Kodtec Speaker systems

Hyo 2812 ni watts 200

Niliyonayo ni 2913 ni watts 300


Yaani hapa mingoma iliyokuwa mibaya kwangu sasa hvi naipenda kupitia kodtech

Mibiti ya iyo laizer inasound vizuri kumbe
Nimewacheki insta wameniambia bei ni sawa kwa hizo zote mbili sijafahamu kama ameteleza ulimi ama la. Nasubiria nirudi town nikajionee mwenyewe.
 
Mkuu juzi nilikua kwenye kipub goba nikaiona kodtec nikaipenda sana sasa nataka kujua yafuatayo

1.je kuna nzuri zaidi ya hii?
2.ni aina gani hii na je nzuri yake ni ipi?
3.bei zake zipoje? Nitakushkuru mkuu

20220118_183102.jpg
 
Back
Top Bottom