Recent content by Delucaz

  1. Delucaz

    Umeshawahi Kununiwa Bila Sababu ya Msingi?

    mambo ya kununa yapo sana aisee. cha muhimu ni kujaribu kuchunguza wapi umekosea then apologize
  2. Delucaz

    Mlevi wa kupindukia

    hiyo ni kali ati..,
  3. Delucaz

    Before & After Marriage!!!!

    iko wazi hiyo, nimeipenda aisee.
  4. Delucaz

    sista mzungu na padre mwafrika

    hapo nadhani kilichofuatia ni mpango mzima, full misisimko...
  5. Delucaz

    Pata za mtaaa!, mademu na mitandao!

    aaaaah hiyo ni kali ati
  6. Delucaz

    Enzi ulipokuwa boarding

    Mi nakumbuka wakati nipo Azania form one mwanzoni kabisa wakati bado ningali mgeni, kunu kibaba cha form IV kikaja kikanambia pale Azania wanaokwenda ni wale wenye akili nyingi na wanaojua English. Then kikaanza kuniongelesha vocabulary za Biology Chemistry na Physics ambazo sikuwa kabisa na...
  7. Delucaz

    Akili ni mali

    ya kitambo sana hiyo, inafanana na ile ya mtoto kuchora majani halafu akamjibu mwalimu kuwa ng'ombe alisepa.
  8. Delucaz

    bana matumizi

    mwisho unaweza stukia wanaingia kwenye mfungo hata kama si kipindi cha ramadhani
  9. Delucaz

    The funniest life cycle...

    life cycle hyo, ni kama ecological system.
  10. Delucaz

    House girl na Condom...

    hiyo nayo imesimama wima, big up
  11. Delucaz

    Karibu tutafakari!

    dah mi naona maluweluwe tu, nimeshasahau chemistry (method of mixture) ndo nilikuwa natumia kusolve maswali ya kinamna hiyo.
  12. Delucaz

    Unazijua methali hizi?

    dah kama majibu yenyewe ndio hayo ningekula 0% ya maana tu.
  13. Delucaz

    Nyonyo...

    maskhara maskhara mwisho jamaa anaweza akafanya kweli...!!
  14. Delucaz

    Kuosha Vyombo

    lazima mgawanyo wa majukumu uwepo aisee hata kama baadhi ya sehemu mnashirikiana. mwanaume anabase kwenye kutafuta pesa na mwanamke kwenye vyombo, kufua, kupiga deki na kadharika.
  15. Delucaz

    Hivi kituko gani unakikumbuka ulikifanya wakati mdogo

    Ebana hiyo inafanaa na mimi ilinitokea darasa la 7 mwaka 95. nilimuandikia barua binti mmoja ya kimapenzi na kumwambia kimaandishi anijibu, matokeo yake ni kwambaikawa kila nikimuona yule binti badala ya kumuuliza majibu ya barua yangu, nikawa naona aibu na kumkwepa matokeo yake mpaka namaliza...
Back
Top Bottom