Umeme wa 5,000 nimekatwa 2000. Hii haiko sawa!

Ndugu leo nimenunua umeme wa tshs. 5000 nimekatwa tshs. 2000 jumla sawa na asilimia 45%.

View attachment 1905687

Hapa ndo tumefikia na serikali yetu ndugu zangu. Hivi kama ni kodi ya uzalendo kwa nini viongozi wasioneshe mifano. Asilimia 5 ikatwe kwenye mishahara ya hawa watu: (Rais na makamu, Waziri Mkuu na maWaziri, Wabunge, maRC, maDC na DED). Nimetaja hao watu sababu wao wanaweza ishi kwa marupurupu ya kazi zao bila hata kugusa mishahara!

Nenda Burundi
 
Piracy and plundering to the underprivileged !
 
Ukiweka Sola utakuwa hujakwepa upumbavu maana Kodi ya jengo utalipa kwa kupanga foleni kule TRA.
Kwani unadhani kabla ya kuunganisha kwenye luku majengo yalikuwa hatalipiwi Kodi? Mnaopiga kelele Ni wapangaji sisi wenye nyumba miaka yote tunalipa Kodi ya jengo 10000 kwa mwaka tulikuwa hatuwaambii tu maana haiwahisu.
Kwamana hiyo badala ya elfu kumi sasa utalipa elfu 24 Kwa mwaka
 
Back
Top Bottom