Recent content by demokrasia

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kiashiria kingine cha uhusika wa serikali mateso ya dk ulimboka

    Una fikra finyu zilizojaa ubinafsi.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Sina imani tena na Chadema

    William Mshumbusi Umechanganyikiwa,au umeshahongwa tshirt au khanga ya ccm.
  3. D

    JamiiForums Tanzania TUHUMA nzito kwa UWT/TISS; CHADEMA yabaini njama nzito kumaliza viongozi wake

    7. Wahamiaji haramu na usafirishaji wa binadamu.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Hivi hili ni kosa?

    Wewe utakuwa ni wa aina hiyo hiyo ndio maana umetoa ushauri wa kipuuzi kama huu.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Hivi hili ni kosa?

    Kaka hata mimi ni msomi, sio kwamba nilikuwa na demu ambaye ananizidi elimu.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Hivi hili ni kosa?

    Kaka hata mimi ni msomi, sio kwamba nilikuwa na demu ambaye amenizidi elimu.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Hivi hili ni kosa?

    Mimi ni mwanaume. Nina mpenzi wangu ambaye bado yupo chuo anasoma. Nimekuwa nikijitahidi kumsaidia mambo mengi sana pale hali yangu ya uchumi inaporuhusu. Hivi majuzi ilitokea huyu binti alipata tatizo la kutaka kuzuiwa kufanya mitihani kwa sababu alikuwa hajamaliza kulipa ada, hivyo akaniomba...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Je Wazanzibar wana material presidential candidate 2015 ?

    Watanzania wenzangu tusikubaliane na hizi siasa za kipuuzi na zisizokuwa na maana kwetu. Nasikitika sana kwa sababu kwa sasa nchi ipo kwenye matatizo makubwa ya kiuchumi na kijamii kama vile mfumuko wa bei, kushuka kwa thamani ya shilingi, migomo vyuo vikuu, ukata serikalini na maslahi duni kwa...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Je Wazanzibar wana material presidential candidate 2015 ?

    Siasa za kipuuzi kama hizi ndizo ambazo zimeitumbukiza nchi yetu kwenye matatizo makubwa ya kiuchumi na kijamii tuliyo nayo sasa. Viongozi hawafikirii mambo ya maana ya kuwaondoa Watanzania kwenye matatizo lukuki yanayolisumbua Taifa letu kwa sasa kama mfumuko wa bei, kushuka kwa thamani ya...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Viongozi 32 wa ngazi ya juu wa CDM warudisha kadi zao za uanachama!

    Mkoa wa Mwanza hauna Wilaya ya Nyanza. Nafikiri huijui vizuri Nchi yako.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Pengo: Wananipakazia madawa ya kulevya!

    Mwenyezi Mungu akulaani.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Dk Slaa amshukia JK

    Nahisi wewe utakuwa ni kula kulala ndio maana huyajui matatizo ya nchi yako. Nasikitika kuwa hujui hata wajibu wa Kiongozi kwa Wananchi waliomchagua. Naomba nikuelimishe kuwa, hatuchagui Rais kwa ajili ya kununua mbuzi wa sikukuu. Tunachagua Rais ili asimamie ipasavyo uchumi na maendeleo ya nchi.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Pengo aongelea Posho za wabunge, ushoga

    Wewe ni miongoni mwa watu wenye mawazo mgando ya udini. Wewe sio Great Thinker. Jamii forum hapakufai. Nenda kapeleke mawazo yako kwenye vijiwe vya kahawa.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Hivi serikali imefilisika?

    Habari zenu wana JF? Hivi hii tabia ya serikali kuchelewesha mishahara ya watumishi wa umma inasababishwa na nini? Leo ni tarehe 2 lakini kila nikienda kwenye akaunti sikuti chochote. Au serikali yetu ndio inafilisika? Lakini mbona serikali imeweza kuwaongezea wabunge posho za vikao kwa...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wanawake wanapenda sana kutikisa kiberiti?

    Nashukuru sana mkuu. bila msimamo hawa watu wanasumbua sana.
Back
Top Bottom