Nyonyo... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyonyo...

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mkare, Jun 15, 2011.

 1. M

  Mkare JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  A lady boards a Matatu bus carrying her baby, seats next to a man, she starts to breastfeed the baby. The baby refuses to suckle, she yelled at the baby"ebu nyonya ama nimpatie huyu uncle ako hapa." The kid suckles for a while then stops, mum yells again.."nimekwambia unyonye ama nimpatie huyu uncle." This happens about 5 times, and suddenly the man shouts at the lady..."MADAM, MAKE UP UR MIND CUZ NILIKUWA NISHUKE 30 MINS AGO..."
   
 2. Bundewe

  Bundewe JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 401
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Veeeeery funy! .....Inaendana na avatar yako.
   
 3. M

  Mkare JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha... Haya bana...
   
 4. Delucaz

  Delucaz Member

  #4
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  maskhara maskhara mwisho jamaa anaweza akafanya kweli...!!
   
 5. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,580
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  teh! teh! ni mimi nilikuwa next kwa hii manzi
   
 6. M

  Mkare JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 495
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha... Enhe, tueleze iliishiaje cuz nilishuka ki20 kilichofuata...lol
   
 7. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #7
  Jun 16, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Utakuta nyonyo yenyewe hata si ya ukweli,kitu lapa ka ndala ya bata!
   
 8. S

  Samuel A K Member

  #8
  Jun 16, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nyonyo ilikua bomba ndo maana jamaa alipitiliza kituo akijua bahati itamwangukia
   
 9. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #9
  Jun 16, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ha haaaaa haaaaaaaaaa haaaaaaa..............khaaaaaaaaaaaaa jamaaa nae hataniwi
   
 10. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #10
  Jun 16, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0

  duuu !!!
  stak kuamin unapenda kudhalilisha..izo lapa zimekujaje?amejiumba?we aujanyonyeshwa?ACHEN KUTUTUKANA JAMAN..


  wee unayonyonya sasa ipo wima km mnara wa voda?
  aijalala?na una garantii afta 10 yrs itakuwa the same...wewwwwwwweeeeeeeeee nkikushikaaaaaa..maj utaita mma!!!!!
   
 11. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #11
  Jun 16, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  eti ...eti ...ivi ..eti kwanini wakaka wnapenda manyonyo?
  ndo kusema walipokuwa watoto awakumalizia kunyonya?


  ha!ha! km mdada kaweka plasta kwenye chuchu anakwambia chaliii ayke inapenda kunyonya km kindama cha mbuzi....

  Y MNAPENDA KUJITOTOLESHA?....kupenda manyonyo?
   
 12. Mtumishi Mkuu

  Mtumishi Mkuu JF-Expert Member

  #12
  Jun 16, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ukute nyonyo yenyewe ni kama ya kwenye avator yako....ningeenda hadi kituo cha mwisho...ha ha ha

   
 13. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #13
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Dahh nimecheka mpaka mbavu zinauma, angalau hata asubuhi ya leo nimeanza kwa cheko.
   
 14. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #14
  Jun 16, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Basi basi usinifikishe mbali,nisamehe nimekoma,ila kwa upande mwingine huyu mama/dada tabia yake haijakaa sawa,aliona nyonyo yake nzuri haionekani,akaamua kuitoa nje ili jamaa aione,duh!
   
 15. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #15
  Jun 16, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Yule uncle kwenye ma3 ni mimi, bado ninaendelea kusubiri mdada aamue. Kila siku asubuhi nipo kituoni, mdada anapandia ma3, ninakaa siti karibu yake na hadithi inaendelea siku hadi siku, lakini sikati tamaa.
   
 16. s

  sugi JF-Expert Member

  #16
  Jun 16, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  haha haaaaaaa,nimecheka mpaka ofisini wamenishangaa!mh hiyo njemba haitaniwi?
   
 17. Domhome

  Domhome JF-Expert Member

  #17
  Jun 16, 2011
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 2,004
  Likes Received: 1,054
  Trophy Points: 280
  Rose1980, hapo kwenye red:

  Kwasababu wao ndo wanazindua then, wanakuja watoto na Mwisho wanamalizia wao!

  Ndo maana jamaa alipitilizwa kituo kwa kudhani pengine Mtende utaota jangwani.......................
   
 18. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #18
  Jun 16, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kama hz!! Jamaa ni noma huyo.
  [​IMG]
   
 19. S

  Sweetlove Member

  #19
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 18, 2011
  Messages: 56
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sio lapa kitu kinaitwa saa sita pm!
   
 20. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #20
  Jun 16, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ahahaha!LOL! sio saa sita AM
   
Loading...