Watanzania tuache kusoma hizi Course (Kozi) supply imekuwa kubwa Kuliko demand

Nchi kama marekani vijana wanasoma mwisho high school

Wengine wanakimbilia mtaani kuahiajir, ukiangalia hata big tech giants, either waliacha chuo au hawakuenda kabisa, na wanafanya vizur

Namaanisha nn, watanzania tunatakiwa tutoke kwenye dhana ya kuona elimu ya chuo itamtoa mtu, hakuna, ukishapata tuu knowledge, hata kama n kidogo inakutosha kufanya kitu mtaani

Nigeria wanaomaliza chuo ni 500000 kila mwaka, serekali haiwez kuaji wote, lakin serekali imakuwa ikiwasupport vijana na schoolarship, ndo maana wa nigeria wako kila mahali, na wanafanya vizur
 
Pambana kuwapika ila ukizembea tu Kidogo anaenda kusomea Literature
Najitahidi kwanza nimewafanya wapende vitu vinavyohusiana navyo. Sasa wanapambana kuchora katuni zao ili wazzingize kwenye computer. Mie nimewaambia wakitaka kutengeneza katuni zao basi waanze kwa kuzichora. Lakini mimi nina project za IT ingawa sijasomea ila nafanya kama biashara. Wataendelea kujifunza humo humo Appied Studies
 
Ondoa Ualimu weka Political Science, Tourim and Hospitality Management, Procurement and Supply,nk
 
Ifike Mahala WATANZANIA tuache Kusomea

Ualimu,
Human Resource
Economics
Law
Procurement and supply,
Secretary
Banking and Finance,
Community Development,
Public Relation,
Business Administration,
Record Management
Sociology
Sales marketing
Education
Business Management.

Supply imekuwa kubwa mno kuliko Demand
Kwenda kusomea hizi Course kwa sasa ni Kupoteza Hela na Mda wako tu

Supply ni Kubwa sana Na kila Mwaka inaongezeka Kuliko Demand
Ajira zimekuwa ngumu kupatikana cz watu wengi wamesomea vitu vile vile common miaka yote na vingine technology imetake place

hali ni mbaya vijana wanapoteza mda na hela kusomea vitu ambavyo haviwasaidii cz kila mtu kasoma hivo vitu, Vijana wanachoma mahindi kwasabab ya kusomea Course ambazo zina supply kubwa sana kuliko Demand

Ushauri kwa Wadogo zangu angalieni na Course za kusoma sio unasoma ilimradi umesoma then unakuja kuteseka mtaani ajira hakuna

Unakuta mtu anasomea Human Resource au Procurement and supply kwa sasa then anategemea kuajiriwa wakati Supply ni Kubwa kuliko Demand then ukiangalia hizo faculty Technology imetake place

Ni Moja ya Cha Chanzo cha Ukosefu wa Ajira Kwa Tanzania, Watu wanasoma vitu vile vile ambavyo kila mtu amesoma miaka nenda rudi Kwa style hii Kazi za kuwaajiri wote zitatokea wapi.
Lengo la Business Administration sio kuajiriwa. Ile ni elimu ya ujasirjamali hivyo iendelee kufundishwa na kusomwa
 
Najitahidi kwanza nimewafanya wapende vitu vinavyohusiana navyo. Sasa wanapambana kuchora katuni zao ili wazzingize kwenye computer. Mie nimewaambia wakitaka kutengeneza katuni zao basi waanze kwa kuzichora. Lakini mimi nina project za IT ingawa sijasomea ila nafanya kama biashara. Wataendelea kujifunza humo humo Appied Studies

Ifike Mahala WATANZANIA tuache Kusomea

Ualimu,
Human Resource
Economics
Law
Procurement and supply,
Secretary
Banking and Finance,
Community Development,
Public Relation,
Business Administration,
Record Management
Sociology
Sales marketing
Education
Business Management.

Supply imekuwa kubwa mno kuliko Demand
Kwenda kusomea hizi Course kwa sasa ni Kupoteza Hela na Mda wako tu

Supply ni Kubwa sana Na kila Mwaka inaongezeka Kuliko Demand
Ajira zimekuwa ngumu kupatikana cz watu wengi wamesomea vitu vile vile common miaka yote na vingine technology imetake place

hali ni mbaya vijana wanapoteza mda na hela kusomea vitu ambavyo haviwasaidii cz kila mtu kasoma hivo vitu, Vijana wanachoma mahindi kwasabab ya kusomea Course ambazo zina supply kubwa sana kuliko Demand

Ushauri kwa Wadogo zangu angalieni na Course za kusoma sio unasoma ilimradi umesoma then unakuja kuteseka mtaani ajira hakuna

Unakuta mtu anasomea Human Resource au Procurement and supply kwa sasa then anategemea kuajiriwa wakati Supply ni Kubwa kuliko Demand then ukiangalia hizo faculty Technology imetake place

Ni Moja ya Cha Chanzo cha Ukosefu wa Ajira Kwa Tanzania, Watu wanasoma vitu vile vile ambavyo kila mtu amesoma miaka nenda rudi Kwa style hii Kazi za kuwaajiri wote zitatokea wapi.
Faida ya digirii ya chuo kikuu ni kukuongezea uwezo wa kufikiri , kupambanua mambo na kuongeza uwelewa wa mambo mengi. Elimu hii si ya kukupatia ajira ya moja kwa moja- msomi anatakiwa atumie elimu yake katika nafasi yoyote atakayopata, ni mategemeo ya jamii kwamba ataifanya kwa weledi zaidi. Wahitimu wawe tayari kwa kazi yoyote siyo kufuata wamesomea nini. Fursa zinazidi kuongezeka kila siku- usiwavunje moyo. Wewe ukikosa elewa kwamba kuna wengine wanapata kazi nzuri katika fani zao.
 
Kiukweli ualimu watu waache kusoma tu kwa maana serikali haitaki kuwaajiri walimu, eti wakidai kuwa hawana pesa za kuwalipa. Ila mi naona kbs walimu bd wanaitajika Sana Sana mashuleni, Ila serikali tu wanaziba pamba masikio yao. Maana Kuna shule ina mwalimu mmoja wa SoMo toka form 1 mpk 4. Tena ni uko vijinini ndani ndani, lkn ukiangalia mtaani Kuna walimu wa kutosha hawana Kazi.

Mi naona kbs baada ya miaka 10 walimu watakuwa dhahabu, maana weng watakuwa hawasomi hii kozi kwa jins ambavyo wamejaa mtaani.
 
Haya
 
Ualimu kwa siasa hiz ni kupoteza mda tuu na Ada
 
Mechanical engineering.
Electrical engineering.
Civil Engineering.
Highway Engineering.
Telecom and electronics engineering.
Mining engineering.
Textile engineering.
Aircraft maintenance engineering.
Marine engineering.
Aeronatic Engineering.
Automation engineering.
Robotics engineering.
Reliabilty engineering.
Space engineering.
Drilling engineering.
Petroleum engineering..
Nn nk nk nk...

Hamasisheni vijana kusomea machuma..
Uko sahihi....

Na sisi wana Engineering tunasema "Construction Industry" ni jambo Endelevu kila wakati...
 
Back
Top Bottom