Recent content by davy dan

  1. D

    JamiiForums Tanzania Sensa dodoma mjini.

    yan bdo kmya cjui ndo wanatuchakachua
  2. D

    JamiiForums Tanzania je ni halali?

    eti wadau ni halali kwa askari polic au mwanajeshi kutopanga foleni ya kwny atm bank hii imetokea leo nikiwa bank kwny folen alitokea askar wa kikosi cha ffu alipita moja kwa moja had kwany atm na kuacha watu wengine wakiwa wamepanga foleni,je ni halali?naomba ufafanuz wadau
  3. D

    JamiiForums Tanzania Yajue Majina ya Ukoo Katika Makabila mbalimbali Tanzania

    umenivunja mbavu zangu,
  4. D

    JamiiForums Tanzania kifua kikubwa kwa mwanaume

    ila vyuma vya mitaani vinawafanya watu wanakuwa na maumbo kama gitaa
  5. D

    JamiiForums Tanzania kifua kikubwa kwa mwanaume

    eti jamani ni lazima kwa model wa kiume kuwa mbeba vyuma?na je ni kwel kwamba wadada wanavutiwa na wanaume wenye vifua vikubwa?
  6. D

    JamiiForums Tanzania Ndege za 540 Zinaboa

    kwan nauli ya ndege kutoka dar kwenda mwnz ni sh ngap jaman
  7. D

    JamiiForums Tanzania Hii ya masanja mkandamizaji nimeipenda

    watanzania inabd tusaidiane wakati wa shida na sio kitchen party na harusi big up masanja
  8. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unam-treat FAIRLY house girl wako?

    yan acha tu,hawa watu ni pasua kichwa kwel ukienda kazin wanavaa pamba zako then anamwita mpiga picha wanafanya photo shootin
Back
Top Bottom