14. dengeru

    JamiiForums Tanzania Kujivua gamba na tawi jipya la CCM New York City, USA

    na wewe unakubaliana na CCM kwamba kweli wanajivua gamba?gamba(lowasa,rostam,chenge)ambalo miezi michache iliyopita uliwaita waadilifu na ukasema tuwachague leo hii unawaita magamba,basi inabidi JK atutake radhi sisi wananchi wa monduli,igunga na bariadi na ikiwezekana tuitishe uchaguzi wa...
  15. dengeru

    JamiiForums Tanzania Binti wa Mzindakaya amkashifu Dr. Slaa kwenye facebook

    inasemekana huyu dada anangoma
Back
Top Bottom