sista mzungu na padre mwafrika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sista mzungu na padre mwafrika

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Sharo hiphop, Jul 8, 2011.

 1. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #1
  Jul 8, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  siku moja hawa watu wawili walikuwa wakisafiri kwa usafiri wao wa gari, wakiwa njiani gari lao likaisha mafuta, mwanaume akawa na wazo la kwamba mkojo unaweza ukasaidia, basi akaanza yeye, akasimama akaelekezea mrija wake kwenye tank la mafuta na gari likakubali kuwaka, walipotembea baadhi ya kilometa gari lika zima tena, wakati huu zamu ya kutoa mkojo ilikuwa ya sista na kwa kuwa wanawake hawawezi kukojoa wakiwa wamesimama padre mwafrika akamwambia lala chini mimi nitaunyonya mkojo wako kwa kutumia mrija wangu. Sista akakubali na padre aka.............................
   
 2. Delucaz

  Delucaz Member

  #2
  Jul 8, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapo nadhani kilichofuatia ni mpango mzima, full misisimko...
   
 3. The great R

  The great R Senior Member

  #3
  Jul 8, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 142
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  utalaanika we haya
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Jul 8, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  ...mmh, napita tu!
   
 5. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #5
  Jul 8, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Mrija wa Padre kwani una pampu, sababu bila pampu .....
   
 6. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #6
  Jul 8, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,401
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  nimekuja kuitika jina na kuondoka tu wakubwa....jana na leo....
   
 7. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #7
  Jul 9, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Tarudi baadae jamani nasikia njaa
   
 8. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #8
  Jul 9, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  .....Sista akialala chini Padre akaanza kuingiza mrija wake kwa sista kunyonya mafuta! Baada ya hapo akaenda kukujolea tanki, safari ikaendelea!
  Wametembea hata KM 2 hazijaisha, Siste akamwambia Padre, Nasikia kama gari inataka kukata mafuta, ingiza mrija wako uyanyonye tenaaaa!!
   
 9. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #9
  Jul 9, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Nanyi kama mkiona ni vibaya kumtumikia BWANA, chagueni hivi leo mtakayemtumikia; -lakini mimi na nyumba yangu, tutamtumikia BWANA.(Soma Yoshua 24:15a, 15c.)
   
 10. Kwamex

  Kwamex JF-Expert Member

  #10
  Jul 9, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nimefikaje huku?
   
 11. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #11
  Jul 9, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Nani alikwambia wanawake hawawezi kukojoa huku wame simama? ?
   
 12. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #12
  Jul 9, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,998
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  ''kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti; bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika kristo Yesu Bwana wetu'' (Rum.6:23)
   
 13. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #13
  Jul 9, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  keshaonja utamu.
   
 14. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #14
  Jul 9, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  utajiloanisha wewe!
   
 15. ngulinho

  ngulinho JF-Expert Member

  #15
  Jul 9, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dah! mwafrika amemshinda mzungu akili??!! haya ni maendeleo!:mimba:
   
 16. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #16
  Jul 9, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Hahahaha lolzKuna technic unatumiaNgoja ntakutafutia ile ya ki you tube lolz
   
 17. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #17
  Jul 9, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Heri mimi sijasema
   
 18. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #18
  Jul 9, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  tuwekee basi mtu wetu.
   
 19. serio

  serio JF-Expert Member

  #19
  Jul 9, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,925
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  ichi chichiii..
   
 20. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #20
  Jul 9, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  bahati mbaya ni kwamba hawa jamaa wakisafiri wanakuwa full tank, hawajazi mafuta ya videli wala vidumu.
  they know what they do, ndo maana kwenye makazi yao huwa mnaenda sana kuomba misaada.
  labda kama umetumia kama viwakilishi jambo ambalo lilimkumba ndugu yako.
   
Loading...