Recent content by Debby the FEMINIST

  1. Debby the FEMINIST

    Serikali yaondoa Walinzi wa Raila Odinga na viongozi wengine wa Upinzani

    Uhuru Kenyatta aliwaonya wakenya kuhusu kumchagua Ruto angalia sasa namna anakwenda kufanya though speech zake kimataifa somehow ni nzuri but ndani ya nchi yake anapaswa kufanya yaliyosahihi
  2. Debby the FEMINIST

    SoC03 Siasa inapoharibu mijadala ya kitaifa

    SIASA INAPOHARIBU MIJADALA YA KITAIFA Hivi karibuni kumekuwa na mjadala mpana sana kuhusiana na Bandari, Mjadala huu umeibuka baada ya kupatikana kwa taarifa kuwa Serikali ya Tanzania kupitia Waziri Prof. Makame Mbarawa kuingia makubaliano/mkataba wa awali wa ushirikiano kwenye nyanja...
  3. Debby the FEMINIST

    Kilwa Lindi: Miaka 30 jela kwa kukiri kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile

    Mahakama ya Wilaya ya Kilwa masoko mkoani Lindi imemuhukumu Muharami Ngayoma maarufu Kibwege (30) kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kuruhusu watu kumwingilia kinyume na maumbile. Hukumu hiyo ya kesi namba 27 ya mwaka 2023 imetolewa Aprili 17,2023 na hakimu mkazi wa mahakama hiyo Carolini Mtui...
  4. Debby the FEMINIST

    Lindi: Wajawazito wajifungulia kwa tochi umeme ukikatika kituo cha afya rutamba

    Wakati dunia ikiadhimisha siku ya wanawake Duniani, wanawake wa kata ya Rutamba halmashauri ya manispaa ya Lindi wamelia na changamoto ya uchakavu wa miundombinu katika kituo cha afya cha Rutamba. Wamelalamikia hayo baada ya wafanyakazi wanawake kutoka Mashujaa FM kufika kituoni hapo...
  5. Debby the FEMINIST

    Lindi: Afisa kilimo kata ala fedha za mahindi ya ruzuku milioni tano

    Afisa Kilimo kutoka kata ya Milola halmashauri ya manispaa ya Lindi ametiwa mbaroni kwa tuhuma za kula fedha kiasi cha shilingi Milioni 5 za mahindi ya ruzuku kwa wananchi wa kijiji cha Milola B. Mkuu wa Wilaya ya Lindi Shaibu Ndemanga amekiri juu ya kutiwa mbaroni kwa afisa kilimo huyo akisema...
  6. Debby the FEMINIST

    Nachingwea: Viongozi wa Serikali na Wachimbaji washirikiana kutorosha pesa za mgodi

    Zaidi ya shilingi milioni 901 zimekusanywa na serikali kuu kupitia mrabaha na ada ya ukaguzi katika mgodi wa madini ya shaba uliopo katika kijiji cha Nditi wilayani Nachingwea. Hayo yamesemwa na afisa madini mkazi Iddy Msikozi alipokuwa akisoma taarifa ya makusanyo tangu Septemba 28, 2022 hadi...
  7. Debby the FEMINIST

    CHADEMA eleweni, Tume huru ya uchaguzi sio kigezo cha kupata kiongozi

    CCM mmeanza kulia kulia sasa na hiyo ndio maana ya demokrasia, ingekuwa tanzania tayari wapinzani wangeshakamatwa
  8. Debby the FEMINIST

    Chakula cha mchana kwa wanafunzi; Sababu isiyotajwa kwenye taaluma mbovu ya mtoto

    Shida ipo kwa wazazi huku kwetu Lindi mzazi kuchangia elfu tatu mwanae ale kwa wiki anaona ni nyingi sasa nani alaiumiwe hapo
  9. Debby the FEMINIST

    Liwale: Kijana anatafutwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za mauaji ya mke wa mtu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi linamtafuta Saidi Haji Ngamila (30) mkazi wa Kijiji cha Barikiwa Wilaya ya Liwale kwa tuhuma za kumuua kwa kumkata na kitu chenye ncha kali na kutengenganisha kichwa na kiwiliwili na kisha kuchimba shimo na kumfukia Mwajuma Ally Lipala (49) Mkazi wa Kijiji cha...
  10. Debby the FEMINIST

    Jeshi laitaja Serikali ya Umoja wa kitaifa ya Myanmar kuwa kundi la kigaidi

    Safi waanzishe jeshi la kulinda wananchi na jeshi rasmi wasilitambue hiyo itanoga dawa ya ubabe vurugu
  11. Debby the FEMINIST

    Si sawa kuwapambanisha Harmonize na Ray Vanny

    Kuna msanii ambae hajaanzia kwa watu darasa ametolewa na clouds kupitia dozen marioo vile vile na dar kugumu so kama mtu anastahili mpe zake pongezi
  12. Debby the FEMINIST

    Mwanaume kamili acha mara moja mambo haya

    mwanaume kuji mwanaume kujipost status kila saa yani kila sekunde anapost kitu na kufuta utafikiri kuna mashindano ya umodo kwao ..............alafu sio ya kike kike ni ya kishoga shoga maana mimi mwanamke na siandiki hivyo
  13. Debby the FEMINIST

    Ikulu, Chamwino: Rais Samia Suluhu Hassan amwapisha Dkt. Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais wa JMT

    Hakuna siku nimepata furaha kama leo yani Nina furaha machaguo mazuri isipokuwa eneo moja tu la wizara ya afya tunataka mtu serious katika eneo hili mfano angemrudisha Faustine Ndugulile hapa tungekuwa na mtaalamu asie Fata tumbo kama Doroth anaeidhalilisha tasnia ya afya kila kukicha
  14. Debby the FEMINIST

    Nimeingia Mkoa wa Lindi. Naombeni mwongozo wenu tafadhali

    Nipo Lindi huku hakuna starehe pambana tu na hali kaka angu karibu uswahilini ila hakikisha unatumia kondom na usiende na mwanamke humjui
Back
Top Bottom