Recent content by decomm

  1. decomm

    JamiiForums Tanzania Kodtec Speaker systems

    Jaribu JBL Hutojuta
  2. decomm

    JamiiForums Tanzania Chawa wa kichwa (Pediculus humanus capitis)

    Chawa[https://upload] Chawa wa kichwa (Pediculus humanus capitis) Uainishaji wa kisayansi Himaya:Animalia (Wanyama) Faila:Arthropoda (Wanyama wenye mwili wa pingili na miguu ya kuunga wasio na ugwe wa mgongo kama wadudu, nge, buibui) Nusufaila:Hexapoda (Arithropodi wenye miguu sita) (bila...
  3. decomm

    JamiiForums Tanzania St. Francis Mbeya kuna siri gani?

    Mwaka jana ilikuwa around 2.5m Mwaka huu sina uhakika ila inaweza kufika 3m
  4. decomm

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata koboko hapa Tanzania

    Anakimbia hadi 16kph Anaweza kusimama na kifikia 1.5m Anaweza "kugonga" zaidi ya mara 20 kwa wakati mmoja Ana sumu kali, akikugonga usipopata tiba ndani ya dakika 30 unafariki Hufukuza magari na kujishikiza kwalo, ili ukisimama na kushuka tu, unaye! Hukaa pia juu ya miti na kuvizia wapitao...
  5. decomm

    JamiiForums Tanzania St. Francis Mbeya kuna siri gani?

    Jitihada na nidhamu na utulivu wa kiroho. Mungu amsaidie.
  6. decomm

    JamiiForums Tanzania St. Francis Mbeya kuna siri gani?

    Siyo kamba mkuu Ona hiyo
  7. decomm

    JamiiForums Tanzania St. Francis Mbeya kuna siri gani?

    Haujui tu Binti zangu wamesoma hapo, najuwa ninachokisema. Wana nidhamu ya hali ya juu. Hata kama una mtoto legelege, akifika pale utashangaa likizo ya kwanza akirudi kwako atakavyokuwa amebadilika. Wanastahili
  8. decomm

    JamiiForums Tanzania St. Francis Mbeya kuna siri gani?

    Wanastahili kwa kweli
  9. decomm

    JamiiForums Tanzania St. Francis Mbeya kuna siri gani?

    Tuache wivu usio na maana, Tusiongee tusiyo yajuwa, Tembelea ile shule uone walivyo makini. Kuanzia kutunza muda, kazi za ziada pamoja na masomo. Ni kweli kabla ya kuingia pale lazima mwanafunzi afanye mtihani wao, ambapo waliofaulu vizuri ndio huchaguliwa, hakuna rushwa. Hivyo siri ya...
  10. decomm

    JamiiForums Tanzania Mtu anayejua accounting packages anahitajika

    Quickbooks
  11. decomm

    JamiiForums Tanzania Kwa waliosoma Bagamoyo Secondary School

    Kama unawajuwa hao basi bila shaka ulilijuwa DIGGNNER GROUP, nilikuwa member, hhaahaa
  12. decomm

    JamiiForums Tanzania Teacher (Movie)

    Filamu inaitwa "IF LOOKS COULD KILL - 1991"
  13. decomm

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Umeshajulikana
  14. decomm

    JamiiForums Tanzania Rawama Rebeka zinanifanya nijihisi mwenye makosa

    Ngosha endeleza ifike kwenye korasi (chorus)
Back
Top Bottom