Recent content by Deimos

  1. Deimos

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unaishi vipi na mwanamke wa aina hii?

    Mkuu nahisi atakuwa na usonji ( msongo wa mawazo) kama sio sasa hivi amepitia mambo magumu na kutisha ktk maisha yake yanayompelekea kuwa na usonji!!! Kama tayari unaishi nae muone mtaalamu wa saikolojia amfanyie canceling, usipolitibu mapema kutokana na tabia yake ya usiri na ukimya unaweza...
  2. Deimos

    JamiiForums Tanzania Kuvuja kwa mitihani darasa la (4) 2016, TAKUKURU Mjitathmini!

    Waungwana mmeamka salama? Kwanza kabisa nianze kwa kuwapa taarifa za kuanza kwa mitihani darasa la nne 2016 yaani SFNA ila katika hali isiyo ya kawaida huko Tabora shule moja ya binafsi Istiqaama imedaiwa kuwa na tabia ya kughushi mitihani hiyo. Mwaka huu baada ya TAKUKURU kupewa taarifa...
  3. Deimos

    JamiiForums Tanzania Ewe kijana uliyesomea ualimu, Feza Schools wametangaza nafasi kibao

    Hapa upo walakini! Siwaamini hawa Feza kabisa!!
  4. Deimos

    JamiiForums Tanzania Ijue IQ ya Mtanzania kwa kuangalia kesi ya Lema VS dhamana ya majangili.

    Hahaha mkuu unakosea Arusha ni moja ya jimbo linalokuwa kwa kasi fanya utafiti! Pia kunywa viroba au pombe ni silika ya mtu sio jimbo, na siamini km hivyo viroba vimewarudisha nyuma kimaendeleo, Arusha ni moja ya mikoa kijana wa 23- 30 anaitwa bilionea na yupo na biashara zake, kwa baadhi sio...
  5. Deimos

    JamiiForums Tanzania Ijue IQ ya Mtanzania kwa kuangalia kesi ya Lema VS dhamana ya majangili.

    Ataenda jimboni kwake awasaidie hata kimawazo wanannchi wake!!
  6. Deimos

    JamiiForums Tanzania Anguko la Mabenki: Barclays yawaambia watumishi "hali ya benki kifedha si nzuri", ni hasara tu

    Tutaisoma namba! Ile kitu mbele kwa mbele
  7. Deimos

    JamiiForums Tanzania Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Elimu safi kabisa ya unajimu
  8. Deimos

    JamiiForums Tanzania Funny and Crazy Mugabe quotes that will leave you rolling on the ground with laughter

    Huyu jamaa nahisi kama wanamlisha maneno muda mwingine
  9. Deimos

    JamiiForums Tanzania Nauza iphones

    Ninao ila wana changamoto kidogo, mfano juz nimeongea nao wapo morogoro na mwingine yupo nje, tunaweza kubageni bei nikalipia kiasi flani hivi nikipokea mzigo nimalizie malipo yako mkuu, kuna kampuni ya NBS tabora dar huwa ni salama mara nyingi nawatumia wao!
  10. Deimos

    JamiiForums Tanzania Nauza iphones

    Nipo Tabora mjini kiongozi
  11. Deimos

    JamiiForums Tanzania English Premier League ALL GOALS HIGHLIGHTS

    Umetusaidia Mkuu!
  12. Deimos

    JamiiForums Tanzania Nauza iphones

    Haina tabu! Utaratibu nipe wew mkuu, nahitaji iPhone 6 plus mkuu
  13. Deimos

    JamiiForums Tanzania Nauza iphones

    Mikoani unatuletea mkuu, au hatuna letu?
  14. Deimos

    JamiiForums Tanzania Nyanja pekee inayompatia Urusi nguvu ni kwenye ICBM

    Mrusi siamini kama anaweza kupambn na kina Korea, ni mtazamo tu
  15. Deimos

    JamiiForums Tanzania RC Makonda amuwezesha Said alietobolewa Macho na Scorpion Bodaboda, Bajaj na Nyumba

    Cheerful Makonda!! Ila kamati za maafa mikoani zingetupia zaidi macho wahitaji kama Said maana wapo wengi!!
Back
Top Bottom