Lissu abadili upepo UDOM

JOHN MADIBA

JF-Expert Member
Jan 30, 2011
251
155
MBUNGE wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, (CHADEMA), amewataka vijana ambao ni wasomi kuacha woga na badala yake wafanye mapambano ya kimageuzi katika kutafuta haki pamoja na kulinda rasilimali za nchi.

Akizugunza na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa lengo la kuwajengea msimamo wa kisiasa, alisema wanafunzi wamekuwa wakitishwa na viongozi walio madarakani kwa madai kuwa vyama vya upinzani vinasababisha uvunjifu wa amani nchini, jambo ambalo alisema ni uzushi wa kisiasa.

Alisema ili Tanzania iweze kuwa na maendeleo ya kweli, ni lazima vijana kuhakikisha wanasimamia maamuzi ambayo ni ya kweli katika kutetea maslahi ya rasilimali ambazo zinatumiwa vibaya na viongozi walio serikalini.

Mbunge huyo aliwataka wanafunzi ambao wanatafuta ukombozi wa nchi yao watambue kuwa suala la kutafuta ukombozi na mabadiliko ya nchi si lelemama, bali unatakiwa ujasiri wa hali ya juu.

Katika mkutano huo pia Lissu amechoma kadi 35 za wanachuo ambao walikuwa wanachama Chama cha Mapinduzi (CCM) ambao wamejiunga na CHADEMA
 
Hakuna Kiongozi wa serikali atakayekufundisha kudai haki yako. Wao wanataka udai haki kwa kuwasifu kwa nyimbo na mapambio. Ukombozi si lelemama. Vijana kaza buti!
 
MBUNGE wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, (CHADEMA), amewataka vijana ambao ni wasomi kuacha woga na badala yake wafanye mapambano ya kimageuzi katika kutafuta haki pamoja na kulinda rasilimali za nchi.

Akizugunza na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa lengo la kuwajengea msimamo wa kisiasa, alisema wanafunzi wamekuwa wakitishwa na viongozi walio madarakani kwa madai kuwa vyama vya upinzani vinasababisha uvunjifu wa amani nchini, jambo ambalo alisema ni uzushi wa kisiasa.

Alisema ili Tanzania iweze kuwa na maendeleo ya kweli, ni lazima vijana kuhakikisha wanasimamia maamuzi ambayo ni ya kweli katika kutetea maslahi ya rasilimali ambazo zinatumiwa vibaya na viongozi walio serikalini.

Mbunge huyo aliwataka wanafunzi ambao wanatafuta ukombozi wa nchi yao watambue kuwa suala la kutafuta ukombozi na mabadiliko ya nchi si lelemama, bali unatakiwa ujasiri wa hali ya juu.

Katika mkutano huo pia Lissu amechoma kadi 35 za wanachuo ambao walikuwa wanachama Chama cha Mapinduzi (CCM) ambao wamejiunga na CHADEMA

hakuna kurara.

nchi ishauzwa hii.
 
Pamoja na kwamba napenda mageuzi, lakini naogopa namna ya baadhi ya kauli za viongozi wetu zitakavyotafsiriwa na walengwa hasa wanafunzi

we need some serious thinking here

Bwana Politics is not for the faint-hearted. Hakuna anayeleta fujo ni kusimama kidete katika mambo ambayo unayaamini. Docility cannot take us anywhere.
 
then you missed my point big time...

Thanks
 
Hadi kieleweke mwaka huu. Sasa Lissu tuitishie maandamano ya kudai umeme tunaumia wajameni
 
We need people like him and lema they never hesitated in any maamuzi magumu,gud move man soom we shall be there.nice
 
Ukweli ni kwamba chadema ndio wanaoleta vurugu vyuoni.kwanini kama kweli wanawapenda hao vijana kwa nini wasiwafundishe kukaa kwa amani hapo chuo?.hivi kweli cdm mnawajenga hawa vijana au mnawatumia kukidhi haja zenu za kisiasa?.Kama kweli mnawajenga kwa nini msiwasaidie kutatua migogoro yao kwa njia ya amani kuliko mnavyowachochea wakafanya vurugu na kufukuzwa vyuoni na wakaenda kutaabika mitaani?
 
MBUNGE wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, (CHADEMA), amewataka vijana ambao ni wasomi kuacha woga na badala yake wafanye mapambano ya kimageuzi katika kutafuta haki pamoja na kulinda rasilimali za nchi.

Akizugunza na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa lengo la kuwajengea msimamo wa kisiasa, alisema wanafunzi wamekuwa wakitishwa na viongozi walio madarakani kwa madai kuwa vyama vya upinzani vinasababisha uvunjifu wa amani nchini, jambo ambalo alisema ni uzushi wa kisiasa.

Alisema ili Tanzania iweze kuwa na maendeleo ya kweli, ni lazima vijana kuhakikisha wanasimamia maamuzi ambayo ni ya kweli katika kutetea maslahi ya rasilimali ambazo zinatumiwa vibaya na viongozi walio serikalini.

Mbunge huyo aliwataka wanafunzi ambao wanatafuta ukombozi wa nchi yao watambue kuwa suala la kutafuta ukombozi na mabadiliko ya nchi si lelemama, bali unatakiwa ujasiri wa hali ya juu.

Katika mkutano huo pia Lissu amechoma kadi 35 za wanachuo ambao walikuwa wanachama Chama cha Mapinduzi (CCM) ambao wamejiunga na CHADEMA

safi sana mheshimiwa Tundu Lissu, watoe uoga hao vijana! mapambano ndio kwanza yameanzaaa!
 
we takataka mtahengerwa sijui kama umeisoma vyuo vikuu na kama ulisoma hamkuwahi kugoma,lazima mliwahi je chadema ndo waliowafanya mgome?kinachowafanya wanafunzi wagome ni kutokupata haki zao za msingi...unataka wakae kwa amani wakiwa na njaa...serikali itimize wajibu wake hutaona migomo....
 
Ukweli ni kwamba chadema ndio wanaoleta vurugu vyuoni.kwanini kama kweli wanawapenda hao vijana kwa nini wasiwafundishe kukaa kwa amani hapo chuo?.hivi kweli cdm mnawajenga hawa vijana au mnawatumia kukidhi haja zenu za kisiasa?.Kama kweli mnawajenga kwa nini msiwasaidie kutatua migogoro yao kwa njia ya amani kuliko mnavyowachochea wakafanya vurugu na kufukuzwa vyuoni na wakaenda kutaabika mitaani?

Mkuu hebu ruhusu akili yako ijifunze kwa kufikiri kwa kina, usikurupuke kwa kufata mkumbo... tanzania na watanzania wa sasa ipo katika harakati za kimageuzi na mabadiliko.. masikini wa tanzania wamechoka kuvumilia maisha ya umasikini wa sasa wanayoishi. kila upande wa hii nchi ni harakati, migomo na maandamano. watawala wanatumia sababu za kisiasa kuwafunga nyie kufikiri. pale udom kuna matatizo serikali ifanye juu chini matatizo haya yanatatuliwa mapema. hii itawafanya wawe salama!
 
we takataka mtahengerwa sijui kama umeisoma vyuo vikuu na kama ulisoma hamkuwahi kugoma,lazima mliwahi je chadema ndo waliowafanya mgome?kinachowafanya wanafunzi wagome ni kutokupata haki zao za msingi...unataka wakae kwa amani wakiwa na njaa...serikali itimize wajibu wake hutaona migomo....
Hata mimi namshangaaa! huyo ndio walewale magamba!
 
Back
Top Bottom