Pengo aongelea Posho za wabunge, ushoga

Tusibishane na mamlaka lakini lazima muelewe no one walks to the white house without a trade shoe.
 
Anna Mkapa alijimilikisha nyumba za NBC, mume wake alijimilikisha Kiwira mine. Kamuulize Pengo analisemeaje hilo maana nalo linahusu taifa.

lini pengo alisema kikwete anamiliki southern sun,songas,richmond....mtoto wake ni bilionea,.ukitaka kulinganisha kuku mlinganishe na kuku mwenzie sio na paka,.umetoka nje ya maudhui kabisa
 
Lazima bakwata wajibu.

Labda kwa kulipuka bila ya tafakari na tafakuri ya alichosema Mhashamu Cardinali Pengo, kama raia mwingine, ukuweka dini pembeni...maana katika suala la tafakari za kiimani, hakuna anayesogelea uwezo wake hata kwa Afr Mashariki yote!
 
Mkapa amefanya maovu mengi, have they condemned him? Are they persecuting Kikwete simply because he is not one of their own?
Wewe ni miongoni mwa watu wenye mawazo mgando ya udini. Wewe sio Great Thinker. Jamii forum hapakufai. Nenda kapeleke mawazo yako kwenye vijiwe vya kahawa.
 
hakika nawaambia hamna kitu mtachosema kuwaelewesha watu kama Gagnija ambao wanaelewa lakini hujifanya hawataki kuelewa...wengi wao wana Allergie na matamshi ya watu tofauti na imani yao hata kama matamshi hayo ni kwa maslahi ya nchi... wana falsafa ya bora tukose wote kwa maana bora kiharibike kwa kuwa mwanzo kiriharibika.... misimamo yao ni static na wametanguliza ubinafsi mbele na ubaguzi wa hali ya juu kwa watu wasio wa imani yao...hakika nawaambieni, kama wangalikuwa wamepewa uwezo wangalipendelea nchi hii isiwe na mkristu hata mmoja, ila hilo hawakupewa na maulana maana anajua dhamira yao na kile ambacho kingetokea.
so stop educationg them, hawapo hapa kuelimishwa hawa, wana misimamo yao mgando na huwezi kuiondoa misimamo hiyo hata kama unalugha ya kumtoa nyoka pangoni, na hasa kama wewe unayewaelewesha ni khafili kulingana na mafundisho yao ndio chuki yao huzidi mara dufu
 
Mkapa amefanya maovu mengi, have they condemned him? Are they persecuting Kikwete simply because he is not one of their own?

Nimefungua agenda hiii ili kuona response za watu mbalimbali kama za kwako. Kwa hiyo, akiwa mkristu au muislam akiiba basi wakristu au waislam wampendee na kumuunga mkono kwa vile ni mtu wa kundi lao??? Akili mgando hizo
 
Akizungumzia hali ya kisiasa, alisema hadi sasa Watanzania bado wanajifunza namna ya kuishi ndani ya mfumo wa vyama vingi vya siasa baada ya kutoka ndani ya mfumo wa chama kimoja.
Alisema jibu la kufikia kwenye siasa bora ni, kulifanyia kazi suala la Katiba, ambayo ndio itakayoamua wananchi wanataka kutawaliwa na watu wa namna gani. "Kwa sasa bado tunaishi ndani ya mawazo na mtazamo wa chama kimoja cha siasa katika mfumo wa vyama vingi vya siasa. Ndio sababu, mawazo ya chama ndio yanayochukuliwa kama mwongozo wa Serikali. Lakini tukiweka mkazo katika Katiba, tunapaswa kutambua tunatengeneza katiba ya nchi na si ya chama kimoja,"alisema Kardinali Pengo.
 
Back
Top Bottom