Kiashiria kingine cha uhusika wa serikali mateso ya dk ulimboka

Hakika CHADEMA wangehusika na utekaji wa Dr Uli wangekamatwa usiku ule ule tena kwa shangwe KUU
 
Mi nafkiri huna hata CHEMBE ya akili na HUJUI kinachoendelea humu nchini....na hizo pesa ulizopewa ku post huu upuuzi WAKO zitakutokea puani........
 


naomba sentesi yako ndiyo ikueleze kwamba chadema wanahusika.kwa ushahidi wa dk aliyempeleka hemed msangi kumuhoji ULIMBOKA amethibitisha kuwa hakuna sehemu yeyote aliyosema arudishiwe pochi yake na simu yake sikiliza radio clouds na channel ten walimuhoji hemed msangi na dokta aliye msindikiza hemedi msangi na wakati anahojiwa na uyo docta alikuwepo

kwani clouds si ****** tu wale...kazi kuliwa tgo na kushabikia uongo
 
Leo viongozi waandamizi wa chadema Dr Slaa,Mnyika,Mbowe na Lema wametangaza kufuatiliwa kwa madhumuni ya kuuwawa na wanaoamiwa kuwa ni usalama wa Taifa kwa madai wako nyuma ya mgomo wa madaktari.Kama wameweza kwa viongozi hawa basi ni dhahiri serikali ilitumia mbinu hii hii kumwondosha duniani dr Ulimboka ila Mungu kamwokoa.WANAJARIBU KUZUIA UPEPO KWA VIGANJA VYA MKONO.
Mwakyembe alisema yote na vielelezo kibao na mataarifa mengi kila kona. na pia ni magamba lakini bado walimfanyia tuliyoyaona. Itakuwa CDM, drs au sijui nani>>>>!!!!! hii serikali inaelekea kusiko na hizi ndo dalili hivyo stay tuned
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom