Recent content by daz n

  1. D

    Nyumba ya kupanga Kigamboni.

    Nitafute ipo karibu na darajan vijibweni. 250000 pungufu unaongea 0679982881
  2. D

    Diamond platnumz aweka record mpya

    Kachemka [emoji23][emoji23][emoji23]nyimbo kaharibu
  3. D

    Pongezi sana Kwa Halima Binti wa Bakari Bulembo, Atakuja Kutisha, Mark My Words

    Mm namzungumzia huyo mnae msifia sasa katika uzi huu. Mwingine akiletwa katika mjadala tutasema
  4. D

    Pongezi sana Kwa Halima Binti wa Bakari Bulembo, Atakuja Kutisha, Mark My Words

    Sijataka kusema hayo,mm namzungumzia anaezungumziwa katk uzi huu.
  5. D

    Pongezi sana Kwa Halima Binti wa Bakari Bulembo, Atakuja Kutisha, Mark My Words

    Wamebebwa kwenye viti maalum ,coz watoto wa viongozi . viongozi wapo huku mtaani. Wanazunguka tu na baasha za kaki kutafuta japo utendaji mtaa waonekane.
  6. D

    Haikuwa sahihi kwa Magufuli kugawa Maburungutu ya pesa hadharani

    Unajua Sheria za kodi lakini?
  7. D

    Kuhusu mtandao wa BOL

    Wajinga ndio waliwao!!! teh teh teh!!! Endeleeni kuwaibia watu mikoani Dar mmeshindwa.Wana JF Hakuna kampuni ya mawasiliano ya simu inayoitwa BOL .nyinyi ni wezi mnatambulika hivyo na si mbali tutawabaini
  8. D

    Kuhusu mtandao wa BOL

    Hao wazinguaji kwanza hawajasajiliwa na ni wezi ndio maana hata line zao hazina hata namba na wanapokuja sehemu kuuza line wanakuja na mtambo wao wanauseti mazingira Yale Yale ukijalibu kuweka line inasoma ukiondoka nayo kwenu chenga huku Dar wamekimbizwa kwa kuwaibia wetu na hiyo campuni ya...
  9. D

    Mwaka wa Saba tangu Nimalize chuo Sina Kazi

    Jiunge kwenye safari ya matumaini na Edward Lowasa ( EL).Tupate ukombozi wa ajira kwa Vijana. "Tuliuzunika pamoja, tulilia pamoja na tutafurahi pamoja"
  10. D

    Ajira mpya za walimu

    Poleni na fani wito, mkienda vituo vyenu vya msisahau vibatari maana chaka mbaya
  11. D

    Milipuko yatikisa Zanzibar

    Sio rais pekeyake na iGP ndio wahusike na usalama wa nchi, hadi wewe unausika na usalama wa nchi yako umetoa taarifa ngapi za usalama wa nchi yako? Au lawama tuu ambazo hazina mashiko mmezoea?
  12. D

    Mashangazi warudishe utaratibu wa kuangalia shuka siku ya harusi

    K2 chenyewe hizo za sabuni nazijua mi si dactari .kuna utofauti kama m2 hauna utaram nazo unabambikiwa ila zinautofauti tena mkubwa.
  13. D

    Mashangazi warudishe utaratibu wa kuangalia shuka siku ya harusi

    Daa! Hauwezi amani nimeoa binti amemaliza degree ya medicine yupo bikra. Nilifaidi kinoma mnato hatariiii.
  14. D

    Mashangazi warudishe utaratibu wa kuangalia shuka siku ya harusi

    Imetoka nini na ndoa bado dada? Mbona imekuchoma?
  15. D

    Mkakati wa siri wa mh Bernad Membe

    Naona unampenda EL kweli kweli hadi unamwona kila mtu yupo kazini kama nyinyi na first .....wenu kumnadi memb..kila kona ingawa hakubaliki uraiani ila hatushangai wewe kumtaja hata kama unamchukia utamtaja tu, anamvuto kwa jamii.
Back
Top Bottom