Aliyesema Arsenal akikutana na Barca, Arsenal anakufa, aje aongee tena.
Kuna wengine walikuwa wanaona project ya Barcelona ishatiki ndani ya mwaka mmoja tu
Wakuu me ndo Kwanza nna wiki moja getto. Cku ya kwanza nilipika mchele, nkatoa bonge moja la boko wali kama ugali vle, Ila asa hv nmekuwa fundi kimtindo
Niliokuwa Kwa mujibu was Sheria, nulimuuliza private mmoja khusu mshahara wa commando,akasema commando ni Cheo Cha kisen....inabidi baada ya mda uwe umetulia na familia yako umechill.co maisha yote porini tu,hata mishahara Yao wamawazid kidogo tu.
Huwezi ukasema Mungu hayupo wakat haumjui.Nisawasawa na umekutana na mtu kwenye sherehe,alaf unamuuliza umemwona Joseph ukumbini?anakujibu sijamwona,unamuuliza unamjua lakin? Anakujibu cmjui.unabaki kushangaa sasa amejuaje Kama Joseph hayupo ukumbini wakat hamjui.Vivohivyo hatuwezi kusema Mungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.