Pongezi sana Kwa Halima Binti wa Bakari Bulembo, Atakuja Kutisha, Mark My Words

Mkuu nadhani shida ya baba yake ni elimu, yaani elimu but mzee alichezesha karata zake vizuri aka invest kwa mwanae, kawapa elimu na kweli binti kaonesha uwezo, kama mleta Uzi alivyo sema, Halima yupo vizuri up stairs. Ila kua ukweli mkuu, uliomba picha ili umfaham kweli au umejaribiwa? Binti kaumbika bwana. Mzuri wa sura na akili pia; vijana ambao bado mkono single, fanyieni kazi ushauri wa Bill Gate yaani, kuzaliwa na baba masikini hilo sio kosa lako, kua na baba Mkwe masikini hilo ni kosa na uzembe wako.
So far Kama akiachana Na cheap Politics, she can be Judged on her own merits but honesty for her age she seems like a politician who will go places.
 
great, anajitahidi sana , huwezi kumfananisha na yule dictator uchwara wa chadema, ambaye kwa miaka 12 sasa yuko madarakani kama mwenyekiti na hatoki ng'o ...halafu anapigania demokrasia kwingine

kibaya ni kuwa Mtei hawezi kuzaa mtoto mwingine wa kike kwa hiyo imekula kwa wanaotaka uenyekiti
Du! acha kabisa kumfananisha MH. Mbowe na familia ya Bulembo wewe, yaani kuwa na Baba kama yule ni aibu sana mwanaume hana qualification yoyote kabakia kusifia wanaume wenzie ili apate mradi wake? Du huyu binti aliporopoka bunge haliwezi kuwa live ndipo alipojitoa kwenye kundi la wabunge makini. Kawekwa na baba na atachukua mawazo kutoka kwa baba na baba mwenyewe ni Bulembo, hakuna jipya.
 
Nashangaa kumuona Mbunge kama Mbowe mwenye umaarufu mkubwa anataka aonekane 'live' bungeni, wakati hata mdogo wangu wa miaka sita anamfahamu vizuri, wabunge vijana ndiyo waliopaswa kulalamikia hili,"
 
Hoja gani muhimu aliyojenga hapo mbali na kunakiri na kunukuu tafiti zilizofanywa na taasisi mbali mbali kuhusu elimu yetu. Kung'ang'ania kutaja hizo namba ndiyo kujenga hoja?

Naona mleta mada una ajenda yako binafsi ya kumpiga jeki huyo binti au una maslahi binafsi naye.
Kuwa mwanaume kazi sana mkuu, ukiniona jinsi navyomsifia mama yenu ukalinganisha na uhalisia, unaweza kufikiri nina wazimu.
 
Du! acha kabisa kumfananisha MH. Mbowe na familia ya Bulembo wewe, yaani kuwa na Baba kama yule ni aibu sana mwanaume hana qualification yoyote kabakia kusifia wanaume wenzie ili apate mradi wake? Du huyu binti aliporopoka bunge haliwezi kuwa live ndipo alipojitoa kwenye kundi la wabunge makini. Kawekwa na baba na atachukua mawazo kutoka kwa baba na baba mwenyewe ni Bulembo, hakuna jipya.

kumbe
 
Mimi sio Mpenzi wa CCM hata Kidogo. Ila Nimeona Sio Vibaya Kumtia Kijana huyu Moyo. Mara Nyingi huwa Nikimsikiliza Mtu Mwenye Uwezo Mkubwa wa Kiakili na Kiuongozi Naweza Kumgundua Mapema. Kuna Kabinti Fulani Bungeni, Nafikiri Ni Yule Mtoto wa Bakari Bulembo. Huyu Mtoto anakipaji Kikubwa sana cha Kujieleza na Kujenga Hoja. Naamini kwamba atakuja Kuwa Mwanasiasa Mwanamke Maarufu Tanzania, Hilo halina tena Mjadala.

Mojawapo ya Sifa Kubwa ya Mtu Mwenye Uwezo wa Kujieleza (argumentation) Anazungumza Kwa Mifano halisi, anarejea Historia, Anatoa Mifano ya Kugusa! Na anatoa Takwimu na Vigezo, Na Kama Swala Lenyewe Ni La Kitaalamu analitetea kwa matokeo ya Tafiti Na Huyu Mtoto yote Anayazinatia.

Ila Ushauri Wangu Ningemtahadhalisha Mapema, Ajiepushe na Siasa za Maji Taka, Ngojera na Hadaa Kama akina Kibajaji na Nape. Ajikite zaidi Kwenye Hoja zenye Maslahi ya Taifa. Bila Kuwa Mzandiki. Atahshimika na Atatisha Kila Upande lakini akileta Ngojera na Uzandiki, atadharaulika Bado mdogo na Ndio Basi.

Pongezi sana Mwanangu Halima Bulembo, Keep it Up

Safi sana Kijana, so bright and confident! Excellent!
 
Huyu Binti ni Brilliant na mawazo yake yamefanyiwa kazi kwa sasa. She is very practical!
 
Ni mzuri wa sura,anastahili kuolewa sasa.
Nadhani atakaye muoa hata juta
 
Huyu Hapa Picha yake Na Hii ni Mojawapo ya hoja zake!
rUjc6teO.jpg

Ana mchumba?
 
Wamebebwa kwenye viti maalum ,coz watoto wa viongozi . viongozi wapo huku mtaani. Wanazunguka tu na baasha za kaki kutafuta japo utendaji mtaa waonekane.
unataka kusema yule mbunge wa viti maalumu wa chadema mh.Lucy ndesamburo amebebwa kwa sababu ya baba yake mzee ndesamburo??
 
Mimi sio Mpenzi wa CCM hata Kidogo. Ila Nimeona Sio Vibaya Kumtia Kijana huyu Moyo. Mara Nyingi huwa Nikimsikiliza Mtu Mwenye Uwezo Mkubwa wa Kiakili na Kiuongozi Naweza Kumgundua Mapema. Kuna Kabinti Fulani Bungeni, Nafikiri Ni Yule Mtoto wa Bakari Bulembo. Huyu Mtoto anakipaji Kikubwa sana cha Kujieleza na Kujenga Hoja. Naamini kwamba atakuja Kuwa Mwanasiasa Mwanamke Maarufu Tanzania, Hilo halina tena Mjadala.

Mojawapo ya Sifa Kubwa ya Mtu Mwenye Uwezo wa Kujieleza (argumentation) Anazungumza Kwa Mifano halisi, anarejea Historia, Anatoa Mifano ya Kugusa! Na anatoa Takwimu na Vigezo, Na Kama Swala Lenyewe Ni La Kitaalamu analitetea kwa matokeo ya Tafiti Na Huyu Mtoto yote Anayazinatia.

Ila Ushauri Wangu Ningemtahadhalisha Mapema, Ajiepushe na Siasa za Maji Taka, Ngojera na Hadaa Kama akina Kibajaji na Nape. Ajikite zaidi Kwenye Hoja zenye Maslahi ya Taifa. Bila Kuwa Mzandiki. Atahshimika na Atatisha Kila Upande lakini akileta Ngojera na Uzandiki, atadharaulika Bado mdogo na Ndio Basi.

Pongezi sana Mwanangu Halima Bulembo, Keep it Up

Kakutuma ama huyu si alisema bunge live ni umaarufu?
 
Back
Top Bottom