KOTI la Mpendazoe lamshinda NAPE

kijana wetu NAPE naona amenza kudelete watu wote wanaomchallenge kwenye facebook..anataka abakiwe na watu wanaomsifia hata akichemsha....
 
Haja delete bana,naona kahamia kwenye page ili awe na watu wengi zaidi!
Kama vipi msearch,utapata page yake then "like" na utaendelea kumpa ushauri huko!
 
si anamuiga mwenyekiti wake hapendi kusikia mambo mabaya wala kukosolewa ndege wa rangi moja huruka pamoja
 
Huyo mkuu wa wilaya anaogopa kivuli chake? Nape take chaallenges into a problems then solve them,. unataka usifiwe tu..
kuambiwa mwanzilishi wa CCJ una-delete...
 
ni pagani kama mimi, nadhani tu, karibuni upagani nyinyi watumwa wa dini za wakoloni!! hahah natania lakini kweli
 
Kwanini msiwe na kauli moja na katibu wako?

Mnamsadiaje Rais wetu?

Waheshimiwa wanaJF,
Salaams!

UPDATE:
Katibu Mukama ameamua kuwa wazi. CCM hawana orodha ya mafisadi wala hawajatoa siku 90 kwa mtu. "Kwa ujumla hakuna mwana-CCM msafi kama Mapacha watatu" aaaah!...ha..ha..haaaaah! Guys, I told you CCM ni nyoka kweli. Ndiyo maana hata Mwenyekiti wao hakuwa na mfano wowote mwingine katika kuelezea wanachokusudia kuwaaminisha wadanganyika isipokuwa mageuzi ya mara kwa mara ya nyoka kwa kuvua magamba tena alisahau kusema mwenye sumu kali.

Kama huzijui aina za sumu ya CCM (Nyoka wa magamba) fuatilia kauli za kuwapo udini, ukabila, ukanda nk. hapa nchini wakikusudia kuua nguvu za vyama vya upinzani. Hawa jamaa wakizidiwa wapo tayari hata kuwatumia viongozi wajinga wajinga wa dini ili kuanzisha vurugu ambazo zitasaidia kuwalinda wao na mali zao. Lakini bado naamini tunayo nafasi ya kutetea nchi yetu iliyopoteza mwelekeo. May the Almighty God save us from these people.
Time will tell, and God willing these people will pay for this one day. And they will pay so dearly that no one will ever try to imitate what they have done to our country. (end of update)

Tunaojua tabia ya unafiki wa CCM tuliposikia CCM inatarajia kuondokana na baadhi ya viongozi/wanachama wake wanaotajwa kuhusika na ufisadi mkubwa tulijua maigizo yanaanza hivyo tukakaa tayari. Watu wengi wameshabikia sana habari hiyo lakini wengine tunajua chama hiki kina unafiki mno kiasi kwamba hawa jamaa wasipotaka kuondoka wenyewe basi mambo yatafifia na kupotea.

Kama nakumbuka vizuri kelele zote kuhusu kuwapa watu hao siku 90, kuwaandikia barua nk. zimekuwa zikipigwa na viongozi wao wapya ndani ya Sekretarieti wengine hata bila kuulizwa sasa cha ajabu tayari wameshaanza kupingana wao kwa wao. Wengine wanasema siku 90 na kuwaandikia barua watuhumiwa wa ufisadi hayakuwa maazimio ya vikao vyao n.k n.k n.k
Habari ifuatayo kutoka Gazeti la Nipashe inaonesha hata anayepaswa kuandika hizo barua na lini zitaandikwa haijulikani. Hii inawezekana wapi kama si maigizoni tu? Mkiambiwa CCM wanajaribu kufanya kiini macho katika kushughulikia ufisadi mtasema mnadanganywa?



CHANZO: NIPASHE

NApe dodoma

"Mafisadi kuondoka CCM ndani ya siku 90"
" chama kimekiwa kimpya walioama rudini" upya umetoka wapi wakati mafisaidi bado wapo??


"Ninachosaema ni kuwa kama kuna watu wanaofikiri wataweza kukishinda Chama safari hii wajaribu, sisi tumeanza kazi na tunaendelea na tutamaliza na hakuna atakayekishinda chama kwani nguvu yake sa sasa ni
kubwa” alisistiza.


Katibu huyo aliwataka wanachama wa CCM ambao walihama chama hicho kwa hasira au kutokana na
ufisadi uliopo warudi kwani sasa Chama ni kipya.“Sasa tunajenga CCM mpya kwa mazingira na mahitaji ya wanachama hakuna sababu ya kununa tena.


Nimepata salaamu nyingi ya watu hasa vijana kutaka kurudi baada ya CCM kujivua gamba na sema
rudini”alisema na kuongeza kuwa kazi ya kijivua gamba kwa chama hicho itaendelea kwa awamu hadi kufikia ngazi zote kwa kuwa kama mtu anaamua kuoga ni vyema akaoga mwili mzima na si kuoga “Passport size”.
 
Sasa mheshikiwa Raisi (jeykey) na wewe una lalamika JF?
Kwanini usimtimue wewe si ndio ume mpa nafasi hiyo?
sie twasubiri siku90 afu "tuwanyonge" nazo haha
 
mpendazoe kaua kabisa,kasambaratisha chama!
Yaani ingawa wengi walimlaum kwamba hayo sio mambo ya msingi
ya kuongelea saivi (na kweli sio),ila ni mazuri sana kwa magamba kujikuna day n night!
Hadi muwasho ukiisha,2015 hawajaleta hata mtumbwi ziwa victoria,kigoma itakua kama wapi sijui

nimeipenda sana hii mkku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom