Nape, Labda ukisoma hapa itakusaidia! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape, Labda ukisoma hapa itakusaidia!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Analyst, May 11, 2011.

 1. The Analyst

  The Analyst JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 464
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Wapendwa wana JF ufuatao ni ujumbe wangu kwa Nape Mnauye kufuatia mashambulizi yake kwa CDM akijaribu kukwepa ahadi zake za kuwapa Mapacha watatu siku 90. Naomba nyongeza na mtazamo wenu katika hili maana itamsaidia jamaa kujua kama anachapia au amewini bingo.

  Nape.....! Nape.....! Nape.....! Nape.....!
  Tangu ulipoteuliwa katika Kamati Kuu Mpya ya chama chako cha Magamba umekuwa msemaji/mropokaji sana na umesababisha baadhi ya watanzania kudhania JK anakuunga mkono kuwashambulia mafisadi wenzenu usiokubaliana nao. (wenye kuelewa tunajua ulikuwa unakurupuka tu maana hakuna siku JK atashirikiana na wewe against RA au EL).

  Baada ya kuonywa na mabosi wako dhidi ya uropokaji sasa unataka kujaribu kuwashambulia Chadema ukidhania itabadilisha mitazamo ya wanajamii waliochoka na chama chenu na kurejesha kijiheshima kidogo ulichostahili. Hapo umepotea zaidi maana kinachotukera ni ufisadi wenu mkubwa ambao unasababisha asilimia 100 ya matatizo yote yanaoyoweza kudhibitiwa na binadamu katika nchi yetu. Pengine huna akili ya kuelewa hilo lakini ukweli ni kwamba hata ile rushwa ndogo ya serikali za mitaa inasababishwa na rushwa kubwa ambazo zinamnyima mwenyekiti wenu moral authority kukemea maovu mengine yote katika jamii.

  Mimi naamini hata hiyo nafasi ulipewa kwa sababu walidhania ufisadi wako binafsi umejificha kidogo katika jamii kuliko wengine na ingeweza ku-buy time wakati mafisadi wakuu wanajipanga kuweka kibaraka wao mwingine ikulu kupitia chama chenu ifikapo mwaka 2015. Mungu atuepushe na dhahama hiyo. Ndiyo maana tunawaunga mkono Chadema si kwa kuwa wewe unawasilfu au la bali kwa kuwa wanaweza kutusaidia kutuepusha na fisadi mwingine hapo Magogoni.
  Ukichunguza vizuri utagundua hata ukuu wa wilaya ulipewa ili utulie maana wakubwa waliona umezidi kelele. Chama chako na viongozi wake wote mnajijua mlivyooza na unyoka wenu, ndiyo maana mnatoa mifano ya kujivua magamba. Nyoka ndiyo wanaojivua magamba na si wanasiasa. Wanasiasa wanawajibika na kusafisasha vyama vyao.

  Nakushauri utafute approach nyingine ya kupata umaarufu maana, ufisadi wa Slaa (hata kama upo kweli) si ajenda ktk Tanzania hii mliyoifilisi kwa matumizi yenu mabaya na kutusababishia maisha magumu wakati baba zenu na viongozi wenu wakiendelea kutajirika kwa ufisadi.
   
 2. dengeru

  dengeru Member

  #2
  May 11, 2011
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Well said bro jamaa mlopokaji tu,hawezi kushindana na nguvu ya uma wa lowasa....hakumsikia lowasa alivyosema akukutana na jk barabarani
   
 3. F

  FUSO JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,834
  Likes Received: 2,306
  Trophy Points: 280
  kazi waliyompa huyu bwa mdogo ni kubwa - sina imani kama ataitimiza kwani kuna vichaka ambavyo haviwezi kuvifyeka wamejificha ma papa wenyewe. isije dogo akawa mbuzi wa mnadani aka kafara. ni mtizamo tu.

  Sidhani kama CCM inasafishika - hakuna kitu ka hiyo.
   
 4. N

  NAHUJA JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2011
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 15,025
  Likes Received: 15,597
  Trophy Points: 280
  wewe mwenyewe hujatulia sijui ndio fisadi maana hata jina la baba Nape hujui kuliandika: Nnauye sio kama ulivyoandika wewe.

  Pili ujumbe wako hauna maana hata tone. kaa utulie kama umefulia utajiju
   
 5. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  kweli we kichwa cha mwendawazimu yani hapo huoni point yoyote?dah!
   
 6. The Analyst

  The Analyst JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 464
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Sishangai kwa maneno yako. Watu wa magamba wote akili zenu hazifikirii zaidi ya pua na matumbo yenu. Uwezo wenu wa kufikiria ni mdogo mno.
  Pamoja na haya uliyoandika hapo juu bado naamini unawazidi hekima viongozi wako. Mwenyekiti wa Chama chako na wasaidizi wake ni mbumbumbu zaidi. Nafuu hata weye umeanza kwa kukosoa jina viongozi wa chama chenu wangeishia kusema nawaonea wivu.
  Yeelewi.....! Magamba.... mwaka huu ipo kazi!
   
 7. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #7
  May 12, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Acha kumfuatilia Nape wafuatilie Viongozi wako wa Chadema,pilipili usio ila inakuwashia nini? Nani kakwambia mafisadi wameachwa?
   
 8. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #8
  May 12, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  hakuna anaemfuatilia Nape. Kwakua jamii inatilia shaka uelewa wake ndio hayo unayoyaona.
  Nape katuahidi juzi, kuwa jana angefichua mafisadi na ufisadi wa Cdm, anakuja kuwa dr Slaa ni fisadi kwakua anashinikiza kulipwa mshahara mkubwa !
  Huo ni ufisadi ? Nini tofauti ya Nape na Makamba ? Unaiona tofauti yake na Tambwe Hiza ?
  Nape ni fukara wafikra! Kuwadi wa fikra na maisha yake.
   
 9. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #9
  May 12, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kumbe Makinda hajatulia alipomwita mh Lisu kua Tindu Lisu instead of Tundu.
   
 10. e

  emrema JF-Expert Member

  #10
  May 12, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 270
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nini tofauti ya Nape na Makamba ?
  Makamba ni bora kuliko Nape ,Kuna tofauti kubwa kati ya Makamba na Nape. 1. Makamba si mchochezi na ana busara anapozungumza, 2. Makamba ana staha na adabu kwa rika zote wazee na vijana,3. Makamba ni mzoefu zaidi ya Nape. 4.Makamba aliweza kusoma alama za nyakati ingawa hakuweza kiutendaji kulingana na system. 5 Kielimu kwa umri na wakati wake Makamba ana elimu zaidi, Nasema kwa level ya tecknology na utandawazi Kijana kama Nape alitakiwa kuwa na degree walau 1 toka chuo kikuu kinachojulikana duniani sio Magogoni, na kivukoni,6. Makamba ana walau taaluma ya kuzugia MJESHI Nape ana nini? wananchi wanajua wanachotaka na wanaona Dr. Slaa na sera za CDM ndio mwongozo. Ataifikisha CCM Kubaya kuliko Makamba.
   
 11. FarLeftist

  FarLeftist JF-Expert Member

  #11
  May 12, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 362
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ajivue gamba
   
 12. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #12
  May 12, 2011
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Anguko sawia la Nape liko mlangoni. speed yake kubwa wakati barabara ina makorongo.
   
 13. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #13
  May 12, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  CCM = SHETANI
  Shetani hatubu hivyo CCM haiwezi kubadilika na kuwa kisafi
   
 14. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #14
  May 12, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,634
  Likes Received: 1,404
  Trophy Points: 280
  hivi huyo dogo yumo humu? kama hayumo mwambieni ajisajili JF tumfunze siasa za kileo.. sio siasa za kizee za kina Tambwe hiza

  Nape usikubali kudumaza ubongo wako shauri ya hela zenye laana hizo.. tetea nchi hii kwani wewe, wanao na wajukuu zako ndio taifa la kesho
   
 15. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #15
  May 12, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Awe makini tu maana spidi aliyonayo.
   
 16. t

  tononeka Member

  #16
  May 12, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  nape waonyeshe kuwa kazi unaiweza. Kila kitu kina kwenda taratibu, magamba watayavua tu.
   
 17. Bollo Yang

  Bollo Yang JF-Expert Member

  #17
  May 12, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 440
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  crap crap
   
 18. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #18
  May 12, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Hivi Nape kaoa mwanamke wa wapi? Maana mawazo yake mengi ya kisiasa inaonekana anashauriwa na mkewe
   
 19. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #19
  May 12, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mkuu umeongea niliyotaka kusema.
   
 20. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #20
  May 12, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Nape ni mbuzi wa kafara kwani Kikwete hana ubavu wa kuwathibiti wakina Lowassa hivyo kujikinga anawatumia hawa vilaza kufikia lengo lake la kuwatosa waliomuingiza Ikulu; kwa bahati nzuri hao mafisadi wanamuelewa Kikwete kama table ya pili katika hesabu na ndio maana wameanza kwa kumtumia Mtikila amuumbue Kikwete na mali alizonazo kwa kumshutumu mwanae Ridhwani!! Hilo wamefaulu kwani Kikwete kakunja mkia wake na wala hutamsikia Nape au Mukama wakizungumza juu ya siku 90 au 120 za kuwafukuza mapacha watatu!! They know so much about him that they have blackmailed him hence incapacitating him completely!!
   
Loading...