Yajue Majina ya Ukoo Katika Makabila mbalimbali Tanzania

Usiifute hiyo mgosi, usije ukaitoa. Nkiuza mapeasi yangu ntaenda kumwambia shemahonge na shemvilu wakiuza mapera yao wakanunue sauti ya injili ni redio maridadi mgosi.
 
Wachaga: Shirima, Laswai, Ngowi, Ngoo, Ngooh, Mrina, Mremi, Minja, Utou, Urassa, Ulomi, Salema, Salemi, Tairo, Asenga, Macha, Mmasi, Assey, Mrina, Lamwai, Lyaruu, Lyamuya, Ushaki, Mashele, Mshanga, Mmanda, Merinyo, Kinabo, Mbowe, Kitilya, Mlay, Mamseri, na wengineo ENDELEA

Kaale,Kawau,mashirima,shio
 
Wamanda toka Mwambao wa Ziwa Nyasa Mbinga-Ruvuma.
mahundi
nyandidi
muhagama
mpangala
ndonde
mapunda
henjewele
njowoka
hinju
ngatunga
chale
kolimba
haule..................
 
Wamanda toka Mwambao wa Ziwa Nyasa Mbinga-Ruvuma.
mahundi
nyandidi
muhagama
mpangala
ndonde
mapunda
henjewele
njowoka
hinju
ngatunga
chale
kolimba
haule..................

Hivi Wamanda na Wanyasa ni makabila au ni WANGONI wa Mwambao?
 
Nimeelimika!! Majina mengi hapa nilikuwa najua ..lots of ma fried ...lakini sikuwa mind kujua makibila yao ... !! That is good of this Nation!!
 
Hivi Wamanda na Wanyasa ni makabila au ni WANGONI wa Mwambao?
nijuavyo mimi hao pia ni jamii ya kingoni ila waliloea ktk mwambao wa ziwa nyasa.lugha yao ni kimanda ambayo kufanana kwa karibu sana na kinyasa cha kimalawi.
 
Wafipa,kuna nkoswe, mpambwe, khamsini, mwanakatwe, nswima, mzindakaya, simbakavu, ngoni tribe of war kuna soko, moyo, nguruwe, mbuzi, fusi, nyoni, tembo, njovu, na wengineo jamani mkisikia akina komba, ndomba, nchimbi, ndunguru, kumburu, nkondola hawa si wangoni hawa ni wanyasa watu wa ziwani mbinga huko, wangoni wenyewe halisi ndo hayo majina ya juu hapo niliyowawekea akina soko, kuna kina kanjolonga

....Ndg yangu Wanyasa ni Wangoni waliokimbilia Ziwani mara baada ya kupigana vita wenyewe kwa wenyewe..,.Kwa msaada wa NGONYANI MWASI MCHAPI.
 
wapangwa (ludewa kwa deo filikunjombe).
ngailo
songo
mtitu
nziku
makamba
chaula
haule(ukoo wa deo)
luoga
mhagama
mgimba
mchilo
mtega
 
kuna mtu anaitwa lumolwe mutovolwa na ndumbagwe misayo na huyu ngaragale sijui wa wapi?
 
3 Wanyakyusa
- Mwakitwange
- Mwakikota
- Mwamakula
- Andindilile
- Mwakanjombe
- Mwakaleli
- Mwakambaya
- Mwaipopo
- Mwakipasi
- Mwakanyerere
- Atupele
 
Hivi Wamanda na Wanyasa ni makabila au ni WANGONI wa Mwambao?

Wanyasa=wanyanja yaani ni lugha tu hapo wamanda ni jamii zilezile za kinyanja zinapatikana zambia,tz,nsumbiji,malawi na kuna eneo kule sauzi kwa madiba mimi mama yangu ni mpoto kilugha chetu kinaitwa kimpoto kina tofauti kidogo na kimanda na pia kina tofauti na kinyasa ambacho ni kinyanja kinachoongelewa malawi,zambia, na msumbiji kidogo ila kimpoto kinaongelewa na jamii fulani kule malawi pia wampoto wanapatikana kuanzia mbambabay (ku-mbamba)hadi lundumati. Wale ndo wanacheza ngoma zinaitwa kioda,mganda,lindeku na madogori kama ya wazaram
 
Majina ya kabila la KIDIGO toka Tanga ni Mwameja,Mwandaro,Mwanaidi,Mwaduga,Mwandiro,Mwansada,Mwanyiro,Mwantime,Mwadago,Mwanshamba,Mwanakombo, na mengineyo unaweza endelea kwa wanaofaham
WABONDEI ni Muhando,Semwaiko,Semfuko,Sekwao na kadhalika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom