Kujivua gamba na tawi jipya la CCM New York City, USA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kujivua gamba na tawi jipya la CCM New York City, USA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by W. J. Malecela, Apr 23, 2011.

 1. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #1
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  by William Malecela on Saturday, April 23, 2011 at 1:12am


  @ NEW YORK: Kutokana na kujivua gamba KUJIVUA GAMBA hivi karibuni, Nimeamua kukiunga mkono chama changu CCM kwa KUANZISHA RASMI TAWI LAKE HAPA New York City na vitongoji vyake. NINAWASILIANA NA CCM MAKAO MAKUU DODOMA ili kupata maelekezo ya kanuni za kufungua Tawi nje ya nchi. NINAWAKARIBISHA SANA wale wote wenye nia njema na taifa letu kama mimi, ili tushirikiane kukisaidia mawazo chama chetu NYUMBANI tokea ughaibuni, kwenye kuelekea KUJIVUA GAMBA ZAIDI KWA MANUFAA YA TAIFA LETU.
  - NITAENDELEA KUWAFAHAMISHA ZAIDI MAENDELEO YA KUELEKEA KULIFUNGUA TAWI HILI LA CCM, NEW YORK CITY; NITAFANYA KIKAO HIVI KARIBUNI SANA CHA KUWEKA MSINGI WA CHAMA NA KUCHAGUA VIONGOZI WA MUDA, MUNGU AIBARIKI TANZANIA!

  - IDUMU CCM NA KUJIVUA GAMBA; IDUMU TANZANIA!

  William Malecela - COMMUNITY ORGANIZER (CO).
   
 2. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  nape moses nnauye
  januari makamba
  rizwani kikwete
  husein mwinyi
  wilium malecela
  makongoro nyerere
  adam kigoma malima
  ..........................
  ..........................
  ............................
  nk

  sie ambao jamaa zetu hawakuwahi kuwemo kwenye system, walahi zama hizi tutajibeba!!

  kila la heri mkuu, kuna kila dalili kuwa utafaniliwa kufikia azma yako!
   
 3. dengeru

  dengeru Member

  #3
  Apr 23, 2011
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  na wewe unakubaliana na CCM kwamba kweli wanajivua gamba?gamba(lowasa,rostam,chenge)ambalo miezi michache iliyopita uliwaita waadilifu na ukasema tuwachague leo hii unawaita magamba,basi inabidi JK atutake radhi sisi wananchi wa monduli,igunga na bariadi na ikiwezekana tuitishe uchaguzi wa wabunge tena maana wabunge wetu ni magamba...kwa mtazamo wangu kilichofanya haya yote ya kujivua magamba ni ''LOWASA NA URAIS''..im sure kama lowasa angekuwa amejipumzikia zake monduli kimya tu wala usingesikia haya yote.Jk na kundi lake wanamwogopa lowasa akichukua nchi itabidi wahame maana wamembetray...siku si nyingi tujajua hilo gamba...baadhi ya magamba mengine ni
  1.kingunge-packing
  2.malecela-hela za jetuu patel
  unaweza kuongeza list hapa
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Nonsense..what happened to the dataz..lolz
   
 5. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,060
  Likes Received: 24,064
  Trophy Points: 280
  Pole sana Judy, naona umewasahau Aman Karume, Makongoro Nyerere, Rosemary Nyerere et el

  Sisi tujiunge tu na kwaya tuendelee kumwimbia Bwana Mungu wa Majeshi.

  Ni heri tukafurahie mbinguni badala ya hapa duniani
   
 6. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #6
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - Well wakuu wote hapo juu, tunajaribu kusikiliza ushauri muhimu wa kutusaidia ili tuweze kulisaidia taifa letu, ukiona hatukujibu maana yake nafikiri inaeleweka sana sina sababu ya kuirudia maana wote hapa si watuwazima jamani na ni Great Thinkers.

  Ahsanteni sana.


  William @ NYC, USA.
   
 7. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #7
  Apr 23, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,985
  Likes Received: 20,384
  Trophy Points: 280
  Utawapata wenzako hapo ulipo, mnaolingana kwa sifa binafsi na za wazazi wenu

  Siku moja tusipoiadhibu mifupa ya wazazi wao, basi wao ndo watajibeba. Mungu ibariki Tanzania
   
 8. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #8
  Apr 23, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Baba yako ni mmoja ya wale Mafisadi waliotajwa wiki jana na CDM huko mkoan Tbr. Kumbuka methali ya "Mtoto wa nyoka ni nyoka", Jivue gamba na wewe then tubu kwa watanzania. Bt endelea na propaganda zako naiman umerithi!
   
 9. Niko

  Niko Member

  #9
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 99
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Na kuna huyu Mwele Malecele, head wa National Research Institute.

  Hii familia ya Malecela, Samuel ashawahi kupewa mavyeo kibao, Anna ashawahi kupewa ubunge wa bure aliposhindwa Ubungo, Ipi (rest in peace) alishapewa vyeo CCM. Halafu bado Kikwete akamteua Mwele Malecela, hakuna wengine jamani?.

  Naamini ni makosa kuangalia professional and academic qualifications peke yake, lazima uangalie social ramifications zake. Huwezi kuwa na familia zile zile zinatawala. Yani, hata kama kielimu Mwele Malecela anaweza kazi hiyo, kama kuna wengine ambao nao wanaweza lazima uangalie uwezekano wa kutolimbikiza madaraka kwa familia moja.
   
 10. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #10
  Apr 23, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,627
  Likes Received: 1,928
  Trophy Points: 280
  - Wakuu tupo pamoja sana tunaendelea kusikiliza tupo wakuu, tunawasikiliza kwa makini sana, so far so good!

  - Tupo ukurasa mmoja so far!  William @ NYC, USA.
   
 11. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #11
  Apr 23, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  William John Malecela, baba yako ni Tingatinga wewe ni nani? wheel loader? excavator?

  endeleeni kuandaa makazi ya wazazi wenu muda si mrefu watakuwa asylum seekers!! mnafikiri mtadumu na ufisadi wenu huo?? njoo ufungue tawi Chamwino,Dom.
   
 12. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #12
  Apr 23, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Dr Mwele na Bro Ipyana (Mwenyezi Mungu amrehemu) will always be ma favourites of Mzee Malecela.

  Sometimes najiuliza what if Ippy was a live today?

  lakini sie huwa tunasema Inna Lillahi wa Inna Illahi Rajuun....I will always remember maisha ya opposite Casandra Saloon pale Samora and of course cherish mazuri yote.

  After his passing nilose interest kabisaa na politics za vijana CCM

  ahhh I dont even know why nakumbuka....
   
 13. Lord

  Lord Member

  #13
  Apr 23, 2011
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hivi baba/wazazi wako wakiwa chama fulani lazima na wewe mtoto uwepo huko hata kama kuna kila dalili kwamba chama hicho ni kibovu??? Nyie kina Malechela, Kawawa, Nyerere, karume, Kigoma Malima, Kolimba, Mnauye n.k si saliza muwe CCM kama baba zenu walivyokuwa kama kuna utofauti wa CCM ya wazazi wenu na hii ya sasa lazima mkiri na muachane nayo. Au mnataka kutuambia CCM ni ya ukoo wenu haichaki hata ikioza vipi????
   
 14. M

  Masauni JF-Expert Member

  #14
  Apr 23, 2011
  Joined: Aug 15, 2010
  Messages: 378
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe fisadi tu una maana. Sijuhi una fuata nini jamiiforum. Yaani sikupendi wewe basi tu. Unajifanya huko makini kumbe mpuuzi tu
   
 15. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #15
  Apr 23, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,985
  Likes Received: 20,384
  Trophy Points: 280
  Kama masjala yangu nitakuwa nimeitunza vizuri nadhani kuna mdau alandika ' wenye mashaka na taaluma zao na uwezo wao kiutendaji.. ccm ndo maficho bora kwao'
   
 16. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #16
  Apr 23, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mimi nipo SINGIDA VIJIJINI NAFUNDISHA, WEWE UPO NEW YORK CITY UNAZURULA KWA PESA YA WALIPA KODI UKIWA NA NDOTO ZA0 UONGOZI. Tanzania ya sasa si ileee ya chama cha baba yako na maamuzi ya NEC. Hupati kitu hapa, njoo ulime huku, kumbuka miaka inakatika, umri waongezeka majukumu nayo yajongeza. Mwenzio Riziwan mikakati inaendelea!
   
 17. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #17
  Apr 23, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Mkuu mbona una akili ya kuku, kula ardhini na kuacha nyuma wazi!
  Jamiiforum siyo tawi la kijiweni kwenu , ni ya kila member na watu kama ninyi ndo mna ipa nguvu fikira ya kuwa JF ni mahala pa upinzani badala ya kuwa mahala pa Thinkers.
  Kajipange kabla ya kubandika upupu.
   
 18. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #18
  Apr 23, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  well said mkuu.....
   
 19. KELVIN GASPER

  KELVIN GASPER JF-Expert Member

  #19
  Apr 23, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 962
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Tunashukuru ccm imegundua haiuziki tanganyika wameamua kutafuta masoko nje.Endelea na ufunguzi wa matawi huko baada ya NY nenda kafungue Kabul, Tehran,Baghdad,Tripol na Cairo.
   
 20. Chromium

  Chromium JF-Expert Member

  #20
  Apr 23, 2011
  Joined: Apr 17, 2008
  Messages: 598
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Wapuuzi sana nyie. Mnatumia majina ya baba zenu kujinufaisha. Siku zenu zinahesabika
   
Loading...