Karibu tutafakari! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Karibu tutafakari!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Jaguar, Jun 15, 2011.

 1. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Una ndoo mbili,A na B.Ndoo A ina lita mbili za vinegar na ndoo B ina lita mbili za maji.Chukua lita moja ya vinegar kutoka ndoo A kisha changanya na lita mbili za maji katika ndoo B.Changanya vizuri kisha chukua lita moja ya mchanganyiko wa (vinegar-water) kutoka ndoo B,imimine katika ndoo A halafu changanya vizuri.SWALI;Ndoo A ina maji mengi au ndoo B ina vinegar nyingi?
   
 2. M

  Masuke JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Ndoo A ina Vinegar nyingi na ndoo B ina maji mengi.
   
 3. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  ndoo A itakua na vnager nyingi kuliko maji na ndoo B itakua na maji mengikuliko vinager.
  ila, ndoo A itakua na maji pia, na wakati huohuo ndoo B itakua na vinager pia.
   
 4. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Labda nifafanue zaidi,originally ndoo A ilikuwa na vinegar na ndoo B ilikuwa na maji,je vinegar iliyohamia kwenye maji ni nyingi kuliko maji yaliyohamia kwenye vinegar?au vice-versa? au ni sawa sawa?
   
 5. M

  Masuke JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  wewe tumeshakujibu bado unafafanua nini?
   
 6. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Sawa mkuu umenijibu,lakini nilichotaka mimi ni comparison ya kiwango cha vinegar iliyomo katika ndoo B dhidi ya kiwango cha maji yaliyomo katika ndoo A.tatizo hili swali unalipa mtazamo rahisi saana!
   
 7. General mex

  General mex Senior Member

  #7
  Jun 15, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 118
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Mi naona mchanganyiko ni ule ule ingawaje ndoo A itakua na vinegar nyng kdogo kwa sababu ule mchanganyko kutoka kwenye B hautaingia wote, lazima ndoo b itabak na unyevu kwa hyo mchanganyko umepungua. Ila point ni kwamba una mchanganyko wa lita 2 za maji na lita 2 za vinegar, jumla lita 4. Nimekujibu mkuu?
   
 8. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #8
  Jun 15, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Au swali tulirahisishe zaidi,tafuta concentration ya maji katika ndoo A na concentration ya vinegar katika ndoo B yenye maji.Concentration ya maji katika ndoo A tuiite X na concentration ya vinegar katika ndoo B tuiite Y.Mwisho.compare X and Y.
   
 9. Delucaz

  Delucaz Member

  #9
  Jun 15, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dah mi naona maluweluwe tu, nimeshasahau chemistry (method of mixture) ndo nilikuwa natumia kusolve maswali ya kinamna hiyo.
   
 10. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #10
  Jun 16, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Ndoo A concetration ya Vinegar itakuwa 1.66 Lt na ndoo B concetratin ya Vinegar itakuwa 0.66Lt...

  So ndoo A ina maji 0.34Lt na ndoo B ina Maji 1.34Lt
   
 11. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #11
  Jun 17, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Mentor mbona unasemaga Jaguar hatoagi Senkyuuuu au hujawahi patia nini.....
   
 12. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #12
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Acha fujo bushbaby,mentor ni miongoni mwa brain ninazozikubali hapa JF!
   
 13. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #13
  Jun 17, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Usijali mkuu... nilitaka kuchokoza tu Mentor...... mi pia namkubali
   
 14. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #14
  Jun 17, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Duu! Kama mambo ya mahesabu tarudi badae
   
Loading...