Nauza iphones

Nauza iphones

Nipo Tabora mjini kiongozi

Sawa mkuu. Una jamaa yoyote Dar? Kama unaye kiushauri na usalama zaidi ni kheri nionane naye, authaminishe mzigo, baada ya hapo ndio tupange wewe unaupataje, kama tunampa mtu ambaye atakuwa anasafiri ama tunasafirisha kama package. Ubaya ni kuwa biashara yangu bado ni ndogo sana, sijafikia bado kuweza fanya mauzo nje na kuwa na usafiri wa uhakika.
 
Ninao ila wana changamoto kidogo, mfano juz nimeongea nao wapo morogoro na mwingine yupo nje, tunaweza kubageni bei nikalipia kiasi flani hivi nikipokea mzigo nimalizie malipo yako mkuu, kuna kampuni ya NBS tabora dar huwa ni salama mara nyingi nawatumia wao!
 
Habari wakuu. Na wote wenye ndoto za kumiliki Iphones.

Iphones used zilizo katika hali bora zinapatikana. Unachotakiwa ni jambo jepesi tu. Weka iphone unayohitaji nitakupatia bei zake na kukufikishia. Karibuni nyote.

Kwa haraka haraka:

Iphone 4s : 300,000
Iphone 5: 400,000 - 450,000.
Bila kusahau iphone 5s, 6, 6s, 6+.

Nyingie weka order nitakufikia kadri ya uwezo wangu kwa bei rafiki.

Kaka wahuni wamenichukulia iphone 6s yangu, hemu nitafutie moja kwa bei RAFIKI KAKA!!!!!
 
6+ space 16 GB ni 1,150,000 /= wakuu.
 
IMG-20161030-WA0007.jpg
IMG-20161030-WA0002.jpg

6+
 
Attachments

  • IMG-20161030-WA0003.jpg
    IMG-20161030-WA0003.jpg
    25.3 KB · Views: 39
Habari wakuu. Na wote wenye ndoto za kumiliki Iphones.

Iphones used zilizo katika hali bora zinapatikana. Unachotakiwa ni jambo jepesi tu. Weka iphone unayohitaji nitakupatia bei zake na kukufikishia. Karibuni nyote.

Kwa haraka haraka:

Iphone 4s : 300,000
Iphone 5: 400,000 - 450,000.
Bila kusahau iphone 5s, 6, 6s, 6+.

Nyingie weka order nitakufikia kadri ya uwezo wangu kwa bei rafiki.
Mwezi ujao nitakuwa mteja wako wa 5s iwe white nyuma gold au silver.
 
Ninao ila wana changamoto kidogo, mfano juz nimeongea nao wapo morogoro na mwingine yupo nje, tunaweza kubageni bei nikalipia kiasi flani hivi nikipokea mzigo nimalizie malipo yako mkuu, kuna kampuni ya NBS tabora dar huwa ni salama mara nyingi nawatumia wao!
umenitapeli ndg
 
Habari wakuu. Na wote wenye ndoto za kumiliki Iphones.

Iphones used zilizo katika hali bora zinapatikana. Unachotakiwa ni jambo jepesi tu. Weka iphone unayohitaji nitakupatia bei zake na kukufikishia. Karibuni nyote.

Kwa haraka haraka:

Iphone 4s : 300,000
Iphone 5: 400,000 - 450,000.
Bila kusahau iphone 5s, 6, 6s, 6+.

Nyingie weka order nitakufikia kadri ya uwezo wangu kwa bei rafiki.
huyu Deimos nimemtumia sim anasema hajaipata na ela hajanipatia kwel najuta iPhone 5 yangu
 
Wewe unamtumiaje mtu simu bila kukupa pesa cash?
Unatuma simu akishailipia tena kama huyo aliyesema anafahamiana na watu wa mabasi ndio vizuri zaidi.
 
Dah nmeanzsha thread kuonya wenzangu kuhusu utapeli.unaoendelea jf lkn.wamefuta thread yangu na siwez anzsha thread yoyote
Jf moderators mnalea uozo humu na nyie ndo mtahisiwa matapeli mnaendekeza upuuuuzi wajinga kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom